Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi


Huu ni umbumbu au kitu gani? Kwanza, Tanzania is a sovereign state. Chaguzi za Tanzania zinaendeshwa solely kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Disputes zote za uchaguzi wa Tanzania zitakuwa adjudicated and decided (exclusively and conclusively) na mahakama za Tanzania.

This law firm is a bunch of thugs. They think they are doing their client a big favor, but in fact they’re creating more questions about their client’s allegiance to his country. This is almost a treasonous act!

As many of us can remember, this kind of solicitation of foreign interference in internal affairs threw American Donald Trump into hot soup. He was impeached, but was subsequently rescued by his Republican party; otherwise, he wouldn’t be the U.S. President by now.

Watanzania tunaopenda taifa letu tunazidi kuongezewa sababu za kumkataa huyu puppet Tundu Lissu tarehe 28 October, with a bang!
 
Sasa barua si ingeandikwa kwa kiswahili tu maana mnasema bosi kinge hakipandi

Jpm oyee
 
Kwa mtu anayejua jinsi ya ku shape siasa za Marekani-Washington atamwambia nguvu ya Lobby Firms,hawa jamaa wana ushawishi mkubwa mnoo na ndiyo maana hata ukiangalia tokea jamaa anamwakilisha Lissu Marekani imekua inaongelea siasa za Tanzania kwa ukaribu sana,na jamaa keshasema anakusanya ushahid ili kuapply sanctions kwa viongozi wa serikali kupitia US & UK magnitsky Law-NEC siyo Wajinga wanaporekebisha baadhi ya mambo huyu jamaa anayoyakosowa-& infact Amsterdam keshasema tumesha qualify for sanctions and its a guarantee there will be sanctions.
Hii resolutions mpya ya leo ya US Senate iliyokuwa sponsored na Senator Bob Menendez inayoitaka serikali ya Marekani kutuwekea vikwazo jua ni kazi za Akina Amsterdam;siyo mambo mepesi kuyadharau manake madhara yatakuwa makubwa mnoo kwa nchi hvyo NEC ijitahd kuwa fair.Amsterdam siyo mtu wa kawaida kawa watu wanavyosema-Jamaa huwa anashughulika na complicated political cases duniani
 
Kumbe anakufahamu? Basi nitamuuliza!!
Kila la heri mkosa point. Serikali unayoishabikia ilimkana Makonda wakati WA zoezi lake unajua sababu we mbwiga? Serikali yako inatembeza bakuli Kwa hao waumini WA mashoga Hadi kujengewa matundu ya vyoo hivyo funga domo lako Serikali yako ilishalishafunga Kwa ajili ya umaskini.
 
Akigoma kutoka kwa kura tutamtoa kwa nguvu, yeye anahisi nchi nzima machizi yeye tu ndiyo mwenye akili anatuchagulia direction. Mwaka huu basi
 
Takataka lilisahau kuwa liliwahi kusema limemuondoa Gambo Kwa ajili ya ugomvi na viongozi wenzie, Leo limedai Gambo alimuumba ruhusa akagombee ubunge.
Tuliwaambia acheni kushobokea mambo yanayotokea ccm!
Mlimshobokea Membe na ndio huyo anawapigisha kwata.

Hako ka kibaraka kenu katapigwa mbele na nyuma hatakapata zaidi ya 20%
 
Magufuli ni rais atakayekuwa wa kwanza kutawala awamu moja ndani ya taifa letu zuri.
Amewagawanya watanzania
Amewadharau watanzania
Ameharibu mfumo mzima wa taifa letu huku mambumbumbu machache yakimkenulia meno!
Wengi wamekufa mazingira ya kutatanisha kwenye serikali yake
Kawafunga wengi kisiasa
Serikali yake imetetea ushoga mchana kweupe pee kwa kujitenga na operesheni ya makonda ya kuwasaka mashoga, serikali yake ikaandika barua ya kujitenga na lengo la makonda na ikakiri kwamba mashoga na wasagaji wapo huru Tanzania [emoji17]
Katumia vibaya hazina ya tsifa na kusababisha upotevu mkubwa wa fedha za umma kwa kiwango cha kutisha!
Amevuruga demokrasia
Kala fedha za rambirambi za watu wa Kagera
Kaliingiza jeshi la polisi na jeshi la wananchi kwenye siasa zake za majitaka

Hatufai hata kwa mwezi mmoja huyu mtu!
Watanzania wapenda haki pamoja na watu wote wapenda demokrasia wamemkataa
Upo sawa
 
Hii resolutions mpya ya leo ya US Senate iliyokuwa sponsored na Senator Bob Menendez inayoitaka serikali ya Marekani kutuwekea vikwazo jua ni kazi za Akina Amsterdam;siyo mambo mepesi kuyadharau manake madhara yatakuwa makubwa mnoo kwa nchi hvyo NEC ijitahd kuwa fair.Amsterdam siyo mtu wa kawaida kawa watu wanavyosema-Jamaa huwa anashughulika na complicated political cases duniani
Yule ni takataka tu!

Na anazidi kumaharibia Lisu. Yani yeye mambo ya ndani ya tz yanmhusu nini? Hasa kwenye ishu nyeti kama uchaguzi?

Huyo jamaa yenu sijui hata kama ana washauri! Kabisa mzungu anakupigania uwe rais?

Afrika nzima utapingwa.
 
Naona umelewa kama Yule aliekuwa akihutubia Arusha.
Tuliwaambia acheni kushobokea mambo yanayotokea ccm!
Mlimshobokea Membe na ndio huyo anawapigisha kwata.

Hako ka kibaraka kenu katapigwa mbele na nyuma hatakapata zaidi ya 20%
 
Mnatuletea barua za wasenge kwenye taifa la watu huru?
Huyo anajipotezea muda tu.
Kama waliandika toka zamani lakini tunapeta sasa guo si ni ujinga tu.
Hata wao wanajua kuwa kuna wazungu wenzao ambao ni wajinga kama Amsterdam .
Uzuri toka huyo jamaa aanze kujiongelesha kwa Magu, Magu hajawahi kujibu hata siku moja. Na nashauri Magu abaki kimya hivyo hivyo ili huto tubarua twake waishie kusoma wanabavicha huko Twitter
 
Roberto anapoteza Muda tu! Katika nchi hii!

Umoja wa ulaya umeridhika na mazingira na taratibu za uchaguzi Tanzania.

Wewe ni nani mpaka ututishe??

Huna Madaraka yeyote katika dunia hii..ukitoa huo uanasheria uchwara!

Law firm yako naona kwa sasa umekosa wateja kabisa.
 
Hii barua inakera sijui kama yupo mzalendo anaeweza kusoma neno kwa neno. Barua ya kishenzi, acha kuandika tu ila kumwandikia Rais wa nchi. Huu upuuzi mkubwa. Dhararu zisizovumilika kwa nchi. Halafu watu wanamshangilia mzungu, beberu mwenye kiu ya kuharibu nchi yetu kwa manufaa ya manyonyaji, makabaila, mababeru. We no more colonised. We are a free state.
 
Back
Top Bottom