Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Kwanza hana Elimu, Pili hajaandika kwa Utafiti wewote, Tatu ni Mchukia wanawake....he is A Misogynist. bisha

Tatizo lako na wewe Wanawake hawakutaki ndio maana unaafikiana naye, zaidi ya hapo kafute mikojo kwenye godoro lako. Mtajulikana tu nyie waongo.

Kabadilishe ID tena
Bado unabishana na mm? Mbna nishakuweka kwenye "ignore list" zaman sana??? Hua sibishani na wajinga mana ntakua napoteza mda wangu for nothing!!!!
 
ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!

Anaandika Robert Heriel
Kuhani.

Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40.

Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe.

Ninapenda kuwausia Vijana Kwa sababu wengi Zama hizi kuna mafunzo hamkuyapata Kutokana na sababu mbalimbali. Mojawapo kutokulelewa na Wazazi Wawili.

Elewa kuwa Wanawake hawatakuzingatia na watakupuuza kama huna lolote la maana.

Nataka nikuambie kuwa Wanawake ambao ndio Mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu na wake zetu ndio viumbe ambavyo ni Materialists kuliko kiumbe chochote hapa Duniani.

Usifanye vitu kuwa- impress Wanawake. Yaani usitafute kupendwa na Wanawake. Elewa kuwa Wanawake hawanaga kitu inaitwa upendo wa kweli. Wanaupendo lakini sio Ile upendo halisi.

Kama hujaoa, kamwe usipoteze nguvu zako Ati kuhonga ili upendwe na Mwanamke.

Utakwama! Ni uzuzu na upumbavu kufanya vitu ili uwa-impress kina Dada.

Vijana wengi WA Zama hizi wanaumizwa na mapenzi Kwa sababu ya ujingaujinga. Eleweni kuwa Wanawake waliowengi wanatamaa(Materialists) utakufa siku sio zako.

Roadmap ya mwaka 2023 ni kuishi Maisha yako Kwa furaha. Bila kutaka kujipendekeza Kwa Watoto wakike.

Kadiri unavyokuwa huna habari nao hawa Wanawake ndivyo unavyokuwa bize na Maendeleo yako. Kadiri unavyojishughulisha nao ndivyo unavyopoteza Focus ya Maisha.

Wanawake wengi Kwa sehemu kubwa ni chombo cha starehe hata kama wapo wanaobisha lakini huo ndio ukweli wenyewe. Iwe ni Kwa wazungu au wachina. Ipo hivyo.

Ukitaka kufanikiwa na kuwa na Utulivu wa Akili na Maisha usiwaendekeze Wanawake. Usipende kuwasikiliza wanataka nini au wanataka uweje.

Usipende wakusifie, Wanawake hawanaga Tabia ya kusifia wao hupenda kusifiwa tuu, ukiona mwanamke anakusifia ujue kuna kitu anapata Kutoka Kwako.
Mwanamke hawezi kukusifia hivihivi.

Roadmap ya Mwaka huu ni kutokuwa mtumwa wa kuwatumikia Watu ambao ni Materialists, yaani bila Pesa huwezi kuishi Naye.

Mwanamke WA hivyo fukuza. Usipomfukuza ukiwa na nguvu watakufukuza wewe Kwa kusaidizana na watoto wake siku utakapokuwa Mzee usiye na nguvu.

Wanaume mliondoani, msiwaendekeze Wake zenu, mtakufa siku si zenu kisa ujinga. Anataka kwenda kwao kisa mambo yenu magumu, hakuna cha kumbembeleza mwambie Aende. Mpe msimamo kuwa ukiondoka kinaingia Chuma kingine. Akileta maneno ya kashfa mpuuze.

Sijakataza kuhonga, nimekataza MTU kuhonga ili ati apendwe. Huo ni uzuzu. Upendo haununuliwi.

Pesa zako hazikufanyi upendwe, ila zinakufanya uonekane mtumwa wa Wanawake, msukule, mgodi au shamba la Bibi.

Huwaga nashauri, kama Mwanamke anahitaji umpe Pesa ndio mahusiano ya-exist ni Bora ukanunua Makahaba ya bei za rejareja kwani utatumia siku ukilihitaji.

Lakini sio ujibebeshe zigo la misumari Kwa ujinga,
Nataka nikuambie kuwa Kabla hujamweka Mwanamke ndani unayemhonga ili uwe kwenye mahusiano naye, elewa kuwa sio kila Siku utafanya naye Mapenzi.

Ndani ya siku 30 tuu utakuwa ushamchoka, na katika hizo siku 30 ninauhakika hautafanya kila Siku.

Hivyo kuingia kwenye relationship na Mwanamke WA namna hiyo ni kujigeuza Msukule Mbele ya Kigagula.

Ooh! Sasa nahitaji MKE wakuoa ili tusaidiane Maisha. Hakuna aliyekukataza kuoa, Ola elewa kuwa Kuoa Mwanamke materialist(mwenye tamaa ya vitu kama Pesa/Mali, magari) huyo hamsaidizani Maisha huyo anakudidimiza.

Ooh! Sasa Nani atanipikia, naoa ili anipikie. Acha ujinga.

Hizo Pesa ulizompangia nyumba nzima au unayomlipia Kodi ilhali wewe bado unajitafuta ni Bora ununue Pressure Cooker ya Tsh 150,000/= au Majiko ya oven Yale yenye kupikia hapohapo.

Kisha nunua Mashine ya kufulia ya laki tano(Tsh 500,000/=) Nunua na Zile Mashine za kuwatishia nyumba ni laki tatu tu.

Huna haja ya kusema Nani atanifulia, kwani kazi za Mashine ni nini boya wewe. Ni kweli huwezi kutengeneza wala kubuni Mashine. Basi hata kununua zile za bei chee ushindwe?

Penda Kula, hiyo Pesa unayofanywa Msukule nazo na Wanawake watakaokupa Ukimwi na UTI ni Bora ununulie Nyama au pombe alafu Asubuhi umeweka Bill ya maziwa Lita moja. Fanya kazi Kula bata.

Mbona Vijana mnapesa hata kama ni ndogondogo lakini mnaweza Kula Maisha ni vile mnaendekeza upumbavu na uzuzu alafu mnataka Taikon niwachekee na kuwaambia Kwa upole. Mimi sipo hivyo, hata mnichukie au hao Wanawake Materialists wanachukie huwaga Mimi sio MTU wa kujali majitu mazuzu

Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.

Waza kujenga nchi, sio kuwaza Wanawake kama lijinga jinga.
Hakuna ujana mwingine zaidi ya huo ulionao, kijana mdogo miaka 30 alafu unateswa kwa upuuzi upuuzi!

Roadmap ya Mwaka huu ni Kupiga Pesa, Kula bata upendavyo, Maisha ni leo tuu.

Kumbuka; Wakati wewe unawazingatia wanawake, wao hawakuzingatii wewe isipokuwa vitu ilivyo navyo. AMKA!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
Taikoni #andiko lako halitakiwi kupingwa.
 
Hapo nimemuita muda kweli, hajatokea. Ana kazi ya kunisengenya tu huku na kwanini hanimention?

kajekudya Honga Hisense huko acha janja janja! 😅 Na ukihonga tu huko na mimi napiga parefu! Ila nimekumbuka nina deni 🤔🤭
Na dawa ya ahadi ni kuitimiza, embu njoo kwa waziri mkuu huku tafadhali binti kiziwi
 
Mimi nimekuelewa mkuu[emoji120]
 
Bado unabishana na mm? Mbna nishakuweka kwenye "ignore list" zaman sana??? Hua sibishani na wajinga mana ntakua napoteza mda wangu for nothing!!!!
Weka kwenye listi yeyote ili.
Ndio tabia yako, ndio unavyowafanyia Dada zako, utakuwaje na mwanamke... Huwaheshimu? Mama ako anajua umo humu kuwatukana kucha?

Hivyo Visenti unavyolipwa vitakusaidia kuondoa usongo wa Wanawake unaokusumbua?

Kajitazame kwenye kioo uone kama kuna mwanamke atakutamani. Ebo!
Eniweiyi kabadilishe ID tena
Haibadilishi matatizo yako ya ubongo. Wewe Muongo, wanawake hawakutaki, badala yake unadandia post za Wanaume kuwa katisha tamaa na juhudi zao kuwa nao...You sink onto the same category of Mysogynism twats.
Usiniletee za Kuleta.

Bisha nikupe dongo lako.
 
Mkuu mbna kama umepaniki?
Its your Misogynistic mind that is in a Panic mode. Don't loose yourself. Jibu unayoulizwa.
Huna uwezo wa kunichagiza.

Nenda unywe pombe utulie. Nauitapike. Niadithie kesho ilikiwaje.
Usiku mwema.
 
Ona sasa.We nae ni Great thinker?
Shule zifunguliwe tu
 
Una asili ya uchoyo! umimi, ubinafsi, visununu! hustahili hata kuigwa unataka kula mwenyewe tuuu!! hutaki usharika! wkt umesoma umoja ni nguvu!!...... st kayumba mna matatizo ya ubongo.......

ulisomea wapi kwani?? jifunze kubeba mapungufu ya mwenzio!!! Dadako/mamako akifanyiwa hayo utafurahi?? lkn hii yooote sababu hukuwa na baba!! ungekulia kwa baba ako!

asinge kufundisha uchoyo!! eti ule wewe tuuu! ushibe ukalale mweee!! Taifa litajengwa na nani??
Mfano ukiwa na tsh million 5 isiyo na kazi, kwenye mawazo yako utawaza kumtoa out mwanaume unaempenda weekend M-spend laki 3 hivi, full bill on u, kuwa honest smaki
 
Sisi mademu wapenda pesa tunakwambia hiviii "Mwanamke ni kama maji tuu usipoyaoga utayachambia"... 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
Tena kwa dunia ya sasa kwa sisi wanaume ukiwa na pesa Nyingi, kama tayari una mke, kitu cha kukaa nacho mbali ni michepuko, kama hujaoa ni kukaa mbali na tabia ya kudate wanawake wengi, maanake Most women will totally destroy a financially successful man Kalpana
 
A hunderd percent sure...if you know that u have a great chance to win life...
Vitabu vya Mungu vimeandika kaa mbali na zinaa...
Kuna kingine kinasema kaa mbali na mwanamke malaya atakufilisi mpka akili 😆 😆 😆
 
Kuna kingine kinasema kaa mbali na mwanamke malaya atakufilisi mpka akili [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Anayefilisiwa na mwanamke ni mlala hoi na si tajiri.

Imagine mtu pesa zake zinaongezeka akifanya zinaa, huyu unamfilisi vipi yaani? Unaanzaje kwa mfano?
 
Shida ni kwamba, hauwezi kuwapuuzia. Na ndio wanafanya tutafute pesa Kwa nguvu na jitihada zote.

Mwanamke akikukataa unaitafuta pesa Kwa hasira zote kuweka heshima.
Umeona mbali..

Pesa ngumu Sana ..ndio.maana zinatafutwa kila mbinu.. .. wanawake Ni maua..na hawazuii mtu kufanya yake.. ..Ni wazembe ..tu ndio wanaharibu! Kanuni zipo toka kale.. ..tuishi nao kwa akili ! ..wa kuelewa watafahamu..mwandishi alimaanisha nini!
 
A hunderd percent sure...if you know that u have a great chance to win life...
Vitabu vya Mungu vimeandika kaa mbali na zinaa...
Kuna kingine kinasema kaa mbali na mwanamke malaya atakufilisi mpka akili 😆 😆 😆

Sema vimwanamke vingine vizuri Daah!
🏃🏃
 
Back
Top Bottom