Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Ndiyo maana unajiita Artificial intelligence! Wamarekani walipigwa na Osama kwa sababu ya kutegemea artificial intelligence sasa wameona bado umuhimu wa human intelligence upo. Sasa wewe bado unawaza kizamani sana. Eti utamtoa kwa nguvu!! You are kidding, we are so smart than you bro. Just wait and see after 28/10/2020 how human intelligence works!!
Unanifundisha AI? Alafu ulichokisema kuhusu marekani si kweli, acha ushenzi, sina muda na vilaza tafuta mtu mwingine wa kumpotezea muda, huna hata hadhi ya kujaribu kunifundisha chochote mara mia niambiwe kitu na mtoto wa miaka mitano sio jitu zima jinga. Endeleea kumkumbatia Jiwe si anakutekenya balls jinga, nina big house ndani na nje ya bongo, good life naweza ondoka anytime nikawaachia shithole sina muda na ***** ka wewe unayemuota jiwe usiku huku bundle tu unaomba kwa wazazi shenzi
 
what Amstadarm and his allies doing to Tanzania is direct interfearence with our democratic election, we are aware they may use other techniques before and after election so it's a duty for our Government to safeguard our election.
hiyo barua yake ya "mapenzi" haiwezi kuwateteresha watanzania trh 28/10 tunaenda kupiga kura ya amani na kumchagua rais kipenzi cha watanzania Magufuli.
 
I am beginning to think Amsterdam is another ‘mental case’ who does this guy think he is in this world; the US president or somen? What an egomaniac.

Wakuwalaumu ni Fatma Karume na Tundu Lissu kwa kumuaminisha he actually matters; like serious huyu mtu kwenye kichwa chake anaamini serikali ya Tanzania ina muogopa au huyo Lissu wake kweli ana supporters wa ivyo.

Mi nadhani ndio ulichokisema ni kweli kwamba jamaa haogopwi lakini ma-barua kama haya hutia doa Taifa ni lazima ujue huwa tunawapigia mabeberu magoti kuomba misaada sasa tukikwama kwenye democracy na haki za binadamu unadhani tutapata misaada ?
 
Unasema Jf hata network Libya hakuna Sasa hio jf utapata wapi?
Hivi wewe unafikiri mchaka mchaka wake mdogo?
Wewe sikia tu,,,,, kuna watu walikua na kiburi kama polepole na kabudi Sasa hivi wapo makambi ya wakimbizi wamekua kama mabinti tu
Mimi ile hali naipenda kwa sababu wote mnakua kwenye heka heka mtu kama siro na kiburi chake nammaindi Sana
E bwana ee.. Kama noma na iwe noma
🤣🤣🤣, Mkuu mambo hayako kama unavyodhani. Kwahiyo unategemea kukaa kambi moja Mo Dewji, Bakharesa, na Magufuli au?
 
🤣🤣🤣, Mkuu mambo hayako kama unavyodhani.Kwahiyo unategemea kukaa kambi moja Mo dewji,bakharesa, na Magufuli au?
Huyu bwana alikua waziri wa serikali dhalim kule Libya Sasa ni mjasiria Mali Misri anapiga Kazi tu
Hao kina dewji na Bakhresa tayari Wana wigo mpana Wana biashara zao kila nchi
Mimi nasema mtu kama Siro au wanasiasa wakikimbilia nchi zingine wanakua waosha magari tu
 
Attachments

  • IMG_20201025_085656.jpg
    IMG_20201025_085656.jpg
    129.9 KB · Views: 1
mi nadhani ndio ulichokisema ni kweli kwamba jamaa haogopwi lakini ma-balua kama haya hutia dowa taifa ni lazima ujuwe huwa tunawapigia mabeberu magoti kuomba misaada sasa tukikwama kwenye democracy na haki za binadamu unadhani tutapata misaada ?
Hivi beberu anahitaji sana demokrasia yetu? Saudia ni taifa rafiki wa mabeberu ulishafatilia rekodi yao ya demokrasia ikoje?
 
Huyu bwana alikua waziri wa serikali dhalim kule Libya Sasa ni mjasiria Mali Misri anapiga Kazi tu
Hao kina dewji na Bakhresa tayari Wana wigo mpana Wana biashara zao kila nchi
Mimi nasema mtu kama Siro au wanasiasa wakikimbilia nchi zingine wanakua waosha magari tu
Hawa ni wale wajinga wasiojua kujiandalia mazingira, Mimi pamoja na kwamba si mwanasiasa lakini kikinuka kwa namna yoyote ile siwezi kuteseka na hela zangu. Nikienda hata Kenya tu hapo naishi maisha mstarehe nikiwaacha kapuku wachache wanaotamani vita ilhali hawana chochote cha kuwazuia wasiwe wahanga wa moja kwa moja (wewe ukiwa mmoja wao)

Vita visikieni kwa wenzenu tu, mtateseka sana.
 
Hawa ni wale wajinga wasiojua kujiandalia mazingira,Mimi pamoja na kwamba si mwanasiasa lakini kikinuka kwa namna yoyote ile siwezi kuteseka na hela zangu.Nikienda hata kenya tu Hapo naishi maisha mstarehe nikiwaacha kapuku wachache wanaotamani vita ilhali hawana chochote cha kuwazuia wasiwe wahanga wa moja kwa moja (wewe ukiwa mmoja wao)

Vita visikieni kwa wenzenu tu, mtateseka sana.
Kuna mateso zaidi ya haya ya Magufuli?
Leo siku ya tatu kule Pemba vijana Wana kamatwa na mabinti kudhalilishwa bila sababu
Imefika watu wanajuta kuwa watanzania
Watu wa libya sio wajinga... Walichoka mnanyanyaso
Mabeberu wanajua hapa Mali ni nyingi Sasa waje wachukue watupe silaha tutafutane
Baadhi ya watu eti mapolisi na jeshi Ndio Wana silaha lakini raia hatuna Ndio wanatutesa
 
Huyu bwana alikua waziri wa serikali dhalim kule Libya Sasa ni mjasiria Mali Misri anapiga Kazi tu
Hao kina dewji na Bakhresa tayari Wana wigo mpana Wana biashara zao kila nchi
Mimi nasema mtu kama Siro au wanasiasa wakikimbilia nchi zingine wanakua waosha magari tu

Usikariri tafuta namna yako ya kutoushi kama muosha magari endapo utaamua kukimbia.
 
Nakwambia sisi tunataka silaha beberu achukue madini na gesi
Tumechoka kunyanyaswa ndani ya nchi yetu
Safari hii wazee wa Mavi 8 watakua waosha magari
 
No Way! Kitakachomuokoa Magufuli ni kutenda haki tu kama alivyouaminisha ulimwengu!
 
Kuna mateso zaidi ya haya ya magufuli?
Leo siku ya tatu kule pemba vijana Wana kamatwa na mabinti kudhalilishwa bila sababu
Imefika watu wanajuta kuwa watanzania
Watu wa libya sio wajinga... Walichoka mnanyanyaso
Mabeberu wanajua hapa Mali ni nyingi Sasa waje wachukue watupe silaha tutafutane
Baadhi ya watu eti mapolisi na jeshi Ndio Wana silaha lakini raia hatuna Ndio wanatutesa
Kwahiyo Libya wameepukana manyanyaso kumbe?
 
mi nadhani ndio ulichokisema ni kweli kwamba jamaa haogopwi lakini ma-balua kama haya hutia dowa taifa ni lazima ujuwe huwa tunawapigia mabeberu magoti kuomba misaada sasa tukikwama kwenye democracy na haki za binadamu unadhani tutapata misaada ?
Toka waanze kupiga makelele inakwenda zaidi ya miezi miwili.

Ijumaa tu iliyopita Tanzania imepokea msaada wa mabillioni kutoka Switzerland ndani ya mwezi huu huo ni msaada wa tatu.

Switzerland ni nchi mwanachama wa European Union na hiyo jumuiya wanamakubaliano ya joint international policies, bunge lao likisema nchi fulani tusiisaidie hakuna nchi itafanya biashara na wewe.

Ndio ujue hakuna mtu yeyote anaemsikiliza huyo Amsterdam hizo nchi zinawatu wao on the ground wa kuangalia facts, awawezi shinikizwa na zwazwa kama Amsterdam kwenye maamuzi yao.
 
Kwahiyo Lybia wameepukana manyanyaso kumbe?
No! Libya kuna kilio cha wengi na matanga ya wengi harusi... Wazee wa Mavi 8 wapo kwenye kambi za wakimbizi
Ipo siku waziri wa... Atajikuta anauza mitumba
Hapa kwetu kuna matabaka kuna wengine wapo Libya wengine wapo New York.... Hapa hapa
Kama New York tuwepo wote au kama Libya wote
 
Back
Top Bottom