Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde


Wabongo bhana kwa kuwapangia watu hamjambo....we unajuaje kama izo apartment hana mpaka sasa???....
 
Humu wanaocomment wengi kwanza wamepanga, chumba kimoja, hawana viwanja, ni wanafunzi labda wa vyuo au wako kwenye kazi za vipato vya kati kibongo bongo, pesa atafute mond leo umpangie matumizi mara ajenge apartment mara blah blah kibao, acheni wivu kama hauna pesa tafuta ndio uzipangie matumizi
 
Mimi sio maskini kama unavyodhani,kwa taarifa yako nina nyumba za kupanga,magari na mashamba.Lakinii,hata maskini ni mtu.Ilaa,utajiri huu wenye utata hatuutaki.Mwisho wake ni vilio.
Ukiwa Maskin ndo Utakuwa Na hayo Mawazoo !!
Ya Kichawi chawiiiiii
 
Usijaribu kucomment habari ya Rolls R kama unanjaa itakuzidia bure.
 

Wala vumbi hao...😀😀😀😀😀😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umetukomalia sana,naona unatamani ungeweza kuhuck PM yangu.
Lol
Nimecheka sana.

Daaabh Mkuu wacha niseme tu! Umemkomalia sana huyu mrembo aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haki ya mama sio nimewakomalia mkuu ,nimefurahi tu jinsi hii lethal combination ilivyo jitokeza yaani ,dah yaani smooth bila shida yoyote

Wengine tunaloga lakini wapi
Sijui nianze kuleta makala za Pazi na kisa cha jogoo au muwa uliozamisha meli
Wanaweza wakanielewa
 


We yako iko wapi??
 
Linaloendelea kwa hawa vijana liko wazi.Tunachofanya ni kuwaonya mapema yasije yakawakuta kama wenzao,akina Aaliya,Tupac Shakur,Kanumba,Whitney nk.wala hatuwaonei wivu,tumetosheka na tulivyo navyo.

Hapa ninapoishi siku hizi vijana wameanza tabia mbaya ya kuzika watu wakiwa hai kwa maagizo ya waganga, huku wakiwa wamewanywesha pombe usiku wa manane, eti katika harakati za kutafuta utajiri! Vijana wanatisha sana.Mali zao ni za aibu.
Hakuna tajiri mwenye wivu.. We maskini tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee una vituko sana.

Jaribu mkuu,huenda watakuelewa.
Huyu naye hakujua kama yangekuja kuwa hivi...[emoji12]
 
Linaloendelea kwa hawa vijana liko wazi.Tunachofanya ni kuwaonya mapema yasije yakawakuta kama wenzao,akina Tupac,wala hatuwaonei wivu,tumetosheka.
Kwa nini umuonye mtu ambaye katafuta pesa kivyake? Hebu tumia busara zako kuwaonya vijana waliokaa vijiweni uwape mbinu za kupata hela.. Siyo unakurupuka. Kuwapangia matumizi watu wenye pesa zao wakati hukuwapa mbinu za kusaidia kuzipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…