Kuhusu umbali nitaongopa, kuna sehemu nilisoma zinaenda mpaka umbali wa kilometa 5. Naamini zipo chini ya hapo
Kuhusu bunduki kupigwa juu, risasi kawaida huwa na speed ya mita 500 kwa sekunde niliwahi soma sehemu,
Sasa ile risasi inapokwenda juu itaenda, umbali gani hapo ni kutegemea na resistace ya hewa, force of gravity na speed yake.
Itafika hatua itakuwa na 0 velocity, kitu ukikirusha juu kabla ya kuanza kurudi chini huwa kinafanya kama kuganda hivi, ndio 0m/s ile..
Kuanzia hapo factor ya uzito wa risasi ambayo imasemekana huwa ni 6.5g(tufanye 10g kabisa), force of gravity na umbali ambao risasi ilifika 0m/s(ilipoanzia kurudi)
Ukitoa distace, hapo utapata Force, F
Ambayo
F=mass(m) × acceleration ( gravitational foce)
Hivyo vitu ndio vitakupa jawabu kwamba risasi itarudi na nguvu gani
P.E =mgh
M. Mass
G. Gravity
H. Height
Ukizidisha unapata jibu, hiyo ni physics ndoogo niijuayo hapo ni energy..
Ukitaka for