Roho yangu imeumia kumuona Mugalu kwenye msafara

Huu msimu simba wanaenda kuwapa deportivo LA utopolo ubingwa kama msimu uliopita, wewe unamsajili kapama unajua kabisa ni yaleyale ya akina abdulswamadu, sijui nani anawashawishi hapo kwenye usajili
 
M

Mugalu ana mkataba wa miaka miwili, ambao uko mbioni kuisha. Nadhani wamemuongezea Kama boko. Yani Viongozi wetu hawana vision kabisa.
Wajinga jinga na wanaona sawa tu, unabaki na Mugalu msimu mzima hana goli hata moja
 
Jamaa ni mshambuliaji mzuri sema majeraha yamemuathiri kiasi. Kama uwezekano wa kupewa nafasi nyingine upo na acheze athibitishe ubora wake.
 
Hakuna mshambuliaji mwenyesifa za hata nusu za Mugalu katika ligi yetu NBC. Na hakina kocha mzuri ambae hatopenda huduma ya Mugalu

Hizo sifa mbona hazionekani. Mnasifia Jambo lisilokuwepo. Ndio maana aliwazodoa kwenye ngao ya hisani. Kakosa magoli halafu usiku kawarushia dongo Wana Simba. Maana wajinga ndio waliwao, mtu hafungi magoli, ila sifa kibao.
 

Waache wamlipe mshahara wa bure. Washambuliaji akina Kagere wamebaki kupiga makofi uwanjani hawana jipya. Ngoja tuone msimu huu.
 

Mugalu Hana Cha kuoffer. Angalia mechi ya robo fainali ya CAF yeye ndio kaicost timu kwa rafu ya kijinga Sana.
 
Mugalu Hana Cha kuoffer. Angalia mechi ya robo fainali ya CAF yeye ndio kaicost timu kwa rafu ya kijinga Sana.
Mpira wa afrika una mengi sana , refer issue ya wawa mechi ya wa botswana refer rushwa ya berkane kwa keeper wa mazembe kama huyu mugalu huwa anacheka akikosa magoli ya wazi utashangaa nini kama alichukua rushwa kuchomesha wenzake wacheze pungufu?
 
Acha kumpangia mwekezaji, CEO na benchi la ufundi! Kama ukiona yamekuzidi, hamia Ihefu Fc.
 

Mbona wenyewe wamevunja mkataba wa kocha?. Kwa hiyo kuvunja mkataba wa mugalu ni ngumu.
 
Nili
Nilidhani Viongozi wamejifunza na yaliyopita, lakini wanawarubuni mashabiki kwa kununua wachezaji watatu wazuri ila nyoni, mugalu, muzamiru na kagere wamo.
 
Mechi ya mwisho na Orlando Pirates alipata kadi ya kipuuzi, alipotoka majamaa wakapata goli kwa ajili ya wachezaji pungufu , tungeingia nusu fainali jamaa alitucoast mpumbavu yule.
Ile mechi pablo ndo alizubaa na tulitoka kwa uzembe wake, mtu kashapewa kadi ya njani baada ya kusamehewa nyingi tu huko nyuma na mpira unaocheza ni wa kukaba mwanzo mwisho(kupaki basi), lakini bado akamrudisha uwanjani.

Kwakweli mimi tangu msimu ule unaanza nilikuwa sitaki kabisa kumuona Mugalu kikosini kwasababu jamaa tangu aje kikosini huwa anakosa magoli ya wazi mno, ila kukawa na kikundi cha watu humu kinamtetea kwa kusema "ANAKABA MABEKI WA TIMU PINZANI"

Shenzi kabisa.
 
Mechi ya mwisho na Orlando Pirates alipata kadi ya kipuuzi, alipotoka majamaa wakapata goli kwa ajili ya wachezaji pungufu , tungeingia nusu fainali jamaa alitucoast mpumbavu yule.

Kweli kabisa, mechi muhimu anazocheza Mugalu huwa anaikaba timu. Nakumbuka ngao ya Jamii alikosa magoli mengi, halafu Wala hajali. Shida viongozi wa Simba wapo pale kwa matumbo yao hawaumii. Acha wamkubatiea azidi kuwashusha Chini.
 
Kagere na Mugalu nikiwaona napatwa na hasira, wanabaki simba kufanya nn? Kwan pale ni NSSF? Inaboa mnoo khaaaah.
Kizer Chief wenyewe walifagia wazee wote na wale wasiofanya vizuri kama Kambole na yule Samir Nuckovich, tena kwa kuwavunjia mikataba ila sisi tunakumbatia tu magarasa.

Mugalu na kagere hamna kitu pale kwasasa, yani ni bora ucheze na Kyombo kuliko hao wasenge wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…