Ripoti ya Upambanaji wa rushwa na Ufisadi kimataifa - Tanzania yang'ara

39/100 Kutoka 36/100??? Hii kama ni Shule basi ni Form four failure.

Hata cheti hupati.
 
Mwendo wa kujipimia tu, kulingana na urefu wa kamba
 
Hii ni dalili kuwa mafisadi ya kizungu yanakula kwa urefu wa kamba wanazojiwekea wao wenyewe
 
Hii inatakiwa kuwa endelevu. Leo yuko rais Samia kesho atakuja rais mwingine. Kinachotakiwa ni kujenga culture ya kuchukia rushwa na kuipunguza na mwishowe kuimaliza. Wananchi wakiendelea kuhimizwa kuacha vitendo vya rushwa ikawa culture yetu na ikawa alama ya nchi. Nchi isiyokumbatia rushwa.
 
Reactions: Tui
CHADEMA hawana hoja, Hoja yao ni matusi tu
 
Reactions: Tui
Hongera Sana Tanzania, Mama Samia kaza uzi,
 
Rushwa imepungua sana Tanzania
 
Wewe upo nchini huitaji kuambiwa kwamba rushwa imeshuka wakati unaona vinginevyo thus either walioweka ripoti wamepwaya au rushwa imezidi kiasi cha kuweza kupika ripoti za kimataifa
 
Wewe upo nchini huitaji kuambiwa kwamba rushwa imeshuka wakati unaona vinginevyo thus either walioweka ripoti wamepwaya au rushwa imezidi kiasi cha kuweza kupika ripoti za kimataifa
Rushwa ni mfumo tu ndio unaweza kuidhibiti sio vitisho,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…