Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Yaani ndani ya nchi moja mnyama Kala 9 (As Vita 5 Mazembe 4) Pole Sana Moo at least umethubutu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unahesabia waliyofungwa wenzio wewe mwenyewe hujiwezi na maneno ya unafiki uliyomalizia hapo chini. Wewe unayekula moja moja umewahi kufikia hatua gani?
Ndiyo tabia ya watu wasiojiweza, wanafurahia kuanguka kwa aliyefanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli nimeshuhudia ukimya wa jiji, yaani nimeoanisha siku ile wanatinga robo fainali ilikuwa fujo.

Leo nilijaribu kuchungulia na kutoka nje naona mji umepoa utadhani, jeshi la watanzania limetoa "ONYO KUTOKA NJE"
 
Mpaka sasa mechi ñi dakika 500 zinaenda matokeo ni Tp mazembe 4 - 4 Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…