Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

Nilijua mnaandamana leo, au; mmefuata nini huku kwa jamaa huyo aliyekutukana???
 
Kwamba Uingereza kuna Udictator au Bunge la Ulaya linaheshimu maamuzi ya wananchi Britain? Mwambie JPM aheshimu maamuzi ya a Watanzania toka Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, na Uchaguzi Mkuu 2020.
Sijui umetoka usingizi gani, lakini maamuzi ya watanzania ndiyo yalimweka JPM madarakani!
 
While chinese are doing business in Africa including Tanzania European Union is doing politics!!!

That is why it is no wonder to find Chinese prodiuct in every home in Africa but you can`t find European product in many homes in Africa!!!
Yaani hao Europe na CDM wanashare brain zao; ndio maana hawa jamaa badala wajipange kwa ajili ya 2025 eti wanazungumzia Majaliwa na Hussein wa Sisiemu
 
Uko sahihi nakubaliana nawewe kabisa,ila binafsi kinacho nipa shida nikumuona na kumshangilia huyo jamaa mam ndiyo anaweza kuwa shujaa wetu,hilo nitakuwa wa mwisho kulielewa
 
Na utapanic sana! Huyo Amsterdam lazima aje awabebe wote mkakae kwake
Umepaniki wewe mrembo wa kidimbwi.

Ataanza na nyie mliozoea kuita wanaume wenzenu mabeberu,mnajijua nyie ni mbuzi jike.
 
Sijui umetoka usingizi gani, lakini maamuzi ya watanzania ndiyo yalimweka JPM madarakani!


Maamuzi yameamuliwa kwa staili hii

Your browser is not able to display this video.
 
Sijui umetoka usingizi gani, lakini maamuzi ya watanzania ndiyo yalimweka JPM madarakani!
Kama uelewa wako umekuelewesha kuwa viongozi wa Serikali za Mitaa walichaguliwa na Wananchi, akili yako haina Akili.
 
Anashangilia eti, yaani umbulula uliopitiliza
 
Situation in USA wataijadili lini?
 
Mungu awabariki MABEBERU/WANAUME zake JIWE.
Wewe hao wazungu hawajakupa mimba unaye waabudu? Na kuwaomnea baraka badara ya babu zako huko vijijni?

Mungu hawezi kuwabariki mashoga na ndio maana mpaka sasa wanahangaika na vi corona.
 
Inasikitisha sana kuona wazungu wanatujali sana, yaani hata wapinzani wanaopewa dhamana kutoka korokoroni ni kwa sababu ya kelele za wazungu.
Bila wazungu hata lissu asingechomoka!!!! Ilibidi wamsindikize!!!!!
 
Kwanini mnalalamika saa mkinyimwa?
Hakuna anayelalamika, bali tunashangaa kuona ufipa mlavyoshupalia utadhani hii nayo ni habari. Kwa taarifa yako Kwa sasa serikali inafikilia namna bora ya kupata uwekezaji wa Helium gas, ambayo kila taifa linakesha kwa kuomba mungu washinde tenda la kuchimba hiyo ges. Kwa mara ya kwanza tanzania is going to be the DONA KANTRI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…