Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

MAMELODI anaongoza ligi yao kwa pointi 12 juu ya anayemfuata huku akiwa na mechi tatu mkononi...akishinda hizo atakuwa na pointi 21 zaid ya anayemfuata...hii ndio mamelodi inayocheza na Jangwani s. c.
 
Yanii Kuna mambo yanahitaji ujasiri na kujiamini kwa hali ya juu vile wanakuswalika hata the way unavojibu tu wanakusoma. Ukiogopa unaeza ujichanganye kwenye Maelezo au ukijibu kwa kutetemeka ..
Niilikaza uso mbuzi sikwepeshi macho afu sikuwa hata na presha wala wasiwasi! Wakaniachia niondoke tu

cc Smart911
 
Hivi huwa hawatufanyii umafia hawa??
Ila hawa mamelode kombe wanalitaka..yule raisi wa CAF motsepe analitaka liende kwa vijana wake...
Something fishy hapa, hii draw imewabeba sana Al ahly na mamelodi, nusu hawatakutana wakivuka wote na on top of that bado wote wataanzia ugenini semi finals, mamelodi ndo mbeleko kabisa, akivuka nusu hakutani na Al ahly na ataanzia ugenini mechi yake, na hata akienda fainali bado ataanzia ugenini!!!
 
Ndo maana nimesema huyo raisi wa CAF ana mipango yake..
 
CAF watatwist michezo yote, kubenefit timu zote mbili.
Game inaweza kupangwa 31st March
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…