Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Kijana mwenye mafanikio ana nafasi nzuri zaidi kupata mwanamke sahihi nimeona vijana wengi waliotoka familia bora wakioa wanawake wanaofaa kuitwa wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuowe wa 200 wanaoandika xawa😂😂 Hamna kuoa sisi wa 90s
😂😂😂🤣Tuowe wa 200 wanaoandika xawa
Xaxa
208
Yani tuonane
Siwezi mama yupo😂
Jamaa inaonekana amefanya research ya kutosha, yote aliyosema hapo ni ya kweli.Kuna mambo umeyaongelea hapo, yn dah yamenichoma knoma Naona kama umemuongelea huyu mwanamke niliyenaye
Ujumbe wa kwanza na wa pili 😭
Binafsi nimeumia knomaJamaa inaonekana amefanya research ya kutosha, yote aliyosema hapo ni ya kweli.
Usipo oa utaolewa. Kua makiniHizo sheria zako zote zinaweza vunjwa tu, natoa mifano;
Ke akiishi geto haimaanishi ana tabia zozote mbaya, wapo wabaya wanaoishi kwao
SIngle mother anaweza kutulia
Mtoto kulelewa na mzazi mmoja hakumharibu, inategemea huyo mzazi mmoja aliachana vipi na mwingine
Ngumu sana me kugharamikia familia peke yake hivi sasa
Bora ukachukue ushauri wa ndoa kwa wazazi na ndugu kwanza, jf watu hawaandiki uhalisia, wanaandika wanachoona ni sawa vichwani mwao
Ok time will tell mkuuSio kuangukia pua kuoa wanawake walio stafu
Young boy una mke na watoto ? Tell me kidMkuu naandika nachokijua. Sijakurupuka kuandika haya...
Kid swali limekua gumu ? Ok let make it short & clear una miaka mingapi toka umepatana na huyo demu wako ?Una uhakika mm ni young boy? Wake wake day dreamer