Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

Kanuni ni ile ile...
Taasisi ya ndoa lazima iheshimiwe, ilindwe na kutunzwa kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo.
Usipooa, utaolewa. Wanaume wote wasiotaka kuoa tutawafanya michepuko/nyumba ndogo
View attachment 2890114
Probably umeoa juzi au uko kwenye za kuoa ndio maana unatuletea haya makelele sana siku hizi.

Au ndio mambo ya kipya kinyemi.

Kwakuwa nipo JF since kitambo nakumbuka nyuzi zako nyingi ukileta habari za kupigwa matukio.

Hujakoma!!

One day utaleta stori za kupigwa matukio.
 
Hilo neno "sio wote" limewaponza wengi sana
 
Kwamba lzm awe amelelewa na wazazi wote,hasa baba

Km baba alikufa? Au mama alitelekiezwa je?
Maana kuna ambao baba zao hawako nao Kwa sbb mbalimbali sio km mama zao walitaka kuwalea peke Yao....
Unawaweka kundi Gani?
Kwani mpaka uoe huyo aliyetelekezwa, wapo ambao hawajatelekezwa. Hii kujifanya una huruma ndo kumewaponza wengi.

Chukulia mfano wahindi, huwa hawapendi vijana wao waoe au kuolewa na mtu mweusi(waafrica) Na wapo very strict, haina huruma hiyo. Unadhani wahindi hawajui kwamba kuna watu weusi ni wema pengine kuliko hao wahindi wenzao? Wanajua sana lkn vigezo na masharti lazima vizingatiwe
 
Umeelewa nilichoandika?
Soma vzr mtoa mada anasema usioe Ambae hajalelewa na baba ,akifikiri Kila single mother ni Hawa wanaojitakia .

Nimetoa mfano wa mama aliyefiwa au kuachwa akapambana kulea mwenyewe ,watt wake wasiolewe Kwa ajili ya nn?
Ni sbb zisizo na msingi, angetuambia single mother wanaojitakia ningemuelewa sio Hawa ambao baba alikufa watt wakabaki na mama kwanza Wana malezi tofauti na Hawa wanaojitakia
 
Mvulana ambaye hujawahi kuoa au kuishi na mwamke unashauri vipi wanaume kuhusu kuoa
 
Na nyie ujana wenu mliutumia wapi,,,kama unaona sisi wa 2000 tunaongea ujinga, kausha na ubaki na hizo Hekima zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…