mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
AAA wapi!Angeeleweka vizuri kama angeandika kwa kisukuma,Magufuli haelewi kibepari.Tarehe 28 chagua Magufuli, Tanzania njema yaja.
Wachina waliojazana Hadi wanauza ice cream!.Uzuri wa dunia ya leo Marekani akisusa CCM ya china haitatuacha
Kumbe anakufahamu? Basi nitamuuliza!!Muulize Kangi Lugola.
Hii resolutions mpya ya leo ya US Senate iliyokuwa sponsored na Senator Bob Menendez inayoitaka serikali ya Marekani kutuwekea vikwazo jua ni kazi za Akina Amsterdam;siyo mambo mepesi kuyadharau manake madhara yatakuwa makubwa mnoo kwa nchi hvyo NEC ijitahd kuwa fair.Amsterdam siyo mtu wa kawaida kawa watu wanavyosema-Jamaa huwa anashughulika na complicated political cases dunianiKwa mtu anayejua jinsi ya ku shape siasa za Marekani-Washington atamwambia nguvu ya Lobby Firms,hawa jamaa wana ushawishi mkubwa mnoo na ndiyo maana hata ukiangalia tokea jamaa anamwakilisha Lissu Marekani imekua inaongelea siasa za Tanzania kwa ukaribu sana,na jamaa keshasema anakusanya ushahid ili kuapply sanctions kwa viongozi wa serikali kupitia US & UK magnitsky Law-NEC siyo Wajinga wanaporekebisha baadhi ya mambo huyu jamaa anayoyakosowa-& infact Amsterdam keshasema tumesha qualify for sanctions and its a guarantee there will be sanctions.
Kila la heri mkosa point. Serikali unayoishabikia ilimkana Makonda wakati WA zoezi lake unajua sababu we mbwiga? Serikali yako inatembeza bakuli Kwa hao waumini WA mashoga Hadi kujengewa matundu ya vyoo hivyo funga domo lako Serikali yako ilishalishafunga Kwa ajili ya umaskini.Kumbe anakufahamu? Basi nitamuuliza!!
Akigoma kutoka kwa kura tutamtoa kwa nguvu, yeye anahisi nchi nzima machizi yeye tu ndiyo mwenye akili anatuchagulia direction. Mwaka huu basi
Tuliwaambia acheni kushobokea mambo yanayotokea ccm!Takataka lilisahau kuwa liliwahi kusema limemuondoa Gambo Kwa ajili ya ugomvi na viongozi wenzie, Leo limedai Gambo alimuumba ruhusa akagombee ubunge.
Nenda kalale sina muda wa kujibizana na vilaza acha kunipotezea mudaHaya tumekusikia! Kingine?
Upo sawaMagufuli ni rais atakayekuwa wa kwanza kutawala awamu moja ndani ya taifa letu zuri.
Amewagawanya watanzania
Amewadharau watanzania
Ameharibu mfumo mzima wa taifa letu huku mambumbumbu machache yakimkenulia meno!
Wengi wamekufa mazingira ya kutatanisha kwenye serikali yake
Kawafunga wengi kisiasa
Serikali yake imetetea ushoga mchana kweupe pee kwa kujitenga na operesheni ya makonda ya kuwasaka mashoga, serikali yake ikaandika barua ya kujitenga na lengo la makonda na ikakiri kwamba mashoga na wasagaji wapo huru Tanzania [emoji17]
Katumia vibaya hazina ya tsifa na kusababisha upotevu mkubwa wa fedha za umma kwa kiwango cha kutisha!
Amevuruga demokrasia
Kala fedha za rambirambi za watu wa Kagera
Kaliingiza jeshi la polisi na jeshi la wananchi kwenye siasa zake za majitaka
Hatufai hata kwa mwezi mmoja huyu mtu!
Watanzania wapenda haki pamoja na watu wote wapenda demokrasia wamemkataa
Yule ni takataka tu!Hii resolutions mpya ya leo ya US Senate iliyokuwa sponsored na Senator Bob Menendez inayoitaka serikali ya Marekani kutuwekea vikwazo jua ni kazi za Akina Amsterdam;siyo mambo mepesi kuyadharau manake madhara yatakuwa makubwa mnoo kwa nchi hvyo NEC ijitahd kuwa fair.Amsterdam siyo mtu wa kawaida kawa watu wanavyosema-Jamaa huwa anashughulika na complicated political cases duniani
magufuli anatakiwa kuwa waziri wa ujenzi na miundombinu, cheo cha Urais ni kikubwa kuliko uwezo wake.Magufuli must go I agree with Amsterdam,
Firstly he killed a lot of innocent people for instance Akwilina,
Only corpses will vote for him.
Tuliwaambia acheni kushobokea mambo yanayotokea ccm!
Mlimshobokea Membe na ndio huyo anawapigisha kwata.
Hako ka kibaraka kenu katapigwa mbele na nyuma hatakapata zaidi ya 20%
Subiri Lisu akipata 20% uingie road kusheherekea.Naona umelewa kama Yule aliekuwa akihutubia Arusha.
Uzuri toka huyo jamaa aanze kujiongelesha kwa Magu, Magu hajawahi kujibu hata siku moja. Na nashauri Magu abaki kimya hivyo hivyo ili huto tubarua twake waishie kusoma wanabavicha huko TwitterMnatuletea barua za wasenge kwenye taifa la watu huru?
Huyo anajipotezea muda tu.
Kama waliandika toka zamani lakini tunapeta sasa guo si ni ujinga tu.
Hata wao wanajua kuwa kuna wazungu wenzao ambao ni wajinga kama Amsterdam .
Nenda kalale sina muda wa kujibizana na vilaza acha kunipotezea muda
Hii barua inakera sijui kama yupo mzalendo anaeweza kusoma neno kwa neno. Barua ya kishenzi, acha kuandika tu ila kumwandikia Rais wa nchi. Huu upuuzi mkubwa. Dhararu zisizovumilika kwa nchi. Halafu watu wanamshangilia mzungu, beberu mwenye kiu ya kuharibu nchi yetu kwa manufaa ya manyonyaji, makabaila, mababeru. We no more colonised. We are a free state.