Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

You are a Misogynist. Wewe ni mwongo. Wewe ndio unasema watu wasifanye haya na Wafanye yale. Mwongo tu hapa tumewashtukia. Yaani wewe lazima Ulale Central.

Unafikiri nitakuacha kwa matusi yako/yenu??
Stop Terrorising our Youth, Stop Terrorising our Women...You evil twat.
You definately sick, petty Insecure and Ignorant.
Nenda ukalale na Dada ako pisi kali.
Na ulegee, na ukiniona mtaani ujihaarishie.

Sasa nenda ubadilishe ID uje na kejeli zako na Matusi. Huna hoja.

Narudia Bandiko lako lina hatarisha Usalama wa Taifa letu.

Acha uzuzu!
Taifa letu sio la mazuzu.

Uzuzu mbaya Sana.
 
Ktu gan alichoandka kinachoonesha Hajali watu wa africa? Naomba Nithibitishie!!!!!
Kwanza hana Elimu, Pili hajaandika kwa Utafiti wewote, Tatu ni Mchukia wanawake....he is A Misogynist. bisha

Tatizo lako na wewe Wanawake hawakutaki ndio maana unaafikiana naye, zaidi ya hapo kafute mikojo kwenye godoro lako. Mtajulikana tu nyie waongo.

Kabadilishe ID tena
 
Kuna Ulazima wa Serikali wakuangalie Vizuri.

Nawashauri wale wa Kitengo Maalum wakuchunguze...

Taikun my foot.
 
Wale wenye mashaka na Taikon, jaribuni kumfatilia vizuri mtamwelewa.

Kila nyanja yupo iwe kwenye mahusiano, afya, elimu, uchumi, ujasusi nk, na kwote huko anadadavua vizuri yaan hapunji wala kupendelea bali ni uhalisia tu.

Kwa kifupi Taikon ni li-package fulani hivi amazing sana.
 
Bado utakataa wewe sio Zuzu?

Ngoja nikuache na Uzuzu wako.
Peleka maombi Huko kitengo au waombe kitengo kazi hiyo ya kunichunguza, wakupe Ajira uachane na uzuzu
Una tatizo...
Jibu haya....Uliweza sikia wazazi wako wakiadisiana kuhusu madhara ya Kujamiana?

Wazazi wake walikuwa watiifu kwenye ndoa yao?

Je unakumbuka kama ulitoka tumboni kirahisi au kwa Ugumu?

Hivi Wazazi wako walikuambia kama wewe ndio waliokuwa wanategemea, Mwanaume au Mwanamke?

Je Ulishawahi kujifiiri sio Mwanaume kamili au Kama wewe Mwanamke Ulifikiri sio Mwanamke kamili?

Je unaweza kujistahi au kujihimili pindi Mke wako au Mume wako anapokukatalia tendo la ndoa?

Zuzu ni sifa pia. na haibadilshi ukweli.
You are a Misogynist.
 
Wale wenye mashaka na Taikon, jaribuni kumfatilia vizuri mtamwelewa.

Kila nyanja yupo iwe kwenye mahusiano, afya, elimu, uchumi, ujasusi nk, na kwote huko anadadavua vizuri yaan hapunji wala kupendelea bali ni uhalisia tu.

Kwa kifupi Taikon ni li-package fulani hivi amazing sana.
Haha

Mtakuja tu na Ma Id Mapya tutawajua maharamia nyie!
 
Hapo nimemuita muda kweli, hajatokea. Ana kazi ya kunisengenya tu huku na kwanini hanimention?

kajekudya Honga Hisense huko acha janja janja! 😅 Na ukihonga tu huko na mimi napiga parefu! Ila nimekumbuka nina deni 🤔🤭
😂😂😂😂😂😂😂😂Mwaka wa tatu huu😊😊😊😊
 
Una tatizo...
Jibu haya....Uliweza sikia wazazi wako wakiadisiana kuhusu madhara ya Kujamiana?

Wazazi wake walikuwa watiifu kwenye ndoa yao?

Je unakumbuka kama ulitoka tumboni kirahisi au kwa Ugumu?

Hivi Wazazi wako walikuambia kama wewe ndio waliokuwa wanategemea, Mwanaume au Mwanamke?

Je Ulishawahi kujifiiri sio Mwanaume kamili au Kama wewe Mwanamke Ulifikiri sio Mwanamke kamili?

Je unaweza kujistahi au kujihimili pindi Mke wako au Mume wako anapokukatalia tendo la ndoa?

Zuzu ni sifa pia. na haibadilshi ukweli.
You are a Misogynist.

Huwezi amini hayo uliyoandika yameandikwa na Msomi.

Uzuzu Dawa yake haipo. Wataalamu walishashindwaga
 
Nahisi jamaa ni lithenge hili sio bure!!
Unaposheherekea kumtelekeza mwanamke utabakia nini?

Unafikiri hayo matusi yanabadilisha Udhalimu wako/wenu?

Je unakumbuka au unajua wazazi wako kama walitaka uzaliwe Mwanamke au Mwanaume??

tehe he Jikoshe tu mmejulikana na nitaendelea kuwaumbua.
 
Taikon umeandika uzi bora sana kwa vijana na Kama wataifuata hiyo road map yako Basi watafika mbali
Dunia inawabagua sana vijana wasio na pesa Ni muhimu sana vijana wajikite kwenye maendelea badala ya kuendekeza uhusiano usio na tija
 
Back
Top Bottom