Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

Achana nae huyo kuoa ni 2050 mwezi wa saba
Acha hizo braza
F7MPi7TXwAAGJ8D.jpg
 
Kaalndika ujinga mtupu

Mke mwema hupatikana Kwa kuomba Mungu sio Kwa kumkodolea macho tu

Eti ohh wewe ndie uwe unemtia mimba huyo single mother mwanamke Gani mwenye heshima zake atakubali umtie mimba Kwa Rushwa laghai kuwa utamuoa? Wako kibao wametiwa mimba na wanaume wametelekeza

Tatu eti awe anakaa Kwa wazazi wake sio getto mjinga mkubwa mtu wazazi wake wako Mwanza yeye kapangiwa kazi Arusha atakaa Kwa mzazi wapi Mleta mada mjinga tu

Eti asiwe kalalewa na mama peke yake na kijana kama kalelewa na mama yake vipi.Kigezancha kulelewa na mama. Peke yake viko vingi kingine unakuta mtu alifiwa na mumewe kamwachia watoto

Kiujumla alichoandika ansonyesha hajakomaa akili baodo Mleta mada ni playboy mjinga Fulani hivi
Usitegemee wife material kwa mwanamke aliyelelewa na mama pekee/single mom. Usitegemee husband material kwa aliyelelewa na single mom
 
Mwongozo wa mapenzi ya kweli ni kusikilizana , kuheshimiana, na kujitolea , hii miongozo mingine sio miongozo ya mapenzi ya kweli bali ni ya project fulani kati ya me na ke watakao amua kuishi pamoja.
 
Mwongozo wa mapenzi ya kweli ni kusikilizana , kuheshimiana, na kujitolea , hii miongozo mingine sio miongozo ya mapenzi ya kweli bali ni ya project fulani kati ya me na ke watakao amua kuishi pamoja.
Mapenzi yote yanaanza na project, hukuona Eva alivyomuona Adam kazubaa bustanini karidhika na matunda ya bure, akaamua amcheck shetani (nyoka) wayajenge..!!
Sasa ww kaa hapo hapo km hujabebewa huyo mkeo ulie 😂😂
 
Mapenzi yote yanaanza na project, hukuona Eva alivyomuona Adam kazubaa bustanini karidhika na matunda ya bure, akaamua amcheck shetani (nyoka) wayajenge..!!
Sasa ww kaa hapo hapo km hujabebewa huyo mkeo ulie 😂😂
Aaaaaaa weeee mimi sina mke ila nina wanawake 😅😅
 
Mkuu wewe ni kataa ndoa??
HAPANA,rafiki😅

Naunga mkono vijana waoe,ikiwezekana hata sherehe zao wanipatie (mwaliko)sijui iko sahihi hilo neno..!

"Kataa ndoa" ni paka na panya kwangu.
 
Men is Financial Being And Women is Biological Being


Ubora wa mwanaume unapimwa Kiuchumi na Ubora wa mwanamke unapimwa kibailojia


Standard yoyote atayoweka mwanamke itampiga mwanaume asiye na uchumi imara na Standard yoyote atayoweka mwanaume itamtandika mwanamke kibailojia.


But, Financia tend to rise time go n Biological things tend to downfall as time goes.


Mwanamke aliyechagua wanaume kifedha akiwa na umri wa 21 atahitaji mwanaume yeyote akifika 29 ikiwa kibailohia kashashuka na wewe mwanaume ukiwa na 29 kiuchumi umeimarika usimkubali wa 29 kachague yule aliye na umri wa 21mwenye ubora kibaiolojia.

Mwanamke rahisi kueleza Standard zake mbele ya jamii kwasababu ni zina base kiuchumi
mfano "staki mwanaume mwenye pesa"
Ila mwanaume ni ngumu sana na hata waliona uthubutu wanajistukia
Mfano "Sitaki mwanamke asiye na Bikra"
"Sitaki mwanamke mwenye K Pana aliyetumika sana, sitaki mwenye maziwa ndala.

Lakini hizi Standard ndio mwanaume inabidi awe nazo.

Kitu cha ku-note hili suala la Standard wanaanzisha wanawake tukiw na 20-26 ila tukifika 27-30 mwanaume muda wako wa kufanya Standard unaonekan mbaya.
Ndio ni lazima watuone wabaya, kwa sababu hata wao wanapokuwa wanaweka standards zao katika umri mdogo huwa tunawaona wabaya, ni mwendo wa kuonana wabaya tu..
 
Wanawake kuna kitu watasema mwaka huu maana sio kwa hizo attacks.
Mkuu mimi naona wanawake wa kizazi hiki hawajali tena wanaume ndio itabidi tujipange, nina wasiwasi itafikia kipindi wanaume ndio tutaanza kushusha vigezo maana tunaowataka hawatakuwepo tena, itakuwa ni either uoe hawa hawa au usioe kabisa kitu ambacho ni kigumu..
 
Muandika uzi unajiona genius mwenyewe! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watoto wa 2000 mna matatizo sana kichwani. Mungu awasaidie
 
Back
Top Bottom