Roho yangu imeumia kumuona Mugalu kwenye msafara

Roho yangu imeumia kumuona Mugalu kwenye msafara

Mechi ya mwisho na Orlando Pirates alipata kadi ya kipuuzi, alipotoka majamaa wakapata goli kwa ajili ya wachezaji pungufu , tungeingia nusu fainali jamaa alitucoast mpumbavu yule.
Sure mwamba alafu lijamaa hata kujutia tu Hakuna Zaid linajitafuna tafuna tu.
Nusu fainal ilikua nyeupe Sana kwenye ule mchezo Ila jamaa alitugharimu mbaya Zaid et anasalia kikosin mtu asiye na nidhamu na michezo muhimu
 
Kizer Chief wenyewe walifagia wazee wote na wale wasiofanya vizuri kama Kambole na yule Samir Nuckovich, tena kwa kuwavunjia mikataba ila sisi tunakumbatia tu magarasa.

Mugalu na kagere hamna kitu pale kwasasa, yani ni bora ucheze na Kyombo kuliko hao wasenge wawili.
Yaan Mugalu anachojua ni kutafuna jojo na kutema mate km chatu mwenye njaa, ananiboaaa hata kumuona sitakiii,

Kagere nae uzee upo usoni si astaafu awe kocha wa washambuliaji pale simba km anaipenda sana.

Nakerekwa, bwalya sikua namtaka na nlifurahi mnoo alivyotoka, ila kwa hili bora angebaki yeye.
 
Yaan Mugalu anachojua ni kutafuna jojo na kutema mate km chatu mwenye njaa, ananiboaaa hata kumuona sitakiii,

Kagere nae uzee upo usoni si astaafu awe kocha wa washambuliaji pale simba km anaipenda sana.

Nakerekwa, bwalya sikua namtaka na nlifurahi mnoo alivyotoka, ila kwa hili bora angebaki yeye.
Ahhaaa, chatu mwenye njaa!

Kiukweli Mugalu akustahili kubakia Simba,wametuangusha fans wao
 
Katika kikosi chote cha simba mchezaji mbovu kuliko wote pale ni Gadiel Michael uyo apelekwe hta kitayosa kwa mkopo hana hadhi ya kukaa kwenye benchi la simba
 
Jamaa ni mshambuliaji mzuri sema majeraha yamemuathiri kiasi. Kama uwezekano wa kupewa nafasi nyingine upo na acheze athibitishe ubora wake.
Kwa taarifa yako wakati Simba wanamsajili alikuwa ametoka kwenye majeruhi ya muda mrefu. Halafu kaja hapa ndani ya misimu miwili ni majeruhi tu kama gari la mkaa tripu shamba tripu gereji. Kwa kifupi ni kuwa kwa namna usajili ulivyoendeshwa haihitaji utaalamu kujua Simba haina fedha kwa sasa ndio maana Adebayor, Sylla, Aziz Ki na wengineo wakaota mbawa. Na hata Luis jurudi itakuwa ndoto za mchana.
 
Acha mambo ya kisenge kisenge we dogo. QMMK

Usitake tuvunjiane heshima, kama huwezi kujibu hoja kaa kimya tu



[emoji2959][emoji35][emoji34]
[emoji28][emoji28]..mambo ya ushabiki Hadi mnavunjiana adabu
 
Kwa jinsi watu wanavyochangia hapa juu ya usajili wa Simba inabidi bodi ya Simba ikutane haraka irekebisha mambo kungali bado mapema na dirisha la usajili lipo wazi. Inaonekana mashabiki na wanachama walivumilia msimu ulioisha wakitegemea uongozi wao utarekebisha mambo kwenye dirisha hili la usajili kuelekea msimu mpya lakini inaonekana wala uongozi haujali. Lakini wakumbuke tarehe 13/08/2022 si zaidi sana ya wiki tatu zijazo sijui hao viongozi wataangalia mpira wakiwa wapi. Na usiku wa deni haukawii kukucha.

Kwenye dirisha hili Simba ilitakiwa ifanye "ovehaul" kabisa lakini wao wamefanya "repair" ndogo kama wenzao Yanga wakati wenzao timu yao ipo tayari toka msimu ulioisha. Na tangu Hersi awarudishe watu wa mpira karibu yake walau sasa Yanga imeanza kusajili kiufundi kwa kiasi fulani.

Lakini jambo ambalo linashangaza sana kwenye bodi ya Simba kumejaa watu wazoefu sana na wanoujua mpira na ndani na wa kimataifa na fitina zake kweli kweli. Watu kama Magori, Kaduguda na Kasim Dewji wanauzoefu wa zaidi ya miaka 30 kwenye mpira wa nchi hii. Je kimejiri nini huko ndani ya bodi kiasi kuruhusu baadhi ya wachezaji waendelee kuwepo Simba wakati kabisa wanaonekana uwezo wao umeshuka? Kwa haraka haraka wachezaji kama Mugalu, Mhilu, Kagere, Mwenda na Gadiel walitakiwa msimu ujao wasiwepo kabisa pale Simba.

Haya makosa yanayofanyika sasa timu ikifanya vibaya huko mbele ya safari zigo lote ataangushiwa kocha. Na kwa jinsi nchi hii ilivyo na mashabiki wengi maandazi tena hoya hoya viongozi watapongezwa kwa uamuzi wa kumtimua kocha kama ilivyotokea kwa Pablo.
 
Makolo hela hawana, angalia jezi imeondolewa maneno ya sportpesa yakabandikwa ya mbet ina maana hata hela ya kuchapisha jezi mpya hawana!
JamiiForums179036249.jpg
View attachment 2291471
 
kwa hiyo bora kuvunja mkataba au kumkaushia halafu acheze miezi miwili the rest anakuwa kwao congo akila bata kwamba ni majeruhi? huyo akibaki by mwezi wa kumi hayuko uwanjani hadi mwakani february, mark my words..hii safu ya ushambuliaji imegharimu sana team msimu ulioishana team bado inawekeza kwa mawinga na siyo washambuliaji wa kati kwa hisia binafsi na kuoneana aibu
Waambie waache kumpiga misumari
 
Back
Top Bottom