Roma: Boss Ruge amehangaika na sisi kuanzia asubuhi mpaka sasa tupo pamoja naye

Hawawezi kueleza walikuwa wapi zaidi ya kusema tunaliachia jeshi la Police lifanye kazi yake.
Kama huamini 'tubet' kiongoz.
Hata siwezi kubet. Kuna mambo mengi hapo yanahusika. Huenda wanaogopa kuongea ukweli maana wametishiwa kuuwawa kamawataongea ukweli. Au wanaweza wakawa wamepewa mamilioni ili wasiongee ukweli. Yote hayo yapo. Tusubiri. Ila ROMA ni jasiri sasa tusikilize ujasiri wake atauonesha pua kesho?. Bashite na vibaka wake wataishia kubaya sana. Muda utaamua
 
Ukijua itakusaidia nini?
 
Wanatuchezea akili yetu kama wanajua walipatikana toka sa tisa kwa sirro walienda kufanya nini asubui ile
 


Pia inawezekana hata Watekwaji wameshiriki kwny Hilo Igizo. Mbongo sio Mtu wa kuwekewa dhamana, can do anything!
 
Pia inawezekana hata Watekwaji wameshiriki kwny Hilo Igizo. Mbongo sio Mtu wa kuwekewa dhamana, can do anything!
Kwa kifupi kuna kila aina ya Maelezo hapo. Ila ukweli wanaujua watekwaji pekee. Wakificha watakuwa wamewavunja moyo watanzania waliojitoa kupaza sauti kwa ajili yao
 
Kama watakuwa wameshiriki..... Imekula kwa Wengi.

Inawezekana Bashite katengeneza huo Mchezo ili suspect wa kwanza awe Ruge wapate pa kumfanyizia Kama Manji!

Kama Mtu wa kwanza kupigiwa Simu na kufika eneo la Tukio alikuwa Boss Ruge na si boss wa Tongwe records Basi hapo Ruge bila ya kujijua kishaingia kwny 18 za Makonda maana watajifanya kumtikisa Kama Shahidi/ Mtuhumiwa wa Tukio
 
Ruge kaka tutoe gizani tufahamu hawa watu walikuwa wapi na walitekwa na nani? au uliwakuta wapi?? Mpka mtu anasema watapatikana kabla ya jumapili,naomba utasaidie kaka ruge hawa watu walitekwa na nani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…