Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #361
You are a Misogynist. Wewe ni mwongo. Wewe ndio unasema watu wasifanye haya na Wafanye yale. Mwongo tu hapa tumewashtukia. Yaani wewe lazima Ulale Central.
Unafikiri nitakuacha kwa matusi yako/yenu??
Stop Terrorising our Youth, Stop Terrorising our Women...You evil twat.
You definately sick, petty Insecure and Ignorant.
Nenda ukalale na Dada ako pisi kali.
Na ulegee, na ukiniona mtaani ujihaarishie.
Sasa nenda ubadilishe ID uje na kejeli zako na Matusi. Huna hoja.
Narudia Bandiko lako lina hatarisha Usalama wa Taifa letu.
Kwanza hana Elimu, Pili hajaandika kwa Utafiti wewote, Tatu ni Mchukia wanawake....he is A Misogynist. bishaKtu gan alichoandka kinachoonesha Hajali watu wa africa? Naomba Nithibitishie!!!!!
Huna Taifa wala Utaifa. mzamiaji tu wewe.Acha uzuzu!
Taifa letu sio la mazuzu.
Uzuzu mbaya Sana.
Kuna Ulazima wa Serikali wakuangalie Vizuri.
Nawashauri wale wa Kitengo Maalum wakuchunguze...
Taikun my foot.
Una tatizo...Bado utakataa wewe sio Zuzu?
Ngoja nikuache na Uzuzu wako.
Peleka maombi Huko kitengo au waombe kitengo kazi hiyo ya kunichunguza, wakupe Ajira uachane na uzuzu
HahaWale wenye mashaka na Taikon, jaribuni kumfatilia vizuri mtamwelewa.
Kila nyanja yupo iwe kwenye mahusiano, afya, elimu, uchumi, ujasusi nk, na kwote huko anadadavua vizuri yaan hapunji wala kupendelea bali ni uhalisia tu.
Kwa kifupi Taikon ni li-package fulani hivi amazing sana.
ππππππππMwaka wa tatu huuππππHapo nimemuita muda kweli, hajatokea. Ana kazi ya kunisengenya tu huku na kwanini hanimention?
kajekudya Honga Hisense huko acha janja janja! π Na ukihonga tu huko na mimi napiga parefu! Ila nimekumbuka nina deni π€π€
Una tatizo...
Jibu haya....Uliweza sikia wazazi wako wakiadisiana kuhusu madhara ya Kujamiana?
Wazazi wake walikuwa watiifu kwenye ndoa yao?
Je unakumbuka kama ulitoka tumboni kirahisi au kwa Ugumu?
Hivi Wazazi wako walikuambia kama wewe ndio waliokuwa wanategemea, Mwanaume au Mwanamke?
Je Ulishawahi kujifiiri sio Mwanaume kamili au Kama wewe Mwanamke Ulifikiri sio Mwanamke kamili?
Je unaweza kujistahi au kujihimili pindi Mke wako au Mume wako anapokukatalia tendo la ndoa?
Zuzu ni sifa pia. na haibadilshi ukweli.
You are a Misogynist.
Sasa Unakasirika nini?Huwezi amini hayo uliyoandika yameandikwa na Msomi.
Uzuzu Dawa yake haipo. Wataalamu walishashindwaga
Tutawajua tu Maharamia.Principle yao ni moja, if you care they don't care, if you don't they do.
Og masta
Acha utaahira.M
Mbona unapenda kushindana na wanawake??
Afadhali angekuwa anashindana. Ni mtia Chuki, ni Misogynistπ³Mbona unapenda kushindana na wanawake??
Unaposheherekea kumtelekeza mwanamke utabakia nini?Nahisi jamaa ni lithenge hili sio bure!!