Mzee wa Chai
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 684
- 1,202
Achana nayo usitumeTuliza akili mkuu utaielewa tu, ukitaka kuielewa angalia Heading na utangulizi kiini kiko humo.
So unapoflow nayo ukumbuke Heading na ile intro, na hii ni kwa wote wanaosema hawaielewi, Hii ni riwaya ya kimkakati sio Love story. So usitarajie mwandishi aende direct maana kila msomaji anajenga picha yake kichwani na picha zetu haziwezi kufanana kamwe ndivyo fasihi ilivyo.