Roho yangu imeumia kumuona Mugalu kwenye msafara

Roho yangu imeumia kumuona Mugalu kwenye msafara

ina maana kwamba tunaenda kutangaziwa usajili wa mwisho wa beki ouutara wamefunga usajili....tuendelee kutegemea watokea pembeni kina okrah, sakho na kibu kufunga magoli ..aisee inashangaza sana, nimenawa mikono
Na bado,endeleeni kushindana na Yanga yenye pesa na imara,msipokuwa makini mwakani top 4 hampati.
 
Viongoz wa simba wanapenda Sana propaganda kuliko uhalisia gundu linaanzaga mapema tu
 
Ni msimu mwingine ambao deportovo LA utopolo anaenda kuchukua ubingwa sio kwamba ni wazuri sana Ila sasbabu ya simba kukosa u-serious kwenye usajili.

Mzamiru, gadiel Michael, mugalu, nyoni, kagere, lwanga sio watu wa kuipa matokeo simba, mpira sio mchezo wa takwimu kwamba msimu wa 2010 alifunga magoli 100 basi Leo atafunga 100..mnabaki na mchezaji ambae msimu mzima hana hata goli
Huu ni ushabiki pumbu sasa, Yanga unawezaje kusema sio nzuri? Simba gani unaweza ifananisha na Yanga ya Msimu ulioisha? Hawana uwanja wa ugenini wala nyumbani.

Timu imejengwa sana, na sasa wamechomeka maingizo mapya kadhaa tu kwenye sehemu zilionekana kuwa zinavujisha kama winga zote mbili, kiungo mmoja wa chini ambapo ilikuwa ikitokea shida basi anakaa MAUYA kitu ambacho sio sawa. Beki ya kushoto na msaidizi wa Mayele makini kidogo.

Kwa nionavyo YANGA ANAENDA UNBEATEN KWA SECOND SEASON.
 
kiuwkeli hili siyo ya kulichukulia kimasihara, kwa hiyo watu wameamua ku risk msimu huu sababu wanaogopa kuvunja mkataba na mugalu? hata kumtoa mkopo uchangie mshahara na team nyingine nayo ni shida?

Naona hu mzigo mzito wanaenda kupewa Moses phiri na Habib kiyombo ukiwatoa hao pale mbele hakuna kitu kabisa..shame shame shame
 
Wakimvunjia mkataba wake utalipia wewe?
Sio kila jambo ni kukurupuka mkuu,
Hata hivyo anaweza akaenda pre season na bado akatemwa,
unajua maana ya kuutua mzigo wa miiba kwa kumtoa kwa mkopo? huyo jamaa kiyovu na nkana wanamtaka ila anataka mshahara wa usd 5000 anaolipwa simba hao watu hawana sasa simba si iwape kwa mkopo washee mshahra nusu kwa nusu? mkataba wake ukafie huko...kilichobaki ni kuja kuwatesa Phiri na kiyombo maana hapo katikati hakunakitu kabisa..f&&***ck
 
kiuwkeli hili siyo ya kulichukulia kimasihara, kwa hiyo watu wameamua ku risk msimu huu sababu wanaogopa kuvunja mkataba na mugalu? hata kumtoa mkopo uchangie mshahara na team nyingine nayo ni shida?

Naona hu mzigo mzito wanaenda kupewa Moses phiri na Habib kiyombo ukiwatoa hao pale mbele hakuna kitu kabisa..shame shame shame
Mechi ya mwisho na Orlando Pirates alipata kadi ya kipuuzi, alipotoka majamaa wakapata goli kwa ajili ya wachezaji pungufu , tungeingia nusu fainali jamaa alitucoast mpumbavu yule.
 
Mimi pia imeniuma lakini Jambo moja ambalo mashabiki wengi(walimbukeni) au hawaelewi ni kwamba Club zinabajeti na ukiona kabakizwa ujue kakosa team inayohitaji huduma zake kwaiyo kitu pekee ni kuvunja mkataba na Kuvunja Mkataba ni lazima Club iingie mfukoni ito mpunga mrefu kwa mchezaji...sasa fikiria Mfano simba imeuza Bwalya tu alafu kuna wachezaji kama 7 haiwahitaji fikiria loss itayokula kwa kuvunja mikataba ya wachezaji hao?? Kwaio solution ni kusubiri Mkataba uishe waachane kiroho safi...Na sio Simba tu ata uko Duniani unaona mashabiki wa Man U wanashinikiza mfano Maguire aondoke lakini club ikipiga mahesabu ya kuvunja mkataba inaona itakula loss So ni Bora kusubiri Auzike au mkataba uexpire
We subiri mkataba uishe wakati timu nyingine zinafanya vizuri na kuingia pesa
 
😊mateso ya mwanadamu kwa asilimia kubwa huwa ni ya kujitakia mwenyewe, aaah mateso bila chuki
 
Kiukweli that guy hana hata uchungu akikosa magoli huwa anatabasamu na kuendelea kutafuna jojo, he is a waste takataka kabisa

sasa naamini maneno kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na kigogo wa kike, nilidhani angempisha manzoki au attacking midfielder anayeweza kupasua

Ina bore sana huo ni mzigo wa mavi umeubeba wewe unayemkingia kifua huyo mpuuzi , shame on you kwanza jitu lenyewe huwa linacheza miezi miwili tu mingine ni majeraha na ku spend mshahara wa bure huko congo kila siku yuko kwao eti anaumwa.

Kuna makosa Simba Inafanya ya wazi. Mugalu kashaprove hawezi, sijui ni Jambo gani wanaliangalia.
 
Simba inapoteza muda kubaki na striking force ya wazee: Mugalu, Bocco na Kagere waondoke tu. Utopolo wanaenda kutamba tena msimu ujao 2022/2023
Ndugu yangu nilikuwa hapa nasubiri utambulisho wa manzoki na beki huyo wa kati ila moyo wangu umeingiwa na simanzi sana kwa kuwaona hao watu
 
Kiukweli that guy hana hata uchungu akikosa magoli huwa anatabasamu na kuendelea kutafuna jojo, he is a waste takataka kabisa

sasa naamini maneno kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na kigogo wa kike, nilidhani angempisha manzoki au attacking midfielder anayeweza kupasua

Ina bore sana huo ni mzigo wa mavi umeubeba wewe unayemkingia kifua huyo mpuuzi , shame on you kwanza jitu lenyewe huwa linacheza miezi miwili tu mingine ni majeraha na ku spend mshahara wa bure huko congo kila siku yuko kwao eti anaumwa.

Viongozi wanajua shida ya Simba Ni striking force, ila wanaendelea kuwakumbatia kina boko na Mugalu na kagele. Haya Bwana . Kama Kagere ameshafikia kustaafu lakini wanahangaika naye.
 
M
Wakimvunjia mkataba wake utalipia wewe?
Sio kila jambo ni kukurupuka mkuu,
Hata hivyo anaweza akaenda pre season na bado akatemwa,

Mugalu ana mkataba wa miaka miwili, ambao uko mbioni kuisha. Nadhani wamemuongezea Kama boko. Yani Viongozi wetu hawana vision kabisa.
 
Back
Top Bottom