Mwanatanu,
Mimi nimeamua kuwashikia bango hawa mpaka kieleweke. Ule wakati wa kuhonga vipesa kidogo kusaidia shughuli za uchaguzi na timu za mipira huku wakitumika kuiba mabilioni umepitwa na wakati.
NAUNGA MKONO HOJA...Lakini pale generalistion ndipo tunapishana
AGUSTINE LYATONGA MREMA did that & remain among the only "bitter pills" to the so called "Tanzanians of the asian origin".I advise MWK to check with "mzee wa nji hii" concerning the issue!
MCH.C, MTIKILA with his "MAGABACHOLI" slogan is well feared by these "tanzanians" simply because the guy truly hates them due to their DEEDS!!!!!!
MWAFRIKA WA KIKE in your list dont forget these 2figures (NOT WITH THEIR COURT&PRISON&JAIL RECORDS) but with their patriotism
Mahesabu,
Ninaandika hili nikikumbuka kabisa alichofanya Mrema na Mtikila na Idi Simba na....... list goes on and on na yote waliyopata kwa kujaribu kufanya hili.
Kama ni kuogopa kwenda mahakamani au jela kwa kusema watu wachache ambao inaonekana justice system ya Tanzania inawaogopa, basi mambo mengi hapa yasingefanyika.
Juhudi za kumtoa Lowasa na wenzake untouchable toka serikalini zimefanikiwa kwa sasa na kwa upande wangu mapambano yanaelekea huku kwingine ambako wengi wanakuacha kwa kuogopa kuitwa wabaguzi
Mkuu,
ukishatenga mafisadi wachache kati ya watanzania wa kiasia na kudeal nao nadhani unakuwa beyond generalization!
Kwenye hili I am prepared kuitwa mbaguzi, may be its time to take a stand and be counted. Principle moja muhimu ya kuishi ugenini au kuwa minority kwenye nchi ni kuheshimu na kutii sheria za nchi hasa kama hizo sheria ni fair and just. Hiyo ndiyo insurance policy ya amani.
Lakini ni Afrika tu ambako Waasia wanaweza kufanya wanayofanya with impunities. Unless Watanzania walio wengi wanasimama na kupinga kwa nguvu zote ufisadi unaofanywa na wafanyabiashara wa Kiasia, vinginevyo tutaendelea kudharauliwa kwenye nchi yetu.
Kuna haja ya serikali ku target biashara zao zote na kuangalia kama hakuna mazingira ya rushwa. Lengo sio kuadhibu watu wasio na hatia bali kuhakikisha wale wachache wanaohusuka na huo ufisadi wanakamatwa haraka.
Kuna weza kuwa na usumbufu kwa baadhi ya Wahindi kwa mwanzoni, lakini hiyo itakuwa ni insurance yao ya amani kwa siku za mbeleni. Watu wakijua kuna dhuluma na kama hiyo dhuluma haichukuliwi hatua, siku kunatokea matatizo TZ, tegemea yale ya Kenya kutokea TZ dhidi ya Waasia.
Japo ni muhimu sana kuwashughulikia Watanzania wazawa wanaohusika na ufisadi lakini pia ni muhimu kutarget kwa makusudi kabisa Wafanyabiashara wa Kiasia maana proportion yao kwenye ufisadi ni kubwa kuliko kundi lingine lolote kwa Tanzania.
Sawa kabisa tusisahau kuwa kuwa Nyerere did the same kuwataifishia manyumba hawa Asian Tanzanian.Angalia yale maeneo ambayo walikuwa wakiishi kama vile mitaa ya Upanga,Zanaki,Asia,Jamhuri n.k...baadaee waswazi wakapewa kuishi sasa angalia magorofa yanajengwa na kina sisi tumechukua madafu tukaachia makazi hayo tuko Mbagala...Je kweli ni unyonge wetu au ni ujinga wetu...mind you, tumeondoka makazi hayo kwa hiyari.
Kwa hiyo ina maana na sisi ni mafisadi wa maendeleo yetu and our future generation.Isiwe rahisi ku blame other cast or clan wakati ambapo sisi vilevile tunachangia.
Kwenye hili I am prepared kuitwa mbaguzi, may be its time to take a stand and be counted. Principle moja muhimu ya kuishi ugenini au kuwa minority kwenye nchi ni kuheshimu na kutii sheria za nchi hasa kama hizo sheria ni fair and just. Hiyo ndiyo insurance policy ya amani.
Lakini ni Afrika tu ambako Waasia wanaweza kufanya wanayofanya with impunities. Unless Watanzania walio wengi wanasimama na kupinga kwa nguvu zote ufisadi unaofanywa na wafanyabiashara wa Kiasia, vinginevyo tutaendelea kudharauliwa kwenye nchi yetu.
Kuna haja ya serikali ku target biashara zao zote na kuangalia kama hakuna mazingira ya rushwa. Lengo sio kuadhibu watu wasio na hatia bali kuhakikisha wale wachache wanaohusuka na huo ufisadi wanakamatwa haraka.
Kuna weza kuwa na usumbufu kwa baadhi ya Wahindi kwa mwanzoni, lakini hiyo itakuwa ni insurance yao ya amani kwa siku za mbeleni. Watu wakijua kuna dhuluma na kama hiyo dhuluma haichukuliwi hatua, siku kunatokea matatizo TZ, tegemea yale ya Kenya kutokea TZ dhidi ya Waasia.
Japo ni muhimu sana kuwashughulikia Watanzania wazawa wanaohusika na ufisadi lakini pia ni muhimu kutarget kwa makusudi kabisa Wafanyabiashara wa Kiasia maana proportion yao kwenye ufisadi ni kubwa kuliko kundi lingine lolote kwa Tanzania.
tatizo ni waasia au serikali yetu kutofuata na ku-enforce sheria zilipo? nchi ulizotaja zote zinafuata sheria bila upendeleo wa aina yeyote! tatizo hapa ni rushwa na sio waasia..watu wakiaanza kukataa rushwa na kufanyakazi zao kihalali sidhani kama kutakuwa na tatizo!
mambo haya mnayo advocate ni kama anavyojisemea HRC, "kuweka band-aid(plaster) kwenye infected surgical wound" au kuweka BIG G kwenye ufa wa bwawa. tatizo sio waasia, tatizo ni sisi kwa kupenda ulafi!
nimeshawahi kushuhudia uncle wangu(rip) akimnyima tenda muhindi pale sayansi na technologia miaka hiyo (late 90s) tena baada ya kupewa offer nzuri tu ya rushwa! je ni maofisa wangapi wa serikali ya darisalama wana ubavu huo? acheni hiyo strategy ya blame indians,tujiangalie wenyewe kwanza
Hili ulilosema lina ukweli asilimia mia moja. Lakini swali ni kuwa, je ni vyema tukijiangalia sisi wenyewe tu (kumshikia bango Lowasa) huku tukiwaacha wenzetu (Rostam Azizi) wakipeta kwa kuogopa kuitwa wabaguzi?

Watakaosema hayo ni wajinga....Tuombe MUNGU hawa jamaa akina Jitu,Manji,Mohamed Enterpprise,Rostam and co wafikishwe mahakamani and i will suggest kesi yao iwe KUHUJUMU UCHUMI.
Mimi nashangaa, wewe mwafrika wa kike, unaushahidi gani wa kuwa Rostam Azizi ni muasia? rangi yake? jina lake? au nini?
Mimi nakuuliza walikufanya nini hawa wakina Rostam Aziz? sema kweli wacha kuzunguka zunguka.
Hili ulilosema lina ukweli asilimia mia moja. Lakini swali ni kuwa, je ni vyema tukijiangalia sisi wenyewe tu (kumshikia bango Lowasa) huku tukiwaacha wenzetu (Rostam Azizi) wakipeta kwa kuogopa kuitwa wabaguzi?
Kwa nini wasichukiwe mafisadi, full stop? Hakuna upendeleo au uonevu. Fisadi ni fisadi ni fisadi. Awe mmatumbi au maasia au mzungu. Kama amehusika, ashughulikiwe bila kujali rangi, gender au itikadi.
laaah, MWK.....kujiangalia sisi ni kukata mizizi yao!! hao wakina rostam azizi wanamea kwasababu wana watu wanaokubaliana na kukumbatia upuuzi wao!! narudi palepale, kwamba tatizo ni sisi na si waasia. vijidudu vya maradhi hupenda uchafu,unyevunyevu na giza.....dawa ni kuondoa hizo suitable conditons kwa vyenyewe kumea!!! kwenda after wahindi ni sera za zima moto au kuvaa "soksi" kujikinga na miwaya wakati tayari umesha athirika!!
kama ajisemeavyo Double N, miafrika ndivyo tulivyo......badala ya kujiangalia sisi na ku-solve problem from the roots, sisi tunaangalia nani wa kulaumiwa!!
inabidi kuwa na sheria kali dhidi ya wala rushwa, halafu utaona hao watoa rushwa watampa nani!!!
Ni kweli Rostam Aziz ana asili ya kiasia
Rostam Aziz ametajwa sana ktk report ya Richmond na there are very close to Lowassa, it is simple maths put one and one and you get fisadi squared