Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!



πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Aisee!
Noma Sana
 
mbona siku hizi wanaume wenzetu wengi sana wanatuambia tusiwape wanawake pesa hii imeakaaje kitaalamu ?
Hawana heshima na yaliyowekwa. Hawajiheshimu. Wengi wao ni soulless, wanatumika, wanafaidika kusambaratisha Maadili na Utamaduni wa Mwafrika.

Ipo siku na wao Watalia ' Mama'
 
Jamaa ana ukweli Kwa mbaali lakini ukimsogelea kwa karibu anaeneza chuki
Wala haenezi! Kawaida tu .Aliyoandika ni ukweli mchungu.Sio wote lakini asilimia kubwa wanawake wanawatumia wanaume kama big G utamu ukiisha tupa kule.
 
πŸ‘ŠπŸ½
 
Kuna kabila moja nalijua hapa TZ kanda ya kaskazini (Sio Wachaga lakini) .Ukioa hao hakuna rangi utaacha kuiona! Wanaanza kuwashawishi/kuwateka watoto tangu wadogo na wanawapa Sera kidogo kidogo ukiwa haupo .Mkifikia uzeeni huna watoto! Na utaachwa uteseke uzee wote! Hayo niliyaona kwa rafiki yangu.Watoto wanafanya kazi Ila simu nyingi kwa mama hawana hata habari na baba!
 

Taja Mkuu nikabila gani hilo
 
Umeongea point psychologist says ....focus on your goals and they will always came for you just like a lot of superstars in the world TAIKON WA FASIHI BONGE LA SIMULIZI LENYE UJUMBE

πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
 
Wazungu mwanzo wa kupigana mikia wenyewe kwa wenyewe ilianzia hapa
 
Mkuu niko hapa Pade bar nakula vitu vyangu kimya kimya hawa wahudumu wamekaa kwa mbaali wakiniangalia nami anaendelea na safari zangu bariidi wala sina habari nao wao ni kujipitisha na mizambwandwa yao mi nawambia kimoyomoyo maisha ni magumu kila mtu apambane na hali yake.
 
Ukilewa usiwaona wabaya watakapoanza kujishaua
 
yanapita sikio la kulia yanatokea sikio la kushoto akiwepo na wewe mleta mada
mwanamke tako akili tutatumia za kwangu(walisikika wanaume wa jf)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…