Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi


we jamaa ndo mpuuzi kuliko wote, ivi kuna waliofilisi afrika kama hawa unaowatetea, kuna waliowatesa afrika kama hawa mbuzi unawaongelea, huna ata haya!
- hao ndo wamefnaya unyanyasaji mkubwa mpaka unasomwa mashuleni saaahv kabisa, haha we jamaa bana! shule hujaenda nn

- Aiseee ndugu yangu, huku hatupigi pesa kwanza pesa hakuna za kupiga, nadhan wewe ni kachalii cha juzi nadhan hujui skendo za mbele kwa kifupi nadhan ua still ka stupid flan ivi cha kulamba wazungu! after all the bloodshed za kukufanya saaahv ule ugali bila kwenda kulima kwenye mashamba ya wazungu huu ndo upuuzi unaoongea?


- kati ya afrika na ulaya wapi mwafrika anauliwa sana? Have you ever lived in any cities in the united states? probably hujawahi, nadhan umeskia tu ya george floyd, njoo uone mengi!na kingine nmenotice we ni chadema kwa statement zako chache tu, and i am 100% sure on that

- Wapi duniani hakuna poverty dogo? ivi unajua unachoongea lakini?
 
Mkuu huu mchezo hautaki hasira😂😂.
 

Achana na vitabu vya historia hivyo viliandikwa kwa chuki na wajamaa.Idadi ya waafrika waliouliwa na watawala wa kiafrica ni kubwa Sana kuliko hata idadi ya waafrika waliouliwa na watawala wa kikoloni.
Wenzetu wezi na mafisadi hawana kinga y kutokustakiwa ushughulikiwa sawa na wahalifu wengine. Sisi utaenda jela Kama huna chapa na sio wa upande wao
 
Mkumbusheni wasisahau kujadili na uchaguzi mkuu wa marekani
 
Safi sana. Kama tumeshindwa ndani ni vizuri watu wa nje watusaidie. Tumechoka kunyanyaswa na kuteswa kama wakimbizi!
Brexit imewashinda wataweza ya Tanzania ,kweli duniani kunavituko
 
Yule mam siku ile kama alifunguka flani hivi
 
haiwezekani na haitatokea mustakabali wa nchi huru ukajadiliwa na na mabeberu
hizi ni kauli za kujifurahisha,mwisho ni kutoa tamko koko
Tanzania sio Palestina au sahara magaharibi
 
Let them discuss anything that will give them a break from COVID - 19 trauma! This will be a real breather to them. We are anxiously waiting for the results of that meet. By the way, will this be in conformity with that case in the ICC or BOB is taking another course after the ASHAMING DEFEAT of his "CLIENT"!?
 
Yule mam siku ile kama alifunguka flani hivi
Hii ni typical example ya uelewa wa kila mmoja namna huwa unatofautiana na uelewa wa mwingine na cha mno chenye kuleta tofauti katika uelewa ni UTASHI, UPENZI, USHABIKI AU UNAZI aidha wa kisiasa au wa kidini au wa kichama au wa kikabila au wa kikanda! Kwa msingi wa hayo yote, basi huo ni UBAGUZI wenye madhara sana kwa kila mhusika. Poleni sana!
 
wezi wa kura hawachoki kujipa moyo!! bila kujua Bunge la Ulaya ndilo hupanga mikakati yak usaidizi wa hizi nchi maskini with a condition moja kubwa kuheshimu haki za binadamu na kuheshimu demokrasia na utawala bora.

Sasa CCM wanafikiri wanaweza kuongoza nchi bila wahisani - hilo halipo kabisa - kufikia kujitegema bado saana... kwa mfano pato la ndani lets say 100% - almost 70% inakwenda kwenye support services (mishahara na marupurupu ya kuongoza serikali) hiyo 30% inayobakia je inaweza kutosha kununua madawa hospitalini, miundombinu, maji, kilimo, elimu nk kwa nchi yenye watu zaidi ya 60m.

Bado mnawahitaji hawa wazungu...mtake msitake... cha msingi mkubali tu kwamba mliiba kura ili tuone what is the way forward !!
 
Umenena vyema

Sent from my TECNO-N2S using JamiiForums mobile app
 
Hayo maneno kayasema sana Lissu na Amsterdam na wewe Fuso unayarudia tena humu leo, VIPI NYIE!? Hamna hoja mpya? Sisi ni nchi huru na hatutishwi na hao mnaowasemea humu JF. Hata, let us assume kuwa hayo unayo OTA "yakitokea" wewe utakuwa wapi? Unajua watu wengine mnasemasema vijineno humu JF bila kufikiria mstakabali wenu au wako. Lissu yuko na BOB sasa hivi wanastarehe, kilicho baki ni kuandika andika huko Twitter ili ku justify the use of the money that was given to them in a form of IMPREST for use in Tanzania and for issues that have proven to be a "high hill to climb"! Kazi kwao na wewe KARAGABAO!
 
Kwa taarifa hata uhuru tulipewa na mzungu baada ya kujadiliwa huko Marekani na wazungu.
Ona hata hajui namna Tanganyika ilivyo pata UHURU wake! Hao Wamarekani wanaingiaje kwenye hili la uhuru waTanganyika? Someni kwanza historia ndiyo mje humu JF na taarifa na habari sahihi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…