Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Nashangaa sana kuwaogopa hao mamelodi,, hii hatua kuna kigogo au vigogo wataaga mashindano,, alafu kuna ambaye humzanii anatoboa,,
Kiasi Gani natamani Simba timu yangu itoboe hii hatua. Hawa Utopolo wametutia sana unyonge Aisee! Japo tupate hata cha kujipongeza.
 
TotalEnergies CAF Champions League Quarter-Finals Draw Outcome:

First Leg: 29 – 30 March 2024


QF 1 | Simba FC (TAN) vs Al Ahly SC (EGY)

QF 2 | TP Mazembe (DRC) vs Atletico de Petroleos (ANG)

QF 3 | Esperance Sportive de Tunis (TUN) vs Asec Mimosas (CIV)

QF 4 | Young Africans (TAN) vs Mamelodi Sundowns (RSA)



Second Leg: 05 – 06 April 2024

QF 1 | Al Ahly SC (EGY) vs Simba FC (TAN)

QF 2 | Atletico de Petroleos (ANG) vs TP Mazembe (DRC)

QF 3 | vs Asec Mimosas (CIV) vs Esperance Sportive de Tunis (TUN)

QF 4 | Mamelodi Sundowns (RSA) vs Young Africans (TAN)



Semi-Finals Draw Outcome:


SF 1: QF 3 Winner vs QF 4 Winner

SF 2: QF 2 Winner vs QF 1 Winner



cc: Mahondaw ulikuwa ukiulizia tarehe
 
Njia nyeupe kwa Simba na Uto kukutana fainali ... kila mmoja ashinde mechi zake tu.
 
Uzuri wa sisi Yanga tunajiweza yeyote tunamkalisha
Hata wakituletea Man CityπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ˜‚πŸ’›πŸ’š
Baada ya kuifunga Buoulzdad ukajua kila timu unaweza kuifungaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mkajua na Al Ahly mtaifungaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tunaisubiri mechiπŸ“Ί
 
Kiasi Gani natamani Simba timu yangu itoboe hii hatua. Hawa Utopolo wametutia sana unyonge Aisee! Japo tupate hata cha kujipongeza.
Hii hatua bahati nayo inachangia,
Kipindi kile Zamalek 2003 alikuwa bingwa mtetez akang'olewa,, ila cha kujikumbusha ile Simba ilikuwa ya moto kwa nyakati zile,, ukuta ulikuwa chuma chini ya Victor Costa na Pawasa,, langoni si pa kuuliza kuna mkigoma Kaseja,, pale pia ni balaa tupu chini Matola,, kule mbele mtu wa miraba Gabriel πŸ”₯,, sasa simba hii naichek inanipa mashaka japokuwa tunaweza wakatusapraiz,,

Yanga sina shaka nao kwani wana kikosi bora zaidi ya kile cha mwaka jana,, wameimarika mno,, kuanzia 1 hadi 11 balaa tupu,, mamelodi akijichanganya anapotea na mtamkataa,,

Kikubwa watu wasifanye makosa yoyote yale kama vile red card au kuumia kwa watu muhimu,, pia wawe mchezoni kuanzia dk ya 1 hadi dk ya 90,,

Kumbuka tunacheza na watu wenye uzoefu mkubwa kuliko sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…