Robo fainali Cafcl, Simba yagombaniwa kama mpira wa kona

Robo fainali Cafcl, Simba yagombaniwa kama mpira wa kona

mlambaji asali

Senior Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
150
Reaction score
505
Kuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns, Esperance, Waydad Casablanca kwa pamoja vimesema vina tamani sana kukutana na Simba kwani ndio timu yenye unafuu iliyotinga robo fainali.

Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..

Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]
 
Kuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns, Esperance, Waydad Casablanca kwa pamoja vimesema vina tamani sana kukutana na Simba kwani ndio timu yenye unafuu iliyotinga robo fainali..
Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..

Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]
Sio lazima kuanzisha uzi mkuu maana hakuna tuzo.

Yaani umekaa huna kazi ya kufanya baada ya kukosa mchongo wa hela unaanzisha ushuz kama huu.
 
Simba is no longer an underdog team in CAF championship.
Mtashangaa hata hao magiant wakafungwa vile vile na simba ikasonga mbele.
Mwanzoni mlisema Simba hatoboi makundi na akapewa nafasi kubwa Horoya ila imekuwa kinyume chake.
Tusibiri muda ufike mpira uchezwe uwanjani.
Kadri mnavyozidi kuitabiria Simba mabaya ndivyo jinsi inavyowaproove wrong.
Time will tell.
 
Simba inadhihirisha wazi ni timu kubwa kuzidi hao wengine kila saa humu ni nyuzi za mautopologist kuiombea au kuisemea mabaya simba yaani haipiti dkk bila vyura kupandisha uzi humu. Mashabiki wa simba mbona wametulia wala hawana habari na hao vyura? Hebu toeni huo mwiko mkae kwa kutulia
 
Kuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns, Esperance, Waydad Casablanca kwa pamoja vimesema vina tamani sana kukutana na Simba kwani ndio timu yenye unafuu iliyotinga robo fainali.

Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..

Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]
Unazungumizia club bingwa au lile shilikisho la malooser ambalo yanga anashiliki?
 
Sasa ulitaka wawatamani kukutana na luza? Akili yako ndogo sana
 
Back
Top Bottom