King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Nahisi jamaa ni lithenge hili sio bure!!Hili jamaa siyo bwege kweli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi jamaa ni lithenge hili sio bure!!Hili jamaa siyo bwege kweli??
Wewe dada usijumlishe kila mtu kwenye ujinga wako et wanaume wa bongo,Kuumizwa ni darasa na uzoefu! kwanza ni sifa!........ na kudhihirisha ubinadamu wangu! hayaumizwi mawe bali watu na mie si ni ntu au!!
Ndo maana nasema weye ni st kayumba kwa sababu, y chromosomes ikiwa kwa mbupu hajawa ntoto kamili!! ntoto kamili ataungana na x nyangine tena! unanipa kazi ya kueleza!....akimwagia chooni huyo ni kichaa!
anahitaji msaada wa dharula! chooni ni sehemu ya kuhifadhi kinyesi cha binadamu mavi siyo mbegu! unasikia nenda kasome tena af uje!
Refferences nimekupa kibao narudia.......Iran, Urusi/ukrain zinapigwa mpaka sasa unadhani ni kwa nini???......pesa na wanawake/watoto wao!...leo hii Bongo mnaongozwa na Wakoloni wenu hamfurukuti! kisa?......
wake na watoto wa Mkoloni waendelee kupeta miaka nenda rudi wakt weye Mbongo unafurahia kunenepesha makalio kibinafsi, hutaki kutunza mke na mtoto.
ndo maana yule waziri Davidi cameroon aliwahi kuwaomba nyaa! vidume km weye mchana kweupeee!! kwa sababu mnapenda misaada!!...japo basi ungeficha huu ujinga eti unaonyesha waziiiiii!!
tena basi hiyo hela unayo kula chips peke yako umepewa na Mwanaume mwenzio km msaada! ( Mkoloni uongo??)!..km mie muongo sema wapi mnachapisha hela Bongo hiyo??...mnauza nini nje??
yaani Cameroon hakukosea kwa kauri yake!
ya kusema baadhi ya wanaume Bongo mnafaa kuolewa!! na ndo ukweli! km hutaki kutunza familia manake basi olewa! weye uolewe! ugeuzwe geuzwe Unalia nini?? pesa utapewa tu uongo jamani??
umeweka wazi unatamani kupumuliwa ili upewe hela vizuri ukale peke yako!!
Maweee!! hufai kuoa!! weye ndo hujui hela hiyooo siyo yako ni ya familia yako hupaswi kumega hata nusu! peleka kwa mkeo akupangie matumizi! hata ivo
kasome Biblia yoote!
weye hela hizo si zako unazifyatua wapi??
Mashuka safi, nyumba safi, chakula kitamu, watoto wazuri wasafi unawapikia weye?? baraka zote unazipata wapi km si mkeo???
Vip kuhusu ongezeko la single motherMtasema yote hamuwezi ish bila wanawake
Wee Kurumbembe wanaume wanapokuwa na majadiliano wew nenda chumban ukaoge na kuandaa kitanda,nyangumi wew sijui hukupitia unyago.Ebu Ficha ujuaj wako.Hili jamaa siyo bwege kweli??
Hapo nimemuita muda kweli, hajatokea. Ana kazi ya kunisengenya tu huku na kwanini hanimention?binti kiziwi leo kazi unayo
ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!
Anaandika Robert Heriel
Kuhani.
Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40.
Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe.
Ninapenda kuwausia Vijana Kwa sababu wengi Zama hizi kuna mafunzo hamkuyapata Kutokana na sababu mbalimbali. Mojawapo kutokulelewa na Wazazi Wawili.
Elewa kuwa Wanawake hawatakuzingatia na watakupuuza kama huna lolote la maana.
Nataka nikuambie kuwa Wanawake ambao ndio Mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu na wake zetu ndio viumbe ambavyo ni Materialists kuliko kiumbe chochote hapa Duniani.
Usifanye vitu kuwa- impress Wanawake. Yaani usitafute kupendwa na Wanawake. Elewa kuwa Wanawake hawanaga kitu inaitwa upendo wa kweli. Wanaupendo lakini sio Ile upendo halisi.
Kama hujaoa, kamwe usipoteze nguvu zako Ati kuhonga ili upendwe na Mwanamke.
Utakwama! Ni uzuzu na upumbavu kufanya vitu ili uwa-impress kina Dada.
Vijana wengi WA Zama hizi wanaumizwa na mapenzi Kwa sababu ya ujingaujinga. Eleweni kuwa Wanawake waliowengi wanatamaa(Materialists) utakufa siku sio zako.
Roadmap ya mwaka 2023 ni kuishi Maisha yako Kwa furaha. Bila kutaka kujipendekeza Kwa Watoto wakike.
Kadiri unavyokuwa huna habari nao hawa Wanawake ndivyo unavyokuwa bize na Maendeleo yako. Kadiri unavyojishughulisha nao ndivyo unavyopoteza Focus ya Maisha.
Wanawake wengi Kwa sehemu kubwa ni chombo cha starehe hata kama wapo wanaobisha lakini huo ndio ukweli wenyewe. Iwe ni Kwa wazungu au wachina. Ipo hivyo.
Ukitaka kufanikiwa na kuwa na Utulivu wa Akili na Maisha usiwaendekeze Wanawake. Usipende kuwasikiliza wanataka nini au wanataka uweje.
Usipende wakusifie, Wanawake hawanaga Tabia ya kusifia wao hupenda kusifiwa tuu, ukiona mwanamke anakusifia ujue kuna kitu anapata Kutoka Kwako.
Mwanamke hawezi kukusifia hivihivi.
Roadmap ya Mwaka huu ni kutokuwa mtumwa wa kuwatumikia Watu ambao ni Materialists, yaani bila Pesa huwezi kuishi Naye.
Mwanamke WA hivyo fukuza. Usipomfukuza ukiwa na nguvu watakufukuza wewe Kwa kusaidizana na watoto wake siku utakapokuwa Mzee usiye na nguvu.
Wanaume mliondoani, msiwaendekeze Wake zenu, mtakufa siku si zenu kisa ujinga. Anataka kwenda kwao kisa mambo yenu magumu, hakuna cha kumbembeleza mwambie Aende. Mpe msimamo kuwa ukiondoka kinaingia Chuma kingine. Akileta maneno ya kashfa mpuuze.
Sijakataza kuhonga, nimekataza MTU kuhonga ili ati apendwe. Huo ni uzuzu. Upendo haununuliwi.
Pesa zako hazikufanyi upendwe, ila zinakufanya uonekane mtumwa wa Wanawake, msukule, mgodi au shamba la Bibi.
Huwaga nashauri, kama Mwanamke anahitaji umpe Pesa ndio mahusiano ya-exist ni Bora ukanunua Makahaba ya bei za rejareja kwani utatumia siku ukilihitaji.
Lakini sio ujibebeshe zigo la misumari Kwa ujinga,
Nataka nikuambie kuwa Kabla hujamweka Mwanamke ndani unayemhonga ili uwe kwenye mahusiano naye, elewa kuwa sio kila Siku utafanya naye Mapenzi.
Ndani ya siku 30 tuu utakuwa ushamchoka, na katika hizo siku 30 ninauhakika hautafanya kila Siku.
Hivyo kuingia kwenye relationship na Mwanamke WA namna hiyo ni kujigeuza Msukule Mbele ya Kigagula.
Ooh! Sasa nahitaji MKE wakuoa ili tusaidiane Maisha. Hakuna aliyekukataza kuoa, Ola elewa kuwa Kuoa Mwanamke materialist(mwenye tamaa ya vitu kama Pesa/Mali, magari) huyo hamsaidizani Maisha huyo anakudidimiza.
Ooh! Sasa Nani atanipikia, naoa ili anipikie. Acha ujinga.
Hizo Pesa ulizompangia nyumba nzima au unayomlipia Kodi ilhali wewe bado unajitafuta ni Bora ununue Pressure Cooker ya Tsh 150,000/= au Majiko ya oven Yale yenye kupikia hapohapo.
Kisha nunua Mashine ya kufulia ya laki tano(Tsh 500,000/=) Nunua na Zile Mashine za kuwatishia nyumba ni laki tatu tu.
Huna haja ya kusema Nani atanifulia, kwani kazi za Mashine ni nini boya wewe. Ni kweli huwezi kutengeneza wala kubuni Mashine. Basi hata kununua zile za bei chee ushindwe?
Penda Kula, hiyo Pesa unayofanywa Msukule nazo na Wanawake watakaokupa Ukimwi na UTI ni Bora ununulie Nyama au pombe alafu Asubuhi umeweka Bill ya maziwa Lita moja. Fanya kazi Kula bata.
Mbona Vijana mnapesa hata kama ni ndogondogo lakini mnaweza Kula Maisha ni vile mnaendekeza upumbavu na uzuzu alafu mnataka Taikon niwachekee na kuwaambia Kwa upole. Mimi sipo hivyo, hata mnichukie au hao Wanawake Materialists wanachukie huwaga Mimi sio MTU wa kujali majitu mazuzu
Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.
Waza kujenga nchi, sio kuwaza Wanawake kama lijinga jinga.
Hakuna ujana mwingine zaidi ya huo ulionao, kijana mdogo miaka 30 alafu unateswa kwa upuuzi upuuzi!
Roadmap ya Mwaka huu ni Kupiga Pesa, Kula bata upendavyo, Maisha ni leo tuu.
Kumbuka; Wakati wewe unawazingatia wanawake, wao hawakuzingatii wewe isipokuwa vitu ilivyo navyo. AMKA!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.

Hili lijamaa huwa linaandika mambo ya maana sana basi tu wengi hawataki kunywa ukweli.ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!

Mkuu nimekuelewa saaana na ndo lengo langu 2023
Huo Ugonjwa ni wenu nyie walamba Wazungu.Hilo swali la mwisho uulizwe wewe. Je, ni mumeo? Mbona unam diss as if kakuolea mke wa pili?
Huo Ugonjwa ni wenu nyie walamba Wazungu.
Dhamira yangu ilishatimia, amejirudi na kuandika Dira ya Wanawake.
Hatahivyo, nitaendelea kuwabomoabomoa nyie Makimbari(Racist) Nyie wachukia Wanawake(misogynist)
Agenda yenu inaelekea kufa, mtajulikana,mnaonekana. Hapa siyo Ulaya wala Marekani...Hii ni Afrika.
You are a Misogynist. Wewe ni mwongo. Wewe ndio unasema watu wasifanye haya na Wafanye yale. Mwongo tu hapa tumewashtukia. Yaani wewe lazima Ulale Central.Wewe ni mpumbavu.
Kwa Akili zako na upeo wako unafikiri ninapoandika hapa ninaandika Kwa sababu ya matakwa ya MTU yeyote?
Kwamba wewe useme hivi ndio Mimi nifanye, Uzuzu ni Mbaya Sana
Ha ha. Nipatie sifa yeyote ile. Haibadilishi ukweli. Nyie/wewe Herieri ni watumishi wa Mashetani. Bisha basiHili jamaa siyo bwege kweli??
Umeshaokoa nani? Weka ushahidi. Kuna Tafiti yeyote ya Kisayansi na Upumbavu na Upuuzi anaoeneza?Huu UZI uwe PINNED juu kabsa maana utaokoa maisha ya wengi.