Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwa sababu Ccm mnafanya vitu kwa kuangalia matumbo yenu mnafikiri kila mtu yupo hivyoHypothesis iko hivi:
Lissu angechaguliwa kuwa rais > serikali yake ingeweka rehani natural resources zetu ili kupata mikopo ya shughuli za maendeleo > negotiator wa kuingia hiyo mikataba ya mikopo angekuwa mwanasheria wa rais lissu > hapo ndipo Amsterdam angepata commission zake.
Sasa kwa kuwa la urais limeenda arijojo, sina uhakika analipwa na nani. Labda anafanya kwa matumaini ya 'uchaguzi kurudiwa' na 'mtu wake' (deeper meaning) ashinde ili mambo yajipe!
Kwa sababu Ccm mnafanya vitu kwa kuangalia matumbo yenu mnafikiri kila mtu yupo hivyoUnaweza kumtoza mke wako pesa endapo utakuwa wakili wake? Acheni kuhoji vitu vya ajabu, anamtetea mke wake kwahiyo msihoji
nahisi ulivyo na akili ndogo kuliko za kuku hata jinsia yako huiju! kuvamia gereza? nahisi uu mvuta bange mahiri au uendawazimu upo ktk ukoo wenu!Wewe minyoo ni kesi gani wanabambikiwa? Mfano kuvamia gereza na kuingia sehemu iliyozuiwa ni kubambikiwa kesi?
Hebu Imagine !!! Ina maana hayo magenge yaliamrisha polisi waliokuwa wanalinda pale siku hiyo waondoke , Kwanini mnakuwa wavivu wa kufikiri, tunajua mnatumia akili za kupewa pale Lumumba, lakini wakati mwingine muone hata aibu kidogo!!Hayo magenge yaliyomshambulia Lissu ndiyo yaliyoondoa na camera za ulinzi?
Wacha kuiaibisha serikali bwashee
Hizi ni dharau kwa Tobo. Kwani Tobo mwenyewe hawezi kumlipa? AU umekariri malipo ni pesa tu?Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.
Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?
Tanzania kama taifa tuwe makini.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani lumumba buku saba mnalipwa na nani kutetea mashudu yenu?Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.
Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?
Tanzania kama taifa tuwe makini.
Maendeleo hayana vyama!
Hujajibu swali bwashee!Kwani lumumba buku saba mnalipwa na nani kutetea mashudu yenu?
Lawama pole sana, uchungu wa kupoteza uchaguzi haujaisha? Usiwe na wasi 2025 ipo karibu.Kuinua watanzania ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani? Kuwainua watanzania ni kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani?
JIBU SAHIHIBujibuji and Co
Kwani mliwalipa shilingi ngapi waliomshambulia Tundu Lissu kwa risasi?
Ukombozi umekaribia
Mashabiki wa upinzani wasivyotaka kujua nani anagharamia lakini wanafurahia nashindwa kuwatofautisha na mtu anayekula msosi bora nyumbani kwake kila siku lakini hajui wala hataki kujua nani ameununuaWapinzani wa bongo hovyo kweli,yani hapo hawataki kujua nani anamlipa Amsterdam sio muhimu kwao kujua ila wao wanafuatilia ccm kamlipa au kumlipia nani kufanya nini. Tuliona hivyo kwa Dr.Slaa na hata juzi kwa Halima Mdee na wenzie.
Baadhi ya wanaukoo wa panyaNijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.
Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?
Tanzania kama taifa tuwe makini.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani shida yako Ni nini hapo?. Ulitaka akitetee wewe?Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.
Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?
Tanzania kama taifa tuwe makini.
Maendeleo hayana vyama!
Safi, swali zuri.Bujibuji and Co
Kwani mliwalipa shilingi ngapi waliomshambulia Tundu Lissu kwa risasi?
Ukombozi umekaribia
Umeona eennhh?!!!,Anashindwa kuhoji Trilioni 1 ilienda wapi,Wasiojulikana,Wapi wamemweka Azori Gwanda,Ben saanane,nk.yeye anahangaika na Lissu na Chadema.Yohana kama ungekuwa unaidodosa serikali na CCM unavyohangaika na Chadema. Tungekuwa na majibu ya maswala tata yanayisumbua nchi .
Kwanini Sasa Policcm hawakuwakamata hao watu?.Hadi leo kwanini mpo kimya?.Tundu Lissu alishambulia na magenge ya chadema humo humo kwenu. Kama unabisha jaribu kutaja jina la dereva wake uone jinsi wanavyopanic.
Mimi nadhani wewe ndo ujifariji, kwasababu Lissu km ni Umaarufu tayari anao.Yaani ndani ya nchi Lissu chali. Anataka umaarufu nje ya nchi ili atawazwe kuwa rais wa nchi hii? Labda Mungu wa Mbinguni aende likizo. Less than that Lissu ataishia majanga tuuu. Ila muacheni huyu Lissu ajifariji.
Kwani Wewe unalipwa na Nani?Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.
Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?
Tanzania kama taifa tuwe makini.
Maendeleo hayana vyama!
Mimi nadhani wewe ndo ujifariji, kwasababu Lissu km ni Umaarufu tayari anao.
Analipwa na na NGO ya George Soros wa marekani, ambayo moja ya agenda zake kubwa ni kueneza ushoga duniani.Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.
Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?
Tanzania kama taifa tuwe makini.
Maendeleo hayana vyama!