mlambaji asali
Senior Member
- Jan 30, 2023
- 150
- 505
Sio lazima kuanzisha uzi mkuu maana hakuna tuzo.Kuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns, Esperance, Waydad Casablanca kwa pamoja vimesema vina tamani sana kukutana na Simba kwani ndio timu yenye unafuu iliyotinga robo fainali..
Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..
Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]
Ismailia alichukua Kombe lini??Zamaleck,Ismailia,Al ahly akiwa bingwa mtetezi wote hao waalikaa kwa kutulia na wakasali sala ya toba.
Unazungumizia club bingwa au lile shilikisho la malooser ambalo yanga anashiliki?Kuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns, Esperance, Waydad Casablanca kwa pamoja vimesema vina tamani sana kukutana na Simba kwani ndio timu yenye unafuu iliyotinga robo fainali.
Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..
Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]
Yaani unamlinganisha HOROYA na Mamelodi..!!! Wa kupimwa wewee..!!!Wewe utopolo ndie msemaji wa hizo timu?
Mtu kala 7-0.
Horoya fan vipi vile vijiti saba ushaanza kuvichomoa mwilini?Simba hakuna timu, watu watajipigia Hadi aibu