Mzee wa Chai
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 684
- 1,202
Achana nayo usitumeTuliza akili mkuu utaielewa tu, ukitaka kuielewa angalia Heading na utangulizi kiini kiko humo.
So unapoflow nayo ukumbuke Heading na ile intro, na hii ni kwa wote wanaosema hawaielewi, Hii ni riwaya ya kimkakati sio Love story. So usitarajie mwandishi aende direct maana kila msomaji anajenga picha yake kichwani na picha zetu haziwezi kufanana kamwe ndivyo fasihi ilivyo.
Poa tuendelee na maisha mengine basi nadhani umeeleweka wegero kwetu,Achana nayo usitume
Dogo unaboa kweli.Poa tuendelee na maisha mengine basi nadhani umeeleweka wegero kwetu,
So umeridhika mkuu?
Sawa Kubwa lao,Dogo unaboa kweli.
Muache ufala.Sawa Kubwa lao,
Unapendekeza nini labda juu yetu madogo??
NakubarDakika tu hapo mkuu
Sawa tumeacha kaka mkuu,Muache ufala.
Ikitokea umedanja usisahau kunishtua ili nikusanye pesa za rambirambi[emoji41][emoji41][emoji41]Taarifa!!
Nitumie fursa hii kuwaomba radhi wapenzi na wafuatiliaji wa kigongo cha MABADUNI WA SERIKALI, kwa kukawia kuleta Sehemu ya 3.
Na hii ni kutokana na tatizo la kiafya nililo nalo, but hope Mungu atajaalia baada ya siku kadhaa tutaendelea.
Ahsanteni.
Wenu katika utunzi, Sonko Bibo.
Pole mkuuTaarifa!!
Nitumie fursa hii kuwaomba radhi wapenzi na wafuatiliaji wa kigongo cha MABADUNI WA SERIKALI, kwa kukawia kuleta Sehemu ya 3.
Na hii ni kutokana na tatizo la kiafya nililo nalo, but hope Mungu atajaalia baada ya siku kadhaa tutaendelea.
Ahsanteni.
Wenu katika utunzi, Sonko Bibo.
Wakati unakusanya rambi rambi, hakikisha unaanzia, Lugalo, Airwing, Kizuka, Ngere Ngere, Nyashana, Nyegezi, 602 njia ya Igombe.Ikitokea umedanja usisahau kunishtua ili nikusanye pesa za rambirambi[emoji41][emoji41][emoji41]
Nitaenda ngome tu hao wote uliowataja wataonyesha ushirikianoWakati unakusanya rambi rambi, hakikisha unaanzia, Lugalo, Airwing, Kizuka, Ngere Ngere, Nyashana, Nyegezi, 602 njia ya Igombe.
Amini utapewa fungu hadi utaomba nifufuke halafu nife tena.
Msisahau tu ile kitu A balad of a dead soldier.Nitaenda ngome tu hao wote uliowataja wataonyesha ushirikiano
Mchawi lughaMsisahau tu ile kitu A balad of a dead soldier.
Nakubali.Mchawi lugha
SahihNakubali.