Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

nakazia ila hawa vijana wenye mapepo hawawezi elewa mpaka yawakute
Kwamba lzm awe amelelewa na wazazi wote,hasa baba

Km baba alikufa? Au mama alitelekiezwa je?
Maana kuna ambao baba zao hawako nao Kwa sbb mbalimbali sio km mama zao walitaka kuwalea peke Yao....
Unawaweka kundi Gani?
 
Kuna kitu kimenitesa hapo,nilihitaji kuuliza ila naogopa utanicheka hapa mbele ya kadamnasi😅.

Naona umetembelea hii thread kuchungulia vijana waoaji wanasemaje.🤣
😂😂😂 uliza bana
Waoaji miyayusho tyuu.!!
Bado tuna safari ndefu
 
Imagine unaoa mwanamke anayeandika hivi.. Tyuuuuh

Meneja ww sio wife material kabisa.. I'm in tear for you!
Umeona sasa?? Ww ndiomana nakwambia utachelewa kupata mke..!!
Sasa vitu vidogo km hivyo vya swagger unamind..!! Mke akikwambia uzame uvinza utaweza??
Si utakuja unalia hapa na uzi mrefu km msafara wa siafu 😂😂
 
Kwamba lzm awe amelelewa na wazazi wote,hasa baba

Km baba alikufa? Au mama alitelekiezwa je?
Maana kuna ambao baba zao hawako nao Kwa sbb mbalimbali sio km mama zao walitaka kuwalea peke Yao....
Unawaweka kundi Gani?
kwa mama anayelea mtoto huku mzazi wa kiume amefariki wana tofauti kubwa sana na hawa wanaolelewa na hawa wanaojiita super women!
 
Kwa hiyo Paulo aliandika jinsi ya kupata mke Kwa vigezo Hivyo vya kibwege ulivyoandika wewe?

Uko bado kwenye stupid age wewe Mambo ya ndoa kaa nayo mbali mjinga wewe
We umbwaa ulivyogundua nimekujua umekimbia. Rudi hapa
 
Umeona sasa?? Ww ndiomana nakwambia utachelewa kupata mke..!!
Sasa vitu vidogo km hivyo vya swagger unamind..!! Mke akikwambia uzame uvinza utaweza??
Si utakuja unalia hapa na uzi mrefu km msafara wa siafu 😂😂
Unauhakika ukiniambia niende wilaya ya kigoma sitaweza?? Niambie uone
 
😂😂😂 uliza bana
Waoaji miyayusho tyuu.!!
Bado tuna safari ndefu
Nimepata jibu,google na walimwengu wamesaidia.

Safari ndefu unaitengeneza mwenyewe,olewa haraka..nina hamu ya kuserebuka kwenye sherehe.
 
Imagine unaoa mwanamke anayeandika hivi.. Tyuuuuh

Meneja ww sio wife material kabisa.. I'm in tear for you!
Hahahaha..!

Ana maneno magumu sana,sijui anatoa wapi kiswahili chake.🤣

Lakini si kigezo cha kumfanya asiolewe.
 
Nimepata jibu,google na walimwengu wamesaidia.

Safari ndefu unaitengeneza mwenyewe,olewa haraka..nina hamu ya kuserebuka kwenye sherehe.
Soon usijali andaa suit ya kufungulia champagne 🍾
 
Mkuu uko sahihi kwa asilimia nyingi, Uzi umejaa utimamu sana huu

Wanawake walio nje ya mzani watakupinga sana
 
Back
Top Bottom