Roho yangu imeumia kumuona Mugalu kwenye msafara

ina maana kwamba tunaenda kutangaziwa usajili wa mwisho wa beki ouutara wamefunga usajili....tuendelee kutegemea watokea pembeni kina okrah, sakho na kibu kufunga magoli ..aisee inashangaza sana, nimenawa mikono
Na bado,endeleeni kushindana na Yanga yenye pesa na imara,msipokuwa makini mwakani top 4 hampati.
 
Viongoz wa simba wanapenda Sana propaganda kuliko uhalisia gundu linaanzaga mapema tu
 
Huu ni ushabiki pumbu sasa, Yanga unawezaje kusema sio nzuri? Simba gani unaweza ifananisha na Yanga ya Msimu ulioisha? Hawana uwanja wa ugenini wala nyumbani.

Timu imejengwa sana, na sasa wamechomeka maingizo mapya kadhaa tu kwenye sehemu zilionekana kuwa zinavujisha kama winga zote mbili, kiungo mmoja wa chini ambapo ilikuwa ikitokea shida basi anakaa MAUYA kitu ambacho sio sawa. Beki ya kushoto na msaidizi wa Mayele makini kidogo.

Kwa nionavyo YANGA ANAENDA UNBEATEN KWA SECOND SEASON.
 
kiuwkeli hili siyo ya kulichukulia kimasihara, kwa hiyo watu wameamua ku risk msimu huu sababu wanaogopa kuvunja mkataba na mugalu? hata kumtoa mkopo uchangie mshahara na team nyingine nayo ni shida?

Naona hu mzigo mzito wanaenda kupewa Moses phiri na Habib kiyombo ukiwatoa hao pale mbele hakuna kitu kabisa..shame shame shame
 
Wakimvunjia mkataba wake utalipia wewe?
Sio kila jambo ni kukurupuka mkuu,
Hata hivyo anaweza akaenda pre season na bado akatemwa,
unajua maana ya kuutua mzigo wa miiba kwa kumtoa kwa mkopo? huyo jamaa kiyovu na nkana wanamtaka ila anataka mshahara wa usd 5000 anaolipwa simba hao watu hawana sasa simba si iwape kwa mkopo washee mshahra nusu kwa nusu? mkataba wake ukafie huko...kilichobaki ni kuja kuwatesa Phiri na kiyombo maana hapo katikati hakunakitu kabisa..f&&***ck
 
Mechi ya mwisho na Orlando Pirates alipata kadi ya kipuuzi, alipotoka majamaa wakapata goli kwa ajili ya wachezaji pungufu , tungeingia nusu fainali jamaa alitucoast mpumbavu yule.
 
We subiri mkataba uishe wakati timu nyingine zinafanya vizuri na kuingia pesa
 
😊mateso ya mwanadamu kwa asilimia kubwa huwa ni ya kujitakia mwenyewe, aaah mateso bila chuki
 

Kuna makosa Simba Inafanya ya wazi. Mugalu kashaprove hawezi, sijui ni Jambo gani wanaliangalia.
 
Simba inapoteza muda kubaki na striking force ya wazee: Mugalu, Bocco na Kagere waondoke tu. Utopolo wanaenda kutamba tena msimu ujao 2022/2023
Ndugu yangu nilikuwa hapa nasubiri utambulisho wa manzoki na beki huyo wa kati ila moyo wangu umeingiwa na simanzi sana kwa kuwaona hao watu
 

Viongozi wanajua shida ya Simba Ni striking force, ila wanaendelea kuwakumbatia kina boko na Mugalu na kagele. Haya Bwana . Kama Kagere ameshafikia kustaafu lakini wanahangaika naye.
 
M
Wakimvunjia mkataba wake utalipia wewe?
Sio kila jambo ni kukurupuka mkuu,
Hata hivyo anaweza akaenda pre season na bado akatemwa,

Mugalu ana mkataba wa miaka miwili, ambao uko mbioni kuisha. Nadhani wamemuongezea Kama boko. Yani Viongozi wetu hawana vision kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…