Risasi ikipigwa juu angani inaweza kudhuru mtu ikishuka? Bunduki inaweza kupiga risasi na kudhuru kwa umbali gani?

Si kweli, Napitia comments apa naona Mnaandika uongo, Risasi ikipigwa Juu, Kuna Point inafika inaitwa "A point of no Return " Gravity inakua 0. Kwahy haiwezi kurudi tena duniani inabaki kwenye space huko
Hapa wanazungumzia risasi mkuu, sio rocket. Take it easy, risasi haiwezi kutoka nje ya dunia
 
Madhara si yaleyale hata ikipigwa na muarabu, mzungu au msomali. Nauliza kama risasi ikipigwa juu hewani, inaweza mdhuru au hata kumuua mtu inaposhuka?
 

Chochote kirushwacho juu (kama hakiondoki kabisa kutoka kwenye uso wa dunia) hupita na speed ile ile kirudipo chini katika kila point kama kilivyopita kikienda juu. Hii within limits of errors za energy losses due to air resistance, friction na discrepancies zingine kama za gravitational force kutokea kwenye uso wa dunia.

Zingatia umbali risasi yenye kutoka kwenye uso wa dunia na velocity 1,200m/s ikiwa fired vertically up itakwenda umbali gani assuming constant g.

Sasa calculate itafika ardhini tena kwa speed gani kutokea umbali huo huo kutokea 0 m/s kwenye turning point ignoring all the undue losses.

Zingatia shape na uzito wa risasi ni ili kuiwezesha kusafiri kwenye mstari ulionyooka ikiepuka air resistance.



Kimsingi ilitoka ardhini na 1,200m/s itafika na 1,200m/s ardhini. Ikitua kichwani labda uwe na kichwa cha chuma wala si cha jiwe - wafa!
 
Wakuu, wale wanaopiga risasi angani wakati wa sherehe au kutisha watu. Je, risasi hizo zinaweza safiri umbali gani angani? Wakati wa kushuka zinaweza kumdhuru mtu, na risasi inayopigwa horizontally inaweza kusafiri umbali gani na kudhuru mtu?
 
Kama ndivyo mbona ndege huwa zinaruka umbali huo na ikitokea zikipata ajali watu waliofariki hushuka mpaka chini kwenye earth surface kwa nini wasielee huko huko wasikutwe chini?just curious
 
Wakuu, wale wanaopiga risasi angani wakati wa sherehe au kutisha watu. Je, risasi hizo zinaweza safiri umbali gani angani? Wakati wa kushuka zinaweza kumdhuru mtu, na risasi inayopigwa horizontally inaweza kusafiri umbali gani na kudhuru mtu?
Muulize afande aliyemuua Akwirina
 
Mkuu vp kuhusu mshale?
 
Zile zinazopigwa misibani kwenye mazishi ya polisi huwa sio risasi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Blanks zile zinatoa mlio ila hazina kale kabullet yaani kale kakichwa kalikochongoka kama penseli mbele ambako kanatoka na kwenda kuingia kwenye target.

Kale kabullet hutengenezwa madini ya lead. Madini ambayo huipatia risasi ufanisi wa kutoka kwa kunyooka. Kitoka kwenye bunduki hadi kwenye target bila kuyumba sababu ya friction na resistance ndogo katika ya madini haya na hewa tofauti na madini mengine kama iron, silver, aluminum, etc.

Ndani ya risasi kuna ile gunpowder ambayo ndio utoa mlipuko na kufyatua bullet kutoka katika kasha la lake. So ikiwa bila kile kibullet inakuwa haina shida.
 
Kwa nadharia ya physics ni kuwa kama imetoka kwenye bunduki na velocity ya 100km/s basi itakuwa inaenda juu huku ikipungua spidi hadi 0km/s kisha inaanza kuanguka huku inaongezeka spidi kiasi kwamba hadi ikifika chini itakuwa na spidi ile ile iliyotoka nayo ya 100km/s ambayo ni hatari
 
Hii ina-apply hata tunapojisaidia? /Pooh/?
 
Kinachobaki constant ni acceleration (g = 9.81 m/s/s), lakini velocity itabadilika (kuongezeka) kila sekunde wakati wa kushuka.
 
AK 47 ndio inakwenda umbali mrefu lakini haifiki kilometre 5, acheni masihara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…