[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] city mall mnakodishia taasisi za Elimu? Khaaaah.Mi nasubiri battle ya arusha na dubai city,, hamchelewi kuja na hili.
Halafu acha kufananisha mbuzi na ukubwa wa pofu + utamu wake, maana yangu acha kufananisha kiarusha na jiji la mwanza, utachekwa. Pitia kwa umakini baada ya dar ni jiji lipi la pili kwa ukubwa na mandhari yake nzuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo KASK hapa wamegeuza vimbweta
Joke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaumia eeeh? RelaaaaxArusha Kuna nini!!?..kelele nyingi tu,jiji kihaki tz ni dar na mwanza tu
Mwanza mnalo hili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli mwanza haiiwezi kufanana na jiji la wahuni full meno ya mahindi
Mbona hamkusema Ngurudoto kuwa mabweni ya kulala wanagunzi, si bora hata hiyo!!!Kwa msiofika Mwanza, Rocky City Mall ndio Mlimani City ya Mwanza.
Cha kushangaza mwitikio wa wafanyabiashara wa Mwanza kwa jengo hili umekuwa mdogo sana mpaka kufikia kukodishwa kwa vyuo vikuu nchini kukodi floor za juu kuwa madarasa yao, vyuo zaidi ya vinne vikiongozwa na IFM vipo jengo hili.
Nadhani malengo ya hii mall hayakuwa kuifanya madarasa bali kituo cha kibiashara.
Pata picha Mlimani City inakuwa na Campus za IFM, CBE etc, mnaelewa vurugu za vitoto vya chuo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] city mall mnakodishia taasisi za Elimu? Khaaaah.
Katika hoja ulizoleta hii ni rubbish ,,,,...unapoambiwa kitega uchumi au commercial complex maana yake mwekezaji kalenga kupata return ya capital yake ..space zilizowekwa kwenye mall zimewekwa kwa ajili ya taasisi (hospitali,ofisi za makampuni ,vyuo ,hata shule,)..maduka(retailers and wholesale) ,banks, supermarket,cinema ,n.k ..na vyote Vimo ....suala la kujaa mall angalia na ukubwa wa mall square meters uje ulinganishe na mlimani city iliyojengwa miaka 20 iliyopita ..pia niambie aim mall na udogo wake pale Arusha imejaa? ,Vip kuhusu mkuki na nyota kigamboni ? vipi kuhusu sky city mall ubungo ! ,,Ukiachana na quality center iliyofungwa kabisa ...niambie kuhusu Nakumatt supermarket Arusha,.Hali zikoje ...acha kuleta pointless topicNgurudoto sipajui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah.Sio mkazi wa mwanza na wala sina uhakika wa hilo, maana asilimia kubwa ya mitandao huwa siiamini.
Tatizo wanakaskazini most of them hawapendi kuona mkoa flani ukiendelea, hususani kanda ya ziwa kwa ujumla huwa hamuishiwi maneno (Mti wenye matunda hupigwa mawe) jirekebisheni! Na ndio maana chama lenu chadema halisongi mbele, mmeendekeza sana ukabila na udini ndani ya chama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kusema rock city sijui nini ,,hawa waliopo sio shoppers ni wasukuma na wanafunzi wako lecture room.View attachment 2261168
Boss umekung'uta kwenye mshono, Arusha nimekaa pale 3 years. Hakuna Mall ya kulinganisha na Rock city Mall hata wafanye combine ya Mall zote Arusha.Hii ndio aim mall ArushaView attachment 2261173
Mkuu hata kukodishia vyuo bado ni biashara tena nzuri san na hii inachagiza na kuchangamsha biashara zile floor za chini. Asante.Kwa msiofika Mwanza, Rocky City Mall ndio Mlimani City ya Mwanza.
Cha kushangaza mwitikio wa wafanyabiashara wa Mwanza kwa jengo hili umekuwa mdogo sana mpaka kufikia kukodishwa kwa vyuo vikuu nchini kukodi floor za juu kuwa madarasa yao, vyuo zaidi ya vinne vikiongozwa na IFM vipo jengo hili.
Nadhani malengo ya hii mall hayakuwa kuifanya madarasa bali kituo cha kibiashara.
Pata picha Mlimani City inakuwa na Campus za IFM, CBE etc, mnaelewa vurugu za vitoto vya chuo.
Hii ndio aim mall ArushaView attachment 2261173