Kila silaha ina renji tofauti ya umbali, lakini kwa ufupi tu ni kwamba, risasi endapo itaelekea juu na kurudi chini basi huwa imefikia maximum velocity ya zero (sifuri) hivyo hurudi chini kama ilivyo kitu chochote kinachoshuka kwa gravity mfano, goroli,jiwe, n.k!
Endapo kitampiga mtu madhara yake huwa siyo makubwa na hutegemea kitampiga mtu sehem gan ya mwili either kichwani au mahala pengine!
Matukio ya sherehe huwa hazipigwi risasi ball ni mafataki ambayo huwa hayana madhara!
Ule mlio wa mafataki ni kwa ajili ya usherehejaji tu usikutishe! Yote kwa yote wanarusha mafataki huwa wameomba kibali polisi kwa ajili ya zoezi hilo! Ni salama