Risasi ikipigwa juu angani inaweza kudhuru mtu ikishuka? Bunduki inaweza kupiga risasi na kudhuru kwa umbali gani?

Si kweli, Napitia comments apa naona Mnaandika uongo, Risasi ikipigwa Juu, Kuna Point inafika inaitwa "A point of no Return " Gravity inakua 0. Kwahy haiwezi kurudi tena duniani inabaki kwenye space huko
Mkuu yani risasi ipigwe juu mpaka ishinde gravity iingie hadi kwenye space? Never ever
 
Unaongelea risasi ya aina gan,maana Kuna risasi za bunduki mbalimbali kama AK-47,huzi gun,G3,SKS,12,sabasita ,14 eeeh zote izo ni bunduki na zinaujazo wake wa risasi na speed ya risasi inaendana pia na ujazo wa baruti kwenye risasi kwa mfano light mashine gun inaspeed kuliko smg
 
SIYO risasi, Zinazopigwa misibani zinaitwa Brankoo ni baruti maalum ambazo hutoa mlio baada ya kupigwa! Hazina madhara kabisa labda kwa wasioenda mlio tu ambao pia nayo hutolewa tahadhali kwa wenye magonjwa ya moyo kukaa mbali kidogo!
Brankoo(blanks)ni risasi baridi hazina madhara.

Madhara ya risasi ni kulingana na aina ya siraha iliyotumika kama ni Glock, AK,SAR,LMG etc kuna umbali ambao risasi inamadhara na kuna umbali hauna madhara risasi inafika inaanguka2
 
mkuu sizungumzii fataki. nazungumzia risasi. Umeona kwenye harusi za wasomali au waarabu? na hata sehemu za Africa utakuta wanapiga risasi juu kusherekea. Pia polisi hupiga risasi juu kutawanya na kutisha watu.
 
Pata mnyumbuliko kupata picha kamili.

https://en.m.wikipedia.org/wiki/Muzzle_velocity/
 
Spid ni ile ile hata iende juu kiasi gan any free falling body spid yake n 9.8 au 10 m/s²
 
mkuu sizungumzii fataki. nazungumzia risasi. Umeona kwenye harusi za wasomali au waarabu? na hata sehemu za Africa utakuta wanapiga risasi juu kusherekea. Pia polisi hupiga risasi juu kutawanya na kutisha watu.
Kama unataka ya wasomali kawaulize wasomalia! Sheria ya matumizi ya silaha duniani! Siyo ruhusa kurusha risasi kwenye tafrija! Bali ZINAZOPIGWA NI BRANKOO, FATAKI N.K
Branko ni baruti spesho zinazolipuka kwa mlio kama wa risasi!

Kwahiyo hakuna risasi inayopigwa kwenye sherehe labda kama kuna mharifu
 
Si kweli, Napitia comments apa naona Mnaandika uongo, Risasi ikipigwa Juu, Kuna Point inafika inaitwa "A point of no Return " Gravity inakua 0. Kwahy haiwezi kurudi tena duniani inabaki kwenye space huko
.
 
Mkuu turudishie chenji zetu....
 
Inategemea imepigwa na Nani.
Kama Ni polisi wa Tanzania lolote laweza kutokea.
 
Ko ndege hazifikagi km 100 angani?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Brankoo(blanks)ni risasi baridi hazina madhara.

Madhara ya risasi ni kulingana na aina ya siraha iliyotumika kama ni Glock, AK,SAR,LMG etc kuna umbali ambao risasi inamadhara na kuna umbali hauna madhara risasi inafika inaanguka2
Brankoo ndani ya mita ishirini na tano inaua,take it from me
 
Spid ni ile ile hata iende juu kiasi gan any free falling body spid yake n 9.8 au 10 m/s²
Hiyo siyo spidi bali ni rate ya kubadilika kwa spidi(acceleration). Maana yake kila sekunde moja spidi(velocity) inaongezeka kwa 9.8m/s
 
Mfano hata ukielekezwa kwenye mguu wa mtu hawezi dhurika?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…