Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Inaposhuka huwa kasi yake inaongezeka kwa kila sekunde. By time inafika chini haitakuwa imeoata kasi ya kutosha kuketa madhara?Kila silaha ina renji tofauti ya umbali, lakini kwa ufupi tu ni kwamba, risasi endapo itaelekea juu na kurudi chini basi huwa imefikia maximum velocity ya zero (sifuri) hivyo hurudi chini kama ilivyo kitu chochote kinachoshuka kwa gravity mfano, goroli,jiwe, n.k!
Endapo kitampiga mtu madhara yake huwa siyo makubwa na hutegemea kitampiga mtu sehem gan ya mwili either kichwani au mahala pengine!
Matukio ya sherehe huwa hazipigwi risasi ball ni mafataki ambayo huwa hayana madhara!
Ule mlio wa mafataki ni kwa ajili ya usherehejaji tu usikutishe! Yote kwa yote wanarusha mafataki huwa wameomba kibali polisi kwa ajili ya zoezi hilo! Ni salama
Umenikumbusha physicsKila silaha ina renji tofauti ya umbali, lakini kwa ufupi tu ni kwamba, risasi endapo itaelekea juu na kurudi chini basi huwa imefikia maximum velocity ya zero (sifuri) hivyo hurudi chini kama ilivyo kitu chochote kinachoshuka kwa gravity mfano, goroli,jiwe, n.k!
Endapo kitampiga mtu madhara yake huwa siyo makubwa na hutegemea kitampiga mtu sehem gan ya mwili either kichwani au mahala pengine!
Matukio ya sherehe huwa hazipigwi risasi ball ni mafataki ambayo huwa hayana madhara!
Ule mlio wa mafataki ni kwa ajili ya usherehejaji tu usikutishe! Yote kwa yote wanarusha mafataki huwa wameomba kibali polisi kwa ajili ya zoezi hilo! Ni salama
Zile zinazopigwa misibani kwenye mazishi ya polisi huwa sio risasi?Kila silaha ina renji tofauti ya umbali, lakini kwa ufupi tu ni kwamba, risasi endapo itaelekea juu na kurudi chini basi huwa imefikia maximum velocity ya zero (sifuri) hivyo hurudi chini kama ilivyo kitu chochote kinachoshuka kwa gravity mfano, goroli,jiwe, n.k!
Endapo kitampiga mtu madhara yake huwa siyo makubwa na hutegemea kitampiga mtu sehem gan ya mwili either kichwani au mahala pengine!
Matukio ya sherehe huwa hazipigwi risasi ball ni mafataki ambayo huwa hayana madhara!
Ule mlio wa mafataki ni kwa ajili ya usherehejaji tu usikutishe! Yote kwa yote wanarusha mafataki huwa wameomba kibali polisi kwa ajili ya zoezi hilo! Ni salama
Inaposhuka huwa kasi yake inaongezeka kwa kila sekunde. By time inafika chini haitakuwa imeoata kasi ya kutosha kuketa madhara?
SIYO risasi, Zinazopigwa misibani zinaitwa Brankoo ni baruti maalum ambazo hutoa mlio baada ya kupigwa! Hazina madhara kabisa labda kwa wasioenda mlio tu ambao pia nayo hutolewa tahadhali kwa wenye magonjwa ya moyo kukaa mbali kidogo!Zile zinazopigwa misibani kwenye mazishi ya polisi huwa sio risasi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, baada ya kufika maximum height (velocity = 0 m/s), itaanza kushuka na velocity ikiongezeka due to acceleration due to gravity (g = 9.81 m/s/s). Sasa itategemea imeenda juu umbali gani, maana hiyo object itaposhuka itakuwa inaongezeka speed kila sekunde. Kwa hivi velocity yake itakuwa maximum itakapopiga chini.Inaposhuka huwa kasi yake inaongezeka kwa kila sekunde. By time inafika chini haitakuwa imeoata kasi ya kutosha kuketa madhara?
Ni kweli, baada ya kufika maximum height (velocity = 0 m/s), itaanza kushuka na velocity ikiongezeka due to acceleration due to gravity (g = 9.81 m/s/s). Sasa itategemea imeenda juu umbali gani, maana hiyo object itaposhuka itakuwa inaongezeka speed kila sekunde. Kwa hivi velocity yake itakuwa maximum itakapopiga chini. Madhara atakayoyapata mtu atayepigwa na hiyo object yatategemea uzito (weight) na velocity itakayotua nayo (momentum). Kwa hiyo kitachokudhuru ni momentum au impact, ambayo ni zao la velocity na mass (momentum = m * v).
Chief Katika umbali gani gravity inakuwa 0?Si kweli, Napitia comments apa naona Mnaandika uongo, Risasi ikipigwa Juu, Kuna Point inafika inaitwa "A point of no Return " Gravity inakua 0. Kwahy haiwezi kurudi tena duniani inabaki kwenye space huko
samahani mkuu kwani kutoka hapa ardhini mpaka nianze kuikuta space ni umbali gani, na hizi bunduki za kawaida zaweza kwenda umbali gani?Si kweli, Napitia comments apa naona Mnaandika uongo, Risasi ikipigwa Juu, Kuna Point inafika inaitwa "A point of no Return " Gravity inakua 0. Kwahy haiwezi kurudi tena duniani inabaki kwenye space huko
Kwaiyo kwenye huo umbali kutakaua na risasi nyingi zipo huko sio😕Si kweli, Napitia comments apa naona Mnaandika uongo, Risasi ikipigwa Juu, Kuna Point inafika inaitwa "A point of no Return " Gravity inakua 0. Kwahy haiwezi kurudi tena duniani inabaki kwenye space huko
Ile alinyooshewaa kbsa yaan[emoji23] then wakamtandikaza usooHivi Ile iliyomuua Aquilina ilikuwaje
HahahaaaaaaaSi kweli, Napitia comments apa naona Mnaandika uongo, Risasi ikipigwa Juu, Kuna Point inafika inaitwa "A point of no Return " Gravity inakua 0. Kwahy haiwezi kurudi tena duniani inabaki kwenye space huko
Muongo huyo tu hapo ni kama maximum kuanzia 100km hapo ndio unaanza kuiacha earth atmosphere na earth gravity hio zero points ..point of no return anayoisemea ni kwenye altitude ya 30000 Huko ambapo mtu ndio unaanza ku float hauwezi vutwa chini na earth gravitysamahani mkuu kwani kutoka hapa ardhini mpaka nianze kuikuta space ni umbali gani,
na hizi bunduki za kawaida zaweza kwenda umbali gani?
khe heh heh he...Si kweli, Napitia comments apa naona Mnaandika uongo, Risasi ikipigwa Juu, Kuna Point inafika inaitwa "A point of no Return " Gravity inakua 0. Kwahy haiwezi kurudi tena duniani inabaki kwenye space huko