mlambaji asali
Senior Member
- Jan 30, 2023
- 150
- 505
Kuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns, Esperance, Waydad Casablanca kwa pamoja vimesema vina tamani sana kukutana na Simba kwani ndio timu yenye unafuu iliyotinga robo fainali.
Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..
Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]
Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..
Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]