Roho inaniuma sana, mabati niliyoezekea nyumba yangu yamepauka sana

.ungetaj hyo kampuni wachina wanaviwanda vingi sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Chukua huu ushauri, paka rangi.
 
Nakushauri spray rangi sio kupaka kwa mkono haitakuwa na mng'ao bora.
Pole aisee umeshikwa kalio.

Ila kuna fundi rangi kaniambia kupaka inatumika fagio laini ndio inakole na akakazia kuwa nikitumia mashine eti zitajapauka tena.au ananipanga hivyo maana mashine hana ili alambe kazi
 
Acha kupotosha mkuu. Kwa kifupi alipigwa full stop.
 
Relax bro hiyo ipo kwa wote
Niliezeka bati upande umepauka na upande mwingine zipo vile vile,nyumba ipo kama ina aina 2 za bati,ila nilinunua sehemu moja,duka moja bei moja...ila ukiangalia kwa jirani bati zipo poa tu
Ilimradi sinyeshewi haina shida
 
Mkuu kuna Rangi inaitwa PVA roof, hii ni kwa ajiri ya kupaka kwenye bati au chuma, huwa mfano wa inter(inta) chukua ya kiwanda cha plascon, paka vizuri sana harafu njoo unipe mrejesho
 

Nisaidie kujua fake na Og. Please
 
Mkuu kuna Rangi inaitwa PVA roof, hii ni kwa ajiri ya kupaka kwenye bati au chuma, huwa mfano wa inter(inta) chukua ya kiwanda cha plascon, paka vizuri sana harafu njoo unipe mrejesho
Haipauki?
 
Tazara kuna kampuni mbili zinazotengeneza bati ipi SAsa ya kulia au ya kushoto
 
Bati za Alaf ukiwa Dar nenda tu kiwandani mwao pia zinachapa yao kwa KILA bati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…