Riwaya: I died to save my President

Riwaya: I died to save my President

Ningefurahi zaidi kama hii mipango ya kumuua elvis ingekuja baada ya kifo chake ndo kulubule angeturudisha kwenye mipango jinsi ilivyo pangwa nafikiri kwenye kifo hata sisi wasomaji tungesikitika sana na tungekuja kupata morals tena baada ya kuturudisha nyuma mipango ilivyofanywa kwa usiri angalia elvis nae kamwambia na mchepuko wake kila kitu ukizingatia binafsi huwa siwaamini viumbe hawa ila ni utunzi mzuri na unahamasisha hasa kwa sisi wengine wa sekta hizo Asante
 
Kwenye ujasusi kunakitu kinaitwa uwazi na kuaminiana kwa washirika wa pamoja
 
Hatimaye nimefika mlipo kwenye alosto!

Mkuu kulubule tafadhali sikia ombi hili walau ushushe mzigo tuone Steve anavyowatengeneza wale vijana walotumwa kummaliza Elvis
 
Dah yule dokta atakula Patricia mpaka shavu za nanii zitakua km page za kitabu
 
Back
Top Bottom