Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Uzuri wa dunia ya leo Marekani akisusa CCM ya china haitatuacha
 
Ila kuliingiza jeshi kwenye siasa ni jambo baya sana iwapo limefanyika.

Ikitokea vita (hatuombei) unadhani tunaweza kuwa wamoja tena?Mwalimu alituongoza kushinda vita vya uganda,je kwa hivi leo hali ilivyo watu wanavyochukiana na tena jeshi nalo lijiingize,mbona ni hatari?

Hivi kweli hakuna watu wenye hekima nchi hii kila mtu anawaza tu tumbo lake?Hasha siamini.Najua mpo wenye hekima.Vaeni ujasiri,muondoe hali hii.Mungu atawabariki kwa ajili ya nchi yetu.
 
Madikteta wana roho ngumu sana, wapo tayari watu mamilioni kwa mamilioni wafe lakini wao waendelee kusalia madarakani tu. Omar Bashir wa Sudan alipigiwa kelele sana bila ya mafanikio, thanks God sasahivi anavuna alichokipanda. Mwisho wa Magufuli utakua mbaya sana..
 
Magufuli must go I agree with Amsterdam,

Firstly he killed a lot of innocent people for instance Akwilina,

Only corpses will vote for him.
Who is Amsterdam in this sovereign country?

October 28th kura zote za ndio JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…