Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

Wanawake kuna kitu watasema mwaka huu maana sio kwa hizo attacks.
Hizi sio attacks towards wanawake ni Miongozo ya kupata mke bora wa kufanya nae familia
 
Ndio ni lazima watuone wabaya, kwa sababu hata wao wanapokuwa wanaweka standards zao katika umri mdogo huwa tunawaona wabaya, ni mwendo wa kuonana wabaya tu..
Dog Eat Dog
 
Mkuu naandika nachokijua. Sijakurupuka kuandika haya...
Najua hujakurupuka na UNAJUA ulichoandika.

Lakini kama umeoa au umewahi kuoa na kuacha au kuachwa labda uzi wako ungekua tofauti.

Kuna watu wameoa katika mazingira hayo juu(mengi sio yote) na wanaishi vizuri miaka mingi tu.
 
Mkuu mimi naona wanawake wa kizazi hiki hawajali tena wanaume ndio itabidi tujipange, nina wasiwasi itafikia kipindi wanaume ndio tutaanza kushusha vigezo maana tunaowataka hawatakuwepo tena, itakuwa ni either uoe hawa hawa au usioe kabisa kitu ambacho ni kigumu..
Ilo ni jambo la kweli mkuu, kwani wanawake wa nyakati hizi wamekua pasua kichwa mnoo
 
Oneni huyu mwanamke atakayemuoa lazima stroke imuue
sawa ila vijiji utavyo orodhesha vitokee manyara na usukumani

Leta ushuhuda kidogo ili waamini,rafiki.

Ndio ni lazima watuone wabaya, kwa sababu hata wao wanapokuwa wanaweka standards zao katika umri mdogo huwa tunawaona wabaya, ni mwendo wa kuonana wabaya tu..

Dog Eat Dog

Ni attacks kwa wale wanawake walio nje ya vigezo

😂😂😂 Boss kuna tatizo???
Kwahiyo mnataka tuwe watumwa wenu.?!!
 
Oneni huyu mwanamke atakayemuoa lazima stroke imuue
😳 Unajua vigezo ulivyoorodhesha ni vya ajabu, ndiomana wanaume wenzio wanakushangaa.!!
Ww ukitaka mke wa hivyo miaka hii, weka special order Mungu akutengenezee
Ila hapa dunia hii ya kuzaa kwa uchungu hupati ng’o
 
😳 Unajua vigezo ulivyoorodhesha ni vya ajabu, ndiomana wanaume wenzio wanakushangaa.!!
Ww ukitaka mke wa hivyo miaka hii, weka special order Mungu akutengenezee
Ila hapa dunia hii ya kuzaa kwa uchungu hupati ng’o
Kama una akili hii sitaki uwe compain manager wangu kichwa kama tofali wewe
 
4434s3

Salute,833
Kwa vijana wote specifically wa kiume waliozaliwa mwaka 1990s ambao wanataka ku7s474ingia maisha ya ndoa. Basi wajitatahidi sana kuzingatia mambo haya wakati wanapochagua wenzi wao wa5 maisha37.
Z8s8
[emoji3581]Mwanamke awe anaishi kwao na wazazi wake , sio anaishi geroo

[emoji3581]Hakikisha huo mwanamke aliyekwisha kuzaa na kama kashazaa wewe ndio uwe ulimzalisha. Usithubutu kuoa33 m73438373783wanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine. Hata Saint Joseph baada ya kusikia maria kapewa mimba na mwanaume mwingine aliamua kumuacha mchumba wake. USITH34UBUTU KUOA SINGLE MOM...

[emoji3581]Hakikisha mkeo mtarajiwa amelelewa na wazazi wawili hasa uwepo wa baba yake maishani mwa mke wako ni muhimu sana kwa443 aji53754li ya afya ya ndoa yenu.

[emoji3581]Hakikisha unatafuta mke ajili ya kujenga na kutunza familia achana na hao wanaojiita Superwomen... Kama unataka kiharusi/stroke ya mapema oa mwanamke halafu nyote wawili muwe mnatoka kwenda kusaka pesa. Al45soooh utaishia kujidunga maana stress ni mingi. Mwanaume inatakiwa wewe ndi7o utafute hela za kuendesha familia yako na kumtunza mkeo, na sio nyote mkatafue. Utakua unaenda kinyume na Uasili wa kiume pia kinyume na maagizo ya Mungu. Dini zote zinapinga hili. (Dini ya mashoga tu ndio inakubali.. Washirika wake wanaume utawaona wakipinga hili)

[emoji3581]Hakikisha unaoa mwanamke ukiyemzidi umri angalau miaka 10. Ni jambo la ajabu ww umezaliwa 96/95 afu unaoa mwanamke aliyezaliwa mwaka 97,98, au99. Wanaume wote waliozaliwa 95 mpaka 99 hakikisha huoi mwanamke wa 90s. Kuna wanawake wengi wazur na wanafaa kuolewa wamezaliwa 2000-2005. Achana na namba D au C chukueni namba E. 2000s

[emoji3581]Hakikisha huyo mke wako mtarajiwa sio mlokole...yaani sio wale wanaojifanya wapo deep in praying. Kila kitu wanakemea kila kitu wanajifanya kuhusisha uwepo wa roho mtakatifu. Wengi ni wanafki na washenzi. Wana tabia zote mbaya! Na kubwa zaidi asiwe anasali kwa manabii au anasali kwenye haya makanisa yapo kama vibanda umiza. Au yale yanayojiotea tu kama mchicha. Waokope sana wanawake wa namna hiyo... Wengi huko huenda kutega ili wajipatie maboya wa kuwaoa.

[emoji3581]Hakikisha mwanamke wako anakutii na kukuheshim.. Wanawake wa aina hii hutawakuta kenya na mikoa inayopakana na kenya. Mwanamke bora inatakiwa pindi inapotokea kutokuelewana kati yenu siraha yake kuu iwe "naomba nisamehe mme wangu" kisha baadae hali ikishakua shwali ndio anaeleza uliyomuudhi. Nb. Kumuomba msamaha mwanamke wako ni jambo jema ila mwanaume usizoee kufanya hivyo. Mkeo atakadharau na kukuona wewe submissive hence atatafuta mwanaume mwingine mbabe kukuzidi. Coz hatokua anafeel ule uanume wako wa ukali na ubabe

[emoji3581]Jiepushe na wanawake wenye element za ufeminist. Yaani ujuaji mwingi kila kitu kwake ligi anajua.

[emoji3581]Bikra ni muhimu ila isiwe kigezo cha.

Yangu ni hayo... Mwenye masikio na asikie.

Ndimi,
Da'Vinci
-Mwenyekiti wa vijana wa 90s. (self proclaimed)
Taifa.
View attachment 2890110

3
 
Acha unaa ww 🤣🤣
Kuna kitu kimenitesa hapo,nilihitaji kuuliza ila naogopa utanicheka hapa mbele ya kadamnasi😅.

Naona umetembelea hii thread kuchungulia vijana waoaji wanasemaje.🤣
 
Salute,
Kwa vijana wote specifically wa kiume waliozaliwa mwaka 1990s ambao wanataka kuingia maisha ya ndoa. Basi wajitatahidi sana kuzingatia mambo haya wakati wanapochagua wenzi wao wa maisha.

✔️Mwanamke awe anaishi kwao na wazazi wake , sio anaishi geroo

✔️Hakikisha huo mwanamke aliyekwisha kuzaa na kama kashazaa wewe ndio uwe ulimzalisha. Usithubutu kuoa mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine. Hata Saint Joseph baada ya kusikia maria kapewa mimba na mwanaume mwingine aliamua kumuacha mchumba wake. USITHUBUTU KUOA SINGLE MOM...

✔️Hakikisha mkeo mtarajiwa amelelewa na wazazi wawili hasa uwepo wa baba yake maishani mwa mke wako ni muhimu sana kwa ajili ya afya ya ndoa yenu.

✔️Hakikisha unatafuta mke ajili ya kujenga na kutunza familia achana na hao wanaojiita Superwomen... Kama unataka kiharusi/stroke ya mapema oa mwanamke halafu nyote wawili muwe mnatoka kwenda kusaka pesa. Aloooh utaishia kujidunga maana stress ni mingi. Mwanaume inatakiwa wewe ndio utafute hela za kuendesha familia yako na kumtunza mkeo, na sio nyote mkatafue. Utakua unaenda kinyume na Uasili wa kiume pia kinyume na maagizo ya Mungu. Dini zote zinapinga hili. (Dini ya mashoga tu ndio inakubali.. Washirika wake wanaume utawaona wakipinga hili)

✔️Hakikisha unaoa mwanamke ukiyemzidi umri angalau miaka 10. Ni jambo la ajabu ww umezaliwa 96/95 afu unaoa mwanamke aliyezaliwa mwaka 97,98, au99. Wanaume wote waliozaliwa 95 mpaka 99 hakikisha huoi mwanamke wa 90s. Kuna wanawake wengi wazur na wanafaa kuolewa wamezaliwa 2000-2005. Achana na namba D au C chukueni namba E. 2000s

✔️Hakikisha huyo mke wako mtarajiwa sio mlokole...yaani sio wale wanaojifanya wapo deep in praying. Kila kitu wanakemea kila kitu wanajifanya kuhusisha uwepo wa roho mtakatifu. Wengi ni wanafki na washenzi. Wana tabia zote mbaya! Na kubwa zaidi asiwe anasali kwa manabii au anasali kwenye haya makanisa yapo kama vibanda umiza. Au yale yanayojiotea tu kama mchicha. Waokope sana wanawake wa namna hiyo... Wengi huko huenda kutega ili wajipatie maboya wa kuwaoa.

✔️Hakikisha mwanamke wako anakutii na kukuheshim.. Wanawake wa aina hii hutawakuta kenya na mikoa inayopakana na kenya. Mwanamke bora inatakiwa pindi inapotokea kutokuelewana kati yenu siraha yake kuu iwe "naomba nisamehe mme wangu" kisha baadae hali ikishakua shwali ndio anaeleza uliyomuudhi. Nb. Kumuomba msamaha mwanamke wako ni jambo jema ila mwanaume usizoee kufanya hivyo. Mkeo atakadharau na kukuona wewe submissive hence atatafuta mwanaume mwingine mbabe kukuzidi. Coz hatokua anafeel ule uanume wako wa ukali na ubabe

✔️Jiepushe na wanawake wenye element za ufeminist. Yaani ujuaji mwingi kila kitu kwake ligi anajua.

✔️Bikra ni muhimu ila isiwe kigezo cha.

Yangu ni hayo... Mwenye masikio na asikie.

Ndimi,
Da'Vinci
-Mwenyekiti wa vijana wa 90s. (self proclaimed)
Taifa.
View attachment 2890110
Km huyo baba alifariki?
Mama katelekezwa je?
Ikawalazimu kulea wao wenyewe?

Think twice before hujaandika!
Oa kwanza halafu uje utupe mrejesho hapa
 
Mkuu, mimi nachangia nikiwa kama mtu ambaye nimeishi miaka mingi na kuyaona mengi ktk miasha yangu ya mahusiano na watu walionizunguka.

Hayo yote uliyoyasema yana ukweli kwa 97%.
nakazia ila hawa vijana wenye mapepo hawawezi elewa mpaka yawakute
 
Back
Top Bottom