Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Wewe dada usijumlishe kila mtu kwenye ujinga wako et wanaume wa bongo,
 
Wanawake wote wadangaji huu Uzi ni WA moto ......

Hawawezi hata kucomment [emoji2][emoji2][emoji2][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
M

Mbona unapenda kushindana na wanawake??
 
M

Mbona unapenda kushindana na wanawake??
 
Hili lijamaa huwa linaandika mambo ya maana sana basi tu wengi hawataki kunywa ukweli.
 
Hilo swali la mwisho uulizwe wewe. Je, ni mumeo? Mbona unam diss as if kakuolea mke wa pili?
Huo Ugonjwa ni wenu nyie walamba Wazungu.

Dhamira yangu ilishatimia, amejirudi na kuandika Dira ya Wanawake.

Hatahivyo, nitaendelea kuwabomoabomoa nyie Makimbari(Racist) Nyie wachukia Wanawake(misogynist)

Agenda yenu inaelekea kufa, mtajulikana,mnaonekana. Hapa siyo Ulaya wala Marekani...Hii ni Afrika.
 

Wewe ni mpumbavu.
Kwa Akili zako na upeo wako unafikiri ninapoandika hapa ninaandika Kwa sababu ya matakwa ya MTU yeyote?

Kwamba wewe useme hivi ndio Mimi nifanye, Uzuzu ni Mbaya Sana
 
Huyo mnayedai Taikun ni Uchwara, Huyo ni mtu mwenye chuki dhidi ya Wanawake, hata kumtishia Mama ake Dada ake Bibi yake, hauoni kuwa yeye ni Misogynist..
Oh Mara mfanyabiaahara, mara mwanafunzi, Ni mwongo mwongo tu. Mnajibishana kana kwamba kuna wengine wanakubaliana na uchafu wenu, ati ukweli! Hakuna lolote lile zaidi ya Kujenga chuki dhidi ya Waafrika. na Jamii ya Watanzania.

Hakuna sehemu yeyote ile ambayo mnaweza bandika ushenzi wenu. Chukua neno kwa neno ubandike Faisbuk au Twiiita uone kama bandiko litakaa. I dare you!


Katika maandishi yake Humu JamiiForums yote kuhusu wanawake, iwe pisi kali au hili bandiko ni la Chuki. Linalenga na dhamira potofu, hasi na uhasama kwa Jamii yeyote ile Duniani.

We do not want your "Tobaco Brides" hatutaki kuzaliana kama mnavyozaliana na kaka na dada zenu hatutaki!

Tatizo huwa mnajiona kuwa ni wajibu wenu kuwepo na uhitaji wakumdhibiti Mwanamke na hizo ni fikra za Kimbari ,ni Fikra za Oswald Spangler pamoja na Sigmud freud. Ni watu hatari kwa Jamii.

Sambamba, kwa ushetani wenu na uovu mnaoendelea kueneza, mtashindwa tu. Mnaamini kuwa ni wajibu wenu kuongoza wale wanaoonekana dhaifu, mfano mzuri tu Ni Wanawake hawa Wakiafrika tena Vijana. Alas you are Insecure, Petty and Ignorant

Narudia, Huyu Hererl ni Mbaguzi A Misogynist kama nyie wengi mnaomtetea na Bandiko lake hili na mengine, Njama zenu Mawazo yenu hayana tofauti na yale ya Trump na wenzake


Herieri Has no moral authority, let alone education or any proven research to lecture our Women and or Men in any Social Subject. Let alone our Society.

Mkalegeee, na mchomeke hapa hapa Duniani.

We do not want you to instill your values nor your evil Traditions amongst our Youth.

Sasa muitane tuwajue

Aluta Continua.
 
Wewe ni mpumbavu.
Kwa Akili zako na upeo wako unafikiri ninapoandika hapa ninaandika Kwa sababu ya matakwa ya MTU yeyote?

Kwamba wewe useme hivi ndio Mimi nifanye, Uzuzu ni Mbaya Sana
You are a Misogynist. Wewe ni mwongo. Wewe ndio unasema watu wasifanye haya na Wafanye yale. Mwongo tu hapa tumewashtukia. Yaani wewe lazima Ulale Central.

Unafikiri nitakuacha kwa matusi yako/yenu??
Stop Terrorising our Youth, Stop Terrorising our Women...You evil twat.
You definately sick, petty Insecure and Ignorant.
Nenda ukalale na Dada ako pisi kali.
Na ulegee, na ukiniona mtaani ujihaarishie.

Sasa nenda ubadilishe ID uje na kejeli zako na Matusi. Huna hoja.

Narudia Bandiko lako lina hatarisha Usalama wa Taifa letu.
 
BBC:Mwanaume akifikisha umri wa miaka 35 kuna hatari ya kupata mtoto mwenye USONJI.

Mwisho wa kunukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…