Roho yangu imeumia kumuona Mugalu kwenye msafara

Roho yangu imeumia kumuona Mugalu kwenye msafara

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Kiukweli that guy hana hata uchungu akikosa magoli huwa anatabasamu na kuendelea kutafuna jojo, he is a waste takataka kabisa

Sasa naamini maneno kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na kigogo wa kike, nilidhani angempisha manzoki au attacking midfielder anayeweza kupasua

Inaboa sana huo ni mzigo wa mavi umeubeba wewe unayemkingia kifua huyo mpuuzi , shame on you kwanza jitu lenyewe huwa linacheza miezi miwili tu mingine ni majeraha na ku spend mshahara wa bure huko congo kila siku yuko kwao eti anaumwa.
 
Wakimvunjia mkataba wake utalipia wewe?
Sio kila jambo ni kukurupuka mkuu,
Hata hivyo anaweza akaenda pre season na bado akatemwa,
kwa hiyo bora kuvunja mkataba au kumkaushia halafu acheze miezi miwili the rest anakuwa kwao congo akila bata kwamba ni majeruhi? huyo akibaki by mwezi wa kumi hayuko uwanjani hadi mwakani february, mark my words..hii safu ya ushambuliaji imegharimu sana team msimu ulioishana team bado inawekeza kwa mawinga na siyo washambuliaji wa kati kwa hisia binafsi na kuoneana aibu
 
Elezea sifa hizo mkuu
utasikia ana hold mabeki wasipande, hivi unaona mayele akishika mpira hata yakuba au babu ntibanzokiza hekaheka zao na mabeki wa kati zinavyokuwa? sasa linganisha kagere boko mugalu wakishika mpira pale mbele..simba mawinga na viungo wametuokolea aibu msimu ulioisha nikadhani watu wamejifunza yanajirudia tena.eti wana sevu hela za kuvunja mkataba..dah
 
ina maana kwamba tunaenda kutangaziwa usajili wa mwisho wa beki ouutara wamefunga usajili....tuendelee kutegemea watokea pembeni kina okrah, sakho na kibu kufunga magoli ..aisee inashangaza sana, nimenawa mikono
Hakuna mtu hapo, nimeshangaa pia hata Kagere naye eti ameenda. Hii ina maana gani kwa deal ya Manzoki? Kwa kweli sielewi..
 
Kuna hata mtu kacheza mpira kwa mafanikio hapa, kuna mtu ana background ya ukocha?
Huenda Mugalu analindwa na takwimu zake kiujumla, msimu uliopita alikuwa na changamoto nyingi. Refer sehemu aliyotoka alifanya nini, na hapa msimu nyuma ya msimu huu alifanya nini...
Mayele huenda hata CAF ikafanya watu waone hana issue, ingawa kakimbiza msimu huu.
 
ina maana kwamba tunaenda kutangaziwa usajili wa mwisho wa beki ouutara wamefunga usajili....tuendelee kutegemea watokea pembeni kina okrah, sakho na kibu kufunga magoli ..aisee inashangaza sana, nimenawa mikono
Kazi ipo basi wacha tuone
 
Kuna hata mtu kacheza mpira kwa mafanikio hapa, kuna mtu ana background ya ukocha?
Huenda Mugalu analindwa na takwimu zake kiujumla, msimu uliopita alikuwa na changamoto nyingi. Refer sehemu aliyotoka alifanya nini, na hapa msimu nyuma ya msimu huu alifanya nini...
Mayele huenda hata CAF ikafanya watu waone hana issue, ingawa kakimbiza msimu huu.
Hamna kitu kama hicho bwana ww, huyu jamaa alikuwa akikosa magoli ya wazi saana hadi unashangaa, yeye ni kupaisha tu. Mara mia hamsini ya Kagere akipata chance anatupia ila sema tu mwili umechoma kutokana na umri wake.
 
aisee na kuna watu wanashabikia, najua ni wana yanga wanatusanifu hata wenyewe wanatushangaa
 
Mimi pia imeniuma lakini Jambo moja ambalo mashabiki wengi(walimbukeni) au hawaelewi ni kwamba Club zinabajeti na ukiona kabakizwa ujue kakosa team inayohitaji huduma zake kwaiyo kitu pekee ni kuvunja mkataba na Kuvunja Mkataba ni lazima Club iingie mfukoni ito mpunga mrefu kwa mchezaji...sasa fikiria Mfano simba imeuza Bwalya tu alafu kuna wachezaji kama 7 haiwahitaji fikiria loss itayokula kwa kuvunja mikataba ya wachezaji hao?? Kwaio solution ni kusubiri Mkataba uishe waachane kiroho safi...Na sio Simba tu ata uko Duniani unaona mashabiki wa Man U wanashinikiza mfano Maguire aondoke lakini club ikipiga mahesabu ya kuvunja mkataba inaona itakula loss So ni Bora kusubiri Auzike au mkataba uexpire
 
Kiukweli that guy hana hata uchungu akikosa magoli huwa anatabasamu na kuendelea kutafuna jojo, he is a waste takataka kabisa

sasa naamini maneno kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na kigogo wa kike, nilidhani angempisha manzoki au attacking midfielder anayeweza kupasua

Ina bore sana huo ni mzigo wa mavi umeubeba wewe unayemkingia kifua huyo mpuuzi , shame on you kwanza jitu lenyewe huwa linacheza miezi miwili tu mingine ni majeraha na ku spend mshahara wa bure huko congo kila siku yuko kwao eti anaumwa.
Ni msimu mwingine ambao deportovo LA utopolo anaenda kuchukua ubingwa sio kwamba ni wazuri sana Ila sasbabu ya simba kukosa u-serious kwenye usajili.

Mzamiru, gadiel Michael, mugalu, nyoni, kagere, lwanga sio watu wa kuipa matokeo simba, mpira sio mchezo wa takwimu kwamba msimu wa 2010 alifunga magoli 100 basi Leo atafunga 100..mnabaki na mchezaji ambae msimu mzima hana hata goli
 
Kiukweli that guy hana hata uchungu akikosa magoli huwa anatabasamu na kuendelea kutafuna jojo, he is a waste takataka kabisa

sasa naamini maneno kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na kigogo wa kike, nilidhani angempisha manzoki au attacking midfielder anayeweza kupasua

Ina bore sana huo ni mzigo wa mavi umeubeba wewe unayemkingia kifua huyo mpuuzi , shame on you kwanza jitu lenyewe huwa linacheza miezi miwili tu mingine ni majeraha na ku spend mshahara wa bure huko congo kila siku yuko kwao eti anaumwa.
Huenda bado ana mkataba na klabu haipo tayari kuingia gharama za kuuvunja, labda wangemtoa kwa mkopo (japo sio rahisi).
 
Back
Top Bottom