princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
This is the wayNa nitakuoa wewe🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is the wayNa nitakuoa wewe🤣
Kabisakwa mama anayelea mtoto huku mzazi wa kiume amefariki wana tofauti kubwa sana na hawa wanaolelewa na hawa wanaojiita super women!
Probably umeoa juzi au uko kwenye za kuoa ndio maana unatuletea haya makelele sana siku hizi.Kanuni ni ile ile...
Taasisi ya ndoa lazima iheshimiwe, ilindwe na kutunzwa kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo.
Usipooa, utaolewa. Wanaume wote wasiotaka kuoa tutawafanya michepuko/nyumba ndogo
View attachment 2890114
Hakuna u-guru kwenye ndoaUmeoa mkuu?au ushawahi kuoa na kuacha/kuachwa?
Hilo neno "sio wote" limewaponza wengi sanaHizo sheria zako zote zinaweza vunjwa tu, natoa mifano;
Ke akiishi geto haimaanishi ana tabia zozote mbaya, wapo wabaya wanaoishi kwao
SIngle mother anaweza kutulia
Mtoto kulelewa na mzazi mmoja hakumharibu, inategemea huyo mzazi mmoja aliachana vipi na mwingine
Ngumu sana me kugharamikia familia peke yake hivi sasa
Bora ukachukue ushauri wa ndoa kwa wazazi na ndugu kwanza, jf watu hawaandiki uhalisia, wanaandika wanachoona ni sawa vichwani mwao
Kwani mpaka uoe huyo aliyetelekezwa, wapo ambao hawajatelekezwa. Hii kujifanya una huruma ndo kumewaponza wengi.Kwamba lzm awe amelelewa na wazazi wote,hasa baba
Km baba alikufa? Au mama alitelekiezwa je?
Maana kuna ambao baba zao hawako nao Kwa sbb mbalimbali sio km mama zao walitaka kuwalea peke Yao....
Unawaweka kundi Gani?
Umeelewa nilichoandika?Kwani mpaka uoe huyo aliyetelekezwa, wapo ambao hawajatelekezwa. Hii kujifanya una huruma ndo kumewaponza wengi.
Chukulia mfano wahindi, huwa hawapendi vijana wao waoe au kuolewa na mtu mweusi(waafrica) Na wapo very strict, haina huruma hiyo. Unadhani wahindi hawajui kwamba kuna watu weusi ni wema pengine kuliko hao wahindi wenzao? Wanajua sana lkn vigezo na masharti lazima vizingatiwe