William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Sikia Fundi Juma?!
Mabadiliko yanategemea sisi tutawakomalia vipi kichwa hao mafisadi wote together with the gabachoris!
Usijaribu kupindisha mada coz maybe una inerest zako ambazo no body cares anyways!
Hapa watu wanapigania uzalendo in any means neccessary!
Walijaribu Uingereza around 2001 na before lakini walishindwa!Blair almanusra aingie mkenge!
We've got to be carefull!
Mengi wasn't and isnt corrupt!Kamuulize Manji!
Mkuu Usiyejua Yote,
Hii ishu ninarudia tena ni ya Wahindi period, kama kuna mwenye tatizo na Waafrika aanzishe topic yake kwingine, hapa tunajadili Wahindi, kichwa cha hii topic kilisema Wahindi ila kuna wanaojaribu kuwa politically corect wakakibaidli,
lakini hakijabadilika kitu, the ishu ni Wahindi!
Kumbe wewe ndiye Kidzogolae uliyeanzisha mada hii? Basi kama uliteleza uliposema waasia badala ya wahindi si ungewatonya tu Mods wairekebishe mada YAKO ili ielekee ulikokusudia awali?
[Mkuu Usiyejua Yote,
ninarudia tena kuwa hii mada ilipoanzishwa ilisema Wahindi, haikusema Waasia, lakini ikabadilishwa na kuwa Waasia, lakini hakijabadilika kitu, the ishu hapa ni Wahindi na bongo yetu, sio mimi wala aliyeanzisha mada!
Ahsante!
Mkuu Usiyejua Yote,
ninarudia tena kuwa hii mada ilipoanzishwa ilisema Wahindi, haikusema Waasia, lakini ikabadilishwa na kuwa Waasia, lakini hakijabadilika kitu, the ishu hapa ni Wahindi na bongo yetu, sio mimi wala aliyeanzisha mada!
Ahsante!
Ninasikitika sana kuona kwamba baadhi ya wanaJF wenzangu ambao nimewaona wakileta hoja za maana katika nyanja nyingine, wanaweza kuwa blatantly so racist, mpaka wengine kusema that Hitler had some good ideas, that Africans have lower IQ, it is terrible!
Some of you mnaoishi Ulaya mnajua skin heads and ultra right wing, na mnakimbizana nao tu avoid being injured, those in the US, know what it is like to live as a Black man and how racism can affect your life, yet mnaleta hapa same remarks that you abhor when applied to you.
Fundi Mchundo, thank you for being the voice of reason! Mi kwa kweli I am out of here, because leo nimesikitika sana kusoma nilichosoma because this is hate speech.
Kuna African-Americans; hawa ntawaita Wahindi Waafrika ama Siddis
I wish the Indians that came here were completely Africanized. I troubles me when they refuse to speak Swahili.
Watu wa kwanza kuingia India walikuwa waafrika ambao mpaka sasa wapo huko asia, kwa mfano kuna watu wanawaita Wanegrito, hawa sura zao ni waafrika kabisa na inasemekana walifika huko miaka 30,000 iliyopita.
Hili kundi linalofanana na waafrika walikaa south ya asia kwa hiyo hawakuivolve, yaani kubadilika sana kisura kutokana na joto, kuna wengine walienda north na kutokana na baridi ya Ice age walibadilika wakawa na ngozi nyeupe, wakaja south wakaonana na weusi wenyewe na ndio 'wahindi' wa leo walivoanza.
Genetically hawa waafrika wako closer zaidi na wahindi wa asia kuliko waafrika wa afrika kutokana kwamba makundi haya yalievolve uder similar environments.
Lakini msichanganye waafrika waliokuja kutoka east afrika kama wafanyabiashara au wanajeshi in historical times (eg islamic invasions) na waliokuja muda mrefu,wanegrito.
Kwa hiyo 'waafrika' ni watu wa kwanza india, na watu wanaofanana na wao wapo asia mpaka leo hii.
Kuna African-Americans; hawa ntawaita Wahindi Waafrika ama Siddis
I wish the Indians that came here were completely Africanized. It troubles me when they despise... *cough* sorry, refuse to speak Swahili.
Katika nyakati hizi ambapo CCM kimekamatwa kweli kweli na mafisadi, huwezi kuwa kiongozi wa chama hicho au kuwa mmoja wa wawania uongozi, na kisha ukalivalia njuga suala la ufisadi; halafu usalimike!