Horoya ametolewa na Wydad kwa magoli 5-0 , Al ahly kafungwa 5-1 na Mamelod na kutoka, Constantine kapigwa jumla 6-3 na Esperance huku Simba ikifungwa 4-1 na Mazembe kwa matokeo hayo bado Simba imefanya vyema kwa hatua iliyofika! Hongereni Simba a. K. a Mnyama.
Ndio hasa wale wenye tambo Mtaani huwa wanashindwa hata kula hasa wakiwaza walivyokuwa na maneno kabla ya mechi na namna ya kupokea maneno ya kejeli toka kwa watani zao.Yaani kufungwa ndio kunifanye nisile? nilikula msosi kwa amani kabisa, halafu unajua nini mtani kufungwa hakuishi kupo tu ndio maisha ya mpira yalivyo.
Simba nguvu moja
Nilitaka nishangae usijitokeze Kipindi Kama hichi labda sio weweNdio hasa wale wenye tambo Mtaani huwa wanashindwa hata kula hasa wakiwaza walivyokuwa na maneno kabla ya mechi na namna ya kupokea maneno ya kejeli toka kwa watani zao.
Yah. Kufungwa huwa hakuishi Mtani hasa katika maisha ya mpira kama usemavyo.
Hahaaaa. Nakujaga ile mida ya kuwaudhi tu Swahiba. ππNilitaka nishangae usijitokeze Kipindi Kama hichi labda sio wewe
Kamwenee
Sent using Jamii Forums mobile app
YEAH INABIDI WAPOE KWA MAANA WALIKUWA NA MBWEMBWE SANAPoleni sana wanasimba, sisi wazee wa ndala acha tupambane na hali zetu
Shukrani kiongozi tupo pamojaBro umechambua vizuri kweli kweli . Nimekufananisha na bbc sports wanavyochambua kwa kina pokea ππΏ. Kwahiyo kama hawakukataa hilo goli ingekuwa goli 5 kama za vita na ah ahly. Simba akienda nje hana Ujanja. Amezoea ushindi wa ujanja ujanja ku spray
Kiafya mungu anajalia ila kiburadani togwa imeingia NziHahaaaa. Nakujaga ile mida ya kuwaudhi tu Swahiba. [emoji41][emoji41]
Mnoge. Za kuadimika?
wazee wa yes we can, do or die, jasho na damu.... wana hali mbaya kweli
AiseeHizo goli ni himilivu simba wanaweza sawazisha...
Zisi izi shimba...
Pole sana Swahiba ndio mpira huo. Nipo ila mambo mambo tu yamekuwa mengi.Kiafya mungu anajalia ila kiburadani togwa imeingia Nzi
Umepotelea wapi aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
wamekoswakoswaHawa ndugu zetu leo hawaendi kokote!
5+ inawahusu!
WALAAA..HAPO NILIKUWA NATANGAZA KAWAIDA TU...NA KAMA UMEFUATILIA KIUNDANI HAPO JUU HAMNA CHEMBE CHEMBE YA UNAZIRoho imekuuma chura!!
BILA SHAKA UMEZIPATA ZOTEJoseverest fanya updates.
π€£π€£π€£πππππππMAISHA YANGU YOTE NIMEKULIA YANGA, NAISHI YANGA NA NITAFIA YANGA....SIMBA NI MTANI WANGU TUJoseverest ni secret admirer wa π¦π
Mtani unayemkubali πππ€£π€£π€£πππππππMAISHA YANGU YOTE NIMEKULIA YANGA, NAISHI YANGA NA NITAFIA YANGA....SIMBA NI MTANI WANGU TU
MMMMMH
Aisee mkuu jana samahani sikuweza kupata link ya kustream online au hata youtubeNa tusio na TV ila tuna access na smartphone channel gan online itaonyesha
Sent using Jamii Forums mobile app
yeah ni mtani wa jadi....mmefika hatua nzuri sio mbaya jipangeni...ila yale makelele na tambo zipunguzeni...yaani mkishinda nyie mnafunga mtaaMtani unayemkubali ππ