Tetesi: Robertinho ajiondoa simba, arudi kwao Brazil kisa na mkasa ni viongozi kutompa: thank you Chama

Tetesi: Robertinho ajiondoa simba, arudi kwao Brazil kisa na mkasa ni viongozi kutompa: thank you Chama

Chiba aliwaambia viongozi wa simba hataki kumuona CCC msimu ujao, viongozi nao wakamwambia Chiba chama haendi popote, kama vipi bora wampe thank you yeye, chiba. Chiba kaona isiwe tabu, jana kaamua kurudi kwao Brazil.

Gadiola mnene muda si muda anachukua tena timu
Badala ya kutumia muda kuongelea ya wenzenu si angalau mngekua mnaongelea ya timu yenu?
Ni upuuzi tu kujigeuza reporter wa timu isiyokuhusu.
 
Sasa ujinga wangu mimi ni upi?Wajinga ni viongozi wa simba waliomuachia Chiba aondoke
Ujinga ni hali ya kutojua kitu tu,ila ukielekzwa unaelewa na unaitwa mwerevu,sasa wewe inabidi uwaskize viongozi wanasemaje kuhusu kocha ili uwe mwerevu manake sasa hivi huelewi kaenda kufanya nini.
 
Kocha aliwaambia viongozi wa simba hataki kumuona CCC msimu ujao, viongozi nao wakamwambia Chama haendi popote, kama vipi bora wampe thank you yeye Kocha. Kocha kaona isiwe tabu, jana kaamua kurudi kwao Brazil.

Gadiola mnene muda si muda anachukua tena timu
Chezea mchawi mnene wewe?
Hapo hatakaa kocha mwingine zaidi yake...
Hivi Matola ile superglue ya msimbazi yuko wapi?
 
Ujinga ni hali ya kutojua kitu tu,ila ukielekzwa unaelewa na unaitwa mwerevu,sasa wewe inabidi uwaskize viongozi wanasemaje kuhusu kocha ili uwe mwerevu manake sasa hivi huelewi kaenda kufanya nini.
Ana supplement.
 
Chezea mchawi mnene wewe?
Hapo hatakaa kocha mwingine zaidi yake...
Hivi Matola ile superglue ya msimbazi yuko wapi?
Yuko Ghana anakula fufu na egusi. Kwa hiyo nyie kolowizad mmeajiri wachawi?
 
Ujinga ni hali ya kutojua kitu tu,ila ukielekzwa unaelewa na unaitwa mwerevu,sasa wewe inabidi uwaskize viongozi wanasemaje kuhusu kocha ili uwe mwerevu manake sasa hivi huelewi kaenda kufanya nini.
Kwani simba mna viongozi pale? Rage kuwaita mbumbumbu hakukosea.
 
Tulichoambiwa ni kwamba kocha kaacha timu Uturuki kaenda refresher course Brazil. Hii ya kwako hatuiamini japokuwa kitendo cha Mwalimu kuacha timu ikiwa kwenye mafunzo ya kujenga timu kinafikirisha kidogo.
Sheria mpya ya CAF na iliyotangazwa juzi kati na TFF inawataka makocha wote wa zamani kusoma hii refresher course

Vinginevyo hawataruhusiwa kuwepo kwenye benchi wakati wa mechi

So imebidi akasome
 
Back
Top Bottom