adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
Nipo hapo kwa siku mbili..hali ya hewa safi sana.Kumetulia(Songe)Hivi vi-miji vidogo vidogo vina mzuka wake kukaa. Ukiachana na mavurugu ya miji mikubwa.
Yeah 100%Huko kuzuri kwa kubreak mara moja kama week.
Chief huko zaidi ya siku 5..huwa hatukai..otherwise uwe una kazi imekamilka ya kufanya kwa muda flani..Ila usivuke mwezi mzee, utaboreka