GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
JF Members hapa watanisaidia Kukujibu kama Mimi nilikuwa sipo au sipo 24/7 hapa Jamvini. Yawezekana ulikuwa 'Maternity' na haukuwa Hewani.Aisee mnyarwanda ulipotea jf ukapewa kibano kurudi kwako tu basi umeanza mapambio aisee kweli kibano sio kizuri
😀😂JF Members hapa watanisaidia Kukujibu kama Mimi nilikuwa sipo au sipo 24/7 hapa Jamvini. Yawezekana ulikuwa 'Maternity' na haukuwa Hewani.
Zile kura alizitengeneza Halima mwenyewe!Wale waliokuwa wamebeba kura kwenye mabeg walikuwa wanalipwa na nani?
Ungekuwa na capacity kubwa ya uchambuzi ungejitahidi kutuambia:-Nijuavyo Chadema chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.
Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?
Tanzania kama taifa tuwe makini.
Maendeleo hayana vyama!
Mambo yasiyokuhusu usiyasukie mabutuNijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.
Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?
Tanzania kama taifa tuwe makini.
Maendeleo hayana vyama!
Wanaomtumaini Mungu hawapaniki. Mungu alituepusha na mafisadi 2015. Mwaka wa 2020 akatuepusha na COVID 19. Pia mwaka huo huo akatuepusha na vibaraka waliotaka nchi iuzwe kwa mabeberu.mbona umepanic?
Zile kura alizitengeneza Halima mwenyewe!
Vikapo vya sadaka mnapitishia wapi?sisi wanachama tunamlipa.
Una swali lingine comrade?
Pale Segerea Chadema walikwama so Dr Mashinji alitolewa na Polepole wa CCM na Freeman Mbowe alitolewa na fedha za familia ya mchungaji Msigwa akiwemo Rais Magufuli!Ungekuwa na capacity kubwa ya uchambuzi ungejitahidi kutuambia:-
(i). Gharama kiasi gani cha fedha huyo Robert Amstadam amelipwa au aina ya mkataba wa malipo kwa CDM na TL - hapo tungelinganisha figure na kuzichambua ili kuona km zinalipika au la? Sasa kama ni kubwa hapo msingi wa swali lako ungekuwa na uzito wa dhahabu!
(ii). Ungechambua uwezo wa kifedha wa CDM na TL ili tufahamu kwamba taasisi hiyo ihawezi kumudu gharama za uwakili;
(iii). Ungetuambia kwa kutuaminisha kuwa CDM na TL hawana marafiki, jamii za kitaifa na kimataifa za kuwawezesha kugharamia shughuli za uwakili wa RA - lkn mwisho jiulize kipindi Halima Mdee, Msigwa, Mbowe nk wamehukumiwa kifungo au kulipa faini za mamilioni ya fedha - walipata wapi fedha hizo?
Epuka njaa ya akili plz - aiache ibaki tumboni ili ukinywa uji iondoke yenyewe
Tundu lisu alishambulia na magenge ya chadema humo humo kwenu. Kama unabisha jaribu kutaja jina la dereva wake uone jinsi wanavyopanic.
Najua umekosea ulimaanisha wananchi 75. Tumekusamehe kwa kuchapia hapoNi michango ya kimya kimya kutoka kwa wananchi milioni 7.5 waliompa kura mh Tundu Lissu!
In other words "Action and reaction are equal and opposite."Kwani na sisi MATAGA tunalipwa na nani ? Newton's 3rd Law of motion inasema "For every action there is an equal an opposite reaction"
View attachment 1628954
Kwa hiyo CHADEMA ina nguvu hadi kuvifanya vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kufanya kazi zao kwa weledi?Utakufa bado unasubiri ukombozi wa marofa,
Waliomshambulia Lissu ni wafuasi wa chadema. Mlipaji mtajuana huko.
Sasa jibu kwanza nani anamlipa Amsterdam ?
Huyo Bob na Mr Mzungu wana lao dili tangu ilee kitambo kupiga hela za Watanzania; ndiyo biashara yao. Chairman Mr Hai anapaswa kuwashtukia mapema.Madini yetu ndio yanamfanya Amsterdam kumuwakilisha huyo lisu. Ila lisu hajakuwa raisi sasa sijui itakuwaje maana makubaliano lisu asaidiwe na wabelgiji aingie madarakani nae lisu awape migodi yetu, ndio maana kuanzia saccos yenyewe, lisu mpaka wakala Amsterdam wanaweweseka sasa [emoji16][emoji23]
Ndiyo uache kukomenti sasa; mbona kila siku unakuwa wa kwanza kuusoma, halafu hutaki kubandukaWewe unalipwa na nani ? Kutwa kucha kuandika nyuzi nyingi humu zisizokuwa na kichwa wala miguu .
Ni uzalendo tu kakaNijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.
Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?
Tanzania kama taifa tuwe makini.
Maendeleo hayana vyama!
comrade hujui kuwa tuna App ??Vikapo vya sadaka mnapitishia wapi?
mataga punguza jazba.Wanaomtumaini Mungu hawapaniki. Mungu alituepusha na mafisadi 2015. Mwaka wa 2020 akatuepusha na COVID 19. Pia mwaka huo huo akatuepusha na vibaraka waliotaka nchi iuzwe kwa mabeberu.
Nakuhakikishia hayo anayotaka kutufanyia msanii Lissu hayatatokea katika nchi hii anayoipigania Mungu wa Mbinguni. Mungu katuletea kiongozi, tusubiri daraja la mto Wami liishe, daraja la Salender nalo, halafu reli ya kisasa bila kusahau mradi wa umeme.