Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Hatimaye umejishtukia.Bado tunashangaa inakuaje hujajishtukia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye umejishtukia.Bado tunashangaa inakuaje hujajishtukia.
PhD feki inaelekea kufutwa.Hatimaye umejishtukia.
Nimeona umeweka kifungu cha Prospectus ya UDSM cha 2007, ndani yake kinazungumzia time frame kuhusu muda wa kumaliza, 3-5 years respectively.Prospectus ya UDSM ya mwaka 2006 kifungu 2.7.7 kilisema mwanafunzi wa full time wa PhD minimum muda wa kumaliza ni miaka 3 na mwanafunzi wa kutoka kazini ni miaka 5.
Like chapisho alikopi kutoka kwa Dr J Y Philip ambaye alikuwa anafanya sandwich program limaitwa "The potential of anarcadic acid self assembled monopolymers from cashewnut shell liquid as corrosion protection coating"
Supervisor wake alikuwa Prof Bucheschwaija ambaye alimsimamia Dr J Y Phillip as well.
Mwaka 2016 alipopata uRais wa Tanzania akampa Prof Bucheschwaija uwenyekiti wa Bodi ya TIB kama kumpoza kwa kwa kazi aliyomlinda kwenye fake PhD
Nakushauri utulie kwenye hoja yako usitoke nje ya hapo, jitahidi uwe na consistence.Magufuli anazungumzwa kama mtu aliyefanya kazi exceptional sana ndio maana tunahoji ni kipi exceptional??
Kwasababu alikuwa anakopa, anajenga kwa kusema ni hela za ndani na alikuwa anataka kuiaminisha nchi nzima kwamba bila yeye kazi haziwezi kufanyika.
Magufuli hakuwa na transformative leadership.. vitu vingi ilikuwa ni operational jambo ambalo halifai kwa nafasi ya uraisi.
And even worse hakutaka demokrasia.
Bahati mbaya ukishakuwa mwenyekiti wa CCM, and above all President, hakuna wa kukuhoji, unageuka kama mungu mtu.Hoja nzuri hii.
ila kupotea kwa huyu kijana kunasikitisha sana, hivi hakuna watu waliojaribu kumshawishi hatari ya alichokuwa anakifanya?... hata chama chake hakikuona hiyo hatari?
Mtu ambaye aliiba PhD tunamzungumzia kwenye maeneo yote. Alianza kwa kuiba elimu na kufanya udanganyifu ambao ukaendelea na kuwa udanganyifu wa chanzo cha fedha za miradi ya serikali na hatimaye ikawa wizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa na ule mkuu wa 2020.Ningekushauri utulie kwenye hoja yako usitoke nje ya hapo, jitahidi uwe na consistence.
Kuhusu Magufuli kuwa "exception" au vinginevyo inategemeana na anayejiuliza, wewe kwa chuki na hasira zako kwake huwezi kuliona hilo.
Kama wewe hukumuona hivyo, wengine walimuona alikuwa exception kwa namna alivyo set standard kwenye utendaji serikalini, mpaka leo tunawaona kina Samia wanajitutumua kuifikia, bahati nzuri naye ameshakiri hilo.
Mkuu tunaomba wewe na hao wadada mripoti sentro kesho asubuhi mkiwa na hizo masters mkononi.🤣🤣We unasema Phd ? G.P.A nyingi ni za kustruggle kwa kukesha usiku na za kupewa tu.
Wakati nachukua Masters yangu chuo (unknown) kuna siku kulikuwa na UE. Basi nikawakuta wadada wazuri wanajisomea nikawatania, 'Jamani sijasoma hata kidogo jana nilikuwa maji' Wakanicheka, kisha wakanipa maswali 5 nijisomee. Aisee kuingia kwenye pepa nayaona yote. Nikaupelekea moto huo mtihani vizuri nikalamba A+
Nilijitafakari sana. Kumbe wengine wanajua ya leo na ya kesho. Mambo ya chuo yana siri nyingi jamani bora tuyaache tu.
Muacheni mzee wetu Magu apumzike
🤣🤣🤣mkuu mimi nilikuwa sujui la kesho sina kosa ila hao wadada sasa ndiyo waende centralMkuu tunaomba wewe na hao wadada mripoti sentro kesho asubuhi mkiwa na hizo masters mkononi.🤣🤣
Una mihemko sana, na nilishakuona toka mwanzo; naona sasa umeshajigeuza judge na kuamua kwamba Magufuli aliiba PhD.Mtu ambaye aliiba PhD tunamzungumzia kwenye maeneo yote. Alianza kwa kuiba elimu na kufanya udanganyifu ambao ukaendelea na kuwa udanganyifu wa chanzo cha fedha za miradi ya serikali na hatimaye ikawa wizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa na ule mkuu wa 2020.
Mtu huyu akawa hataki tena kufuata sheria wala katiba. Akaendelea mbele na kutaka kuendesha nchi kwa matamko. Akawa anatoa maelekezo kwa spika na jaji mkuu. Chanzo cha yote ni elimu feki aliyoiba.
Mrudisheni Ben Saanane kwanza ndio tutakuwa na uhakika kwamba PhD sio fake.Una mihemko sana, na nilishakuona toka mwanzo; naona sasa umeshajigeuza judge na kuamua kwamba Magufuli aliiba PhD.
Wakati kule juu uzi wako uliuanzisha kama tetesi, nakuona hujielewi, g9t..!!
Dah ila ww jamaa n noma 😂 JPM aliwanyoosha sana nyieMkuu PhD inaweza kufutwa muda sio mrefu. Sijui mtaficha wapi sura zenu.
Yes aliacha maafa makubwa tutamfuatilia mpaka basi, mpaka Mungu atoe hukumu juu yake. Afungwe jela au anyongwe huko aliko johnthebaptistWe utakuwa na Mimba ya magufuli unamfuatilia MTU aliyefariki siku nyingi Acha huo ushamba.
Nakuona tena unatafuta "public sympathy" ili kutafuta uungwaji mkono wa hoja yako nyepesi uliyoianzisha kama tetesi.Mrudisheni Ben Saanane kwanza ndio tutakuwa na uhakika kwamba PhD sio fake.
Halafu mimi nakusamehe kwa personal attacks zako.
Anangisye pia ana familia inamtegwmea.wakimpoteza nazina utamtunzia familiaNilimtembelea rafiki yangu mmoja ambaye ni mhadhiri pale Udsm na katikati ya maongezi likaja suala la uwezekano wa mtu kupata PhD bila kupitia taratibu sahihi.
Hapo akasema kuna uchunguzi ulifanyika karibu mwaka mzima umepita na ripoti imeishia pale utawala. Ilikuwa ni katika routine ya kawaida kuangalia ubora wa kazi za wanafunzi wa miaka ya nyuma zilizopitishwa.
Huko udasa hizi tetesi inaonekana zinaongelewa na Prof Mwandosya aliwahi kuhoji hapa mwaka jana Prof. Mark Mwondosya atilia mashaka shahada za uzamivu wanazotunukiwa wanasiasa, ahoji vigezo au viwango vimebadilika?? Inasemekana kwamba PhD tajwa hapo juu ni mojawapo.
Kama ni kweli basi Prof Anangisye ajivike ujasiri na kuufahamisha umma wa watanzania.
Kwa uwezo alikuwa nao JPM nadhani hata huo Udactari hamtoshi alipaswa awe professor kabisaNilimtembelea rafiki yangu mmoja ambaye ni mhadhiri pale Udsm na katikati ya maongezi likaja suala la uwezekano wa mtu kupata PhD bila kupitia taratibu sahihi.
Hapo akasema kuna uchunguzi ulifanyika karibu mwaka mzima umepita na ripoti imeishia pale utawala. Ilikuwa ni katika routine ya kawaida kuangalia ubora wa kazi za wanafunzi wa miaka ya nyuma zilizopitishwa.
Huko udasa hizi tetesi inaonekana zinaongelewa na Prof Mwandosya aliwahi kuhoji hapa mwaka jana Prof. Mark Mwondosya atilia mashaka shahada za uzamivu wanazotunukiwa wanasiasa, ahoji vigezo au viwango vimebadilika?? Inasemekana kwamba PhD tajwa hapo juu ni mojawapo.
Kama ni kweli basi Prof Anangisye ajivike ujasiri na kuufahamisha umma wa watanzania.
PhD ya Magufuli ni FEKERO, hilo hakuna ubishi. Wenyewe UDSM wameitoa kwenye maktaba, nakushangaa wewe unakomaa kusema mchapakazi.Nakuona tena unatafuta "public sympathy" ili kutafuta uungwaji mkono wa hoja yako nyepesi uliyoianzisha kama tetesi.
Narudia tena, suala la PhD ya Magufuli kuwa fake, au kutokuwa fake, halina uhusiano wowote na kupotea kwa Ben. Nimeshakuonesha kule juu tabia za Magufuli ambazo ziliwa-cost wengi waliokwenda kinyume nae, lakini unajidai hutaki kuelewa.
Hakuna personal attacks hapo, jisome maandiko yako yalivyo ujitambue, nimekwambia una chuki na hasira nikiwa na sababu, coz unatumia theory za kufikirika kufanya judgement which to me is unfair.
Mfano unaandika PhD ya Magufuli is fake, but kule juu umeandika tetesi, which is which...?! basi kama una ushahidi wa ufeki wa PhD ya Magufuli tuwekee hapa tuione na sababu zako tumalize mjadala.
Lakini sio kusema tu muda aliotumia ulikuwa mfupi, au wengine sijui nini ..... kwangu mimi, mtu yeyote anayejitambua hawezi kutumia sababu za jumla kuhukumu kitu specific, kwasababu vitu hutofautiana, sijui unanielewa?!
Haya mambo naona yamekuzidi kimo, huujui udhaifu wako wewe unauona strength, na bahati nzuri kwako kuna wenye mihemko ya kishabiki kama yako huku watakuunga mkono, lakini wewe bado sana.
Nakushagaa pia unavyolazimisha bila ushahidi, mleta mada anawapenda kama wewe.PhD ya Magufuli ni FEKERO, hilo hakuna ubishi. Wenyewe UDSM wameitoa kwenye maktaba, nakushangaa wewe unakomaa kusema mchapakazi.
Hivi unajuwa Haina za wezi na mafisadi? Hujifanya wachapakazi na watu wa kukemea wenzao. Endelea kuamini upuuzi kuwa Magufuli alijuwa mchapa kazi wakati alikuwa anafunika wizi wake
Mkuu mnabishana watu wa Kaliba tofauti hapo....Nakushagaa pia unavyolazimisha bila ushahidi, mleta mada anawapenda kama wewe.